kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Ukweli mtupuuuuHiyo tabia ipo dunia nzima mkuu, hivyo zikijitokeza jamii zinapinga hiyo kitu inayoharibu utu wa jamii husika basi msiwazuie..maana ni jambo linalohusu desturi ya jamii fulani kujilindia heshima yao..hata ukikutwa nawewe unamlima bakora mwanao anataka kufukuliwa mtaro ni haki yako unaiweka heshima mahali pake...
Cha msingi haki ya wanaume ilindwe kwa kujali haki za kiume, na haki za wanawake zilindwe kwa misingi ya uanawake, sio mtu unaiba haki za jinsia tofauti kwa kisingizio cha uhuru wa mtu binafsi..hiyo sio haki ni unyang'anyi wa haki kwa mhusika...au hamuoni kuna pointi hapo wakuu..
Kuchagua jinsia tofauti na yako ni wizi kama wezi wengine.
Mjuze ajueHatufurahii vita tunafurahia kukombolewa kwa dunia [emoji23]
Haina haja wakati elensk aliishaiomba ila Western wameshindwa kueka sababu wanamuogopa Russia [emoji635]Hakuna haja ya fly zone, kama kubokolewa atabokolewa tu ni suala la muda. We ulijua hii vita itachukua mwaka mzima kabla hajaifanya Ukraine koloni lake kama ilivyo Belaruz.?
Bakhmut kwenyewe anatolewa kamasi mwezi wa 3 huu unaisha mji kashindwa kuuteka hadi kukodi wale wavuta bange Wagner wamsaidie lakini wapi
Vita ni vita mura, huwezi kuniambia nitumiye panga au mshale, zote ni silaha, kwa Sasa Russia anatest silaha zake vizuri kabisa hili ajue kama ziko na ubora kiasi gani. Na ataendelea kutumia zote kasoro silaha za nuclear.EXPLAINED: Why Russia is Now Attacking Bakhmut With ‘Satanic Zeal’
Russia’s failure to capture the city so far is “a shame they will never be able to wash off,” a Ukrainian official has said, as fighting increased dramatically over the weekend.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Point ni kwamba Russia kupigana hapo bakhumut kwa takriban mwaka mzima ni aibu hambayo haitafutika!Vita ni vita mura, huwezi kuniambia nitumiye panga au mshale, zote ni silaha, kwa Sasa Russia anatest silaha zake vizuri kabisa hili ajue kama ziko na ubora kiasi gani. Na ataendelea kutumia zote kasoro silaha za nuclear.