Kipanya 44 upo kherson sehemu gani.View attachment 2591727
Ningekuwa mimi ndio kiongozi wa Iraq ningetuma kikosi Ukraine upande wa Russia nilipize kisasi😁😁Kwanza hao Ukraine washukuru sn Iraq hawana kinyongo nao kwa waliyowafanyia
Early 2000's Ukraine wakishirikiana na USA
walipeleka vikosi na mizinga bhagdad na kukichafua kwny ardhi ya Iraq.
View attachment 2591724
Kuna mwamba alisema habari zako inategemea na jinsi ulivyo aamka kwa siku hiyo🤣Jana walichinjwa zaidi ya mia nne 🥱🥱🥱View attachment 2591739
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Angalia Russia wanavyotoa taarifa linganisha na hizo za NATO.Kuna mwamba alisema habari zako inategemea na jinsi ulivyo aamka kwa siku hiyo[emoji1787]
WajerumaniSasa basi ile nchi ya Urusi haina tena mfanyibiashara wa Ulaya wala Marekan, na nchi imesimama vizuri kushinda hata kipindi cha Covid, unemployment imepungua sana Urusi, wanajiendesha kwa faida.. Wana rasilimali za kutosha, wananchi wake, raia wamechukua fursa za kazi walizoziacha wageni wa ulaya, zile za taaluma ambazo hazijapata wafanyajikazi wachina wamepita nazo...wahindi ndio usiseme
Huko kuanguka kunatokea wapi wakati Vokswagen ya German imeomba kurudi Urusi kuendeleza kufyatua magari..
Uswiss imeruhusu wawekezaji wa Urusi wawe free kuchukua pesa zao zilizopo Uswiss, na assets za Urusi zipo free from sanction ndani ya Swissland[emoji23][emoji23]
Ila ambao nawaonea huruma zaidi ni Uingereza.... Ishara ya mambo kuharibika tizama Chelsea FC inavyofanywa huko... Sababu kubwa ni kumfurahisha kubwa jinga US....Sasa basi ile nchi ya Urusi haina tena mfanyibiashara wa Ulaya wala Marekan, na nchi imesimama vizuri kushinda hata kipindi cha Covid, unemployment imepungua sana Urusi, wanajiendesha kwa faida.. Wana rasilimali za kutosha, wananchi wake, raia wamechukua fursa za kazi walizoziacha wageni wa ulaya, zile za taaluma ambazo hazijapata wafanyajikazi wachina wamepita nazo...wahindi ndio usiseme
Huko kuanguka kunatokea wapi wakati Vokswagen ya German imeomba kurudi Urusi kuendeleza kufyatua magari..
Uswiss imeruhusu wawekezaji wa Urusi wawe free kuchukua pesa zao zilizopo Uswiss, na assets za Urusi zipo free from sanction ndani ya Swissland[emoji23][emoji23]
Yes,hii emblem yao has more questions than answers.With all due respect,it is 100% satanic.To me it seems Satan owns both sides.Wapiga vinanda wa vitani 😀😀😀
Hata mifupa imekuwa pulverized,dah,Urusi inatisha jamani mm,mpaka damu inasisimka.Baada ya bomu la Urusi lenye nguvu sana (Pengine FAB-1500) kwenye shabaha ya kijeshi huko Orekhovo, mkoa wa Zaporozhye kamanda wa Ukraine anasema ata babaki ya maiti ayaonekani na palikuwa na watu 70.
The fight continues.The Khazarian Mafia with their morons must be eliminated,otherwise humanity as we know it is gone.Russia has shown the way,nations of the World must support them.Nations sitting idle and watching from the sides will only lead to take over of the World by the extremely evil Khazarian Mafia Criminal Cabal which will be a nightmare for humanity.Angalia Russia wanavyotoa taarifa linganisha na hizo za NATO.
Russian forces eliminate over 70 Ukrainian troops in Krasny Liman area
"In the Krasny Liman direction, aircraft, artillery and heavy flamethrower systems of the battlegroup Center struck the enemy units in areas near the settlements of Terny and Grigorovka in the Donetsk People’s Republic and Chervonaya Dibrova in the Lugansk People’s Republic," the spokesman said.
The strikes "eliminated over 70 Ukrainian personnel, an armored combat vehicle and a Gvozdika self-propelled howitzer" in that area in the past 24 hours, the general specified.
Russian forces destroy over 270 Ukrainian troops, mercenaries in Donetsk advance
Russian forces destroyed over 270 Ukrainian troops and mercenaries in their advance in the Donetsk area in the past day, Konashenkov reported.
"The enemy’s total losses in that direction in the past 24 hours amounted to over 270 Ukrainian personnel and mercenaries, a tank, an infantry fighting vehicle, seven armored combat vehicles and five motor vehicles," the spokesman said.
Wagner assault teams liberate two areas in Artyomovsk
Assault teams from the Wagner private military company liberated two areas in northwestern and central Artyomovsk over the past day, Konashenkov reported.
It was reported on April 16 that Wagner fighters liberated two areas in the northwestern and southeastern parts of Artyomovsk.
"In the Donetsk direction, assault teams captured two areas in the northwestern and central parts of the city of Artyomovsk," the spokesman said.
Russian Airborne Force units, operational/tactical and army aviation aircraft, artillery from the battlegroup South provided support for the assault units and immobilized the enemy’s forces on the flanks, the general said.
"Aircraft flew 22 sorties and artillery of the southern battlegroup accomplished 54 firing objectives," Konashenkov reported.
The strikes inflicted damage on the Ukrainian army units in areas near the settlements of Bogdanovka, Chasov Yar and Konstantinovka in the Donetsk People’s Republic, the spokesman said.
Russian forces eliminate 60 Ukrainian troops in southern Donetsk, Zaporozhye areas
Russian forces eliminated roughly 60 Ukrainian troops in the southern Donetsk and Zaporozhye areas over the past day, Konashenkov reported.
Eneo ambalo kipanya 44 na zele walisema hawataacha hata mita moja.Mimi na Putin tuko Kherson saa hizi [emoji23][emoji23][emoji23]tunakagua eneo Letu jipya.
Jana walichinjwa zaidi ya mia tano 🥱🥱🥱🥱View attachment 2589592
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Dawa ya moto mara nyingi ni moto!!!Yes,hii emblem yao has more questions than answers.With all due respect,it is 100% satanic.To me it seems Satan owns both sides.
Huwa najiuliza,how did the Wagner Group come about.What is the relationship with the Russian Government?On what terms are they fighting for the Russian Government.Why has the Russian Government agreed to have Wagner on it's side,is it because it has felt the Russian Army is not strong enough so the group can help?I real do not know,but the whole thing to me is so bizarre.
Wanalazimishwa mkuu, sio kwamba watu wa ukrain hawajui serikali yao ya sasa inatumiwa na US na UK, ila watafanya nini wakat wenye mamlaka wamewashikia bunduki, na ukiwabishia wanakuita ni pro-russia, wanakufanya hamna..Kwanini wanajisalimisha wapigane tu si wamependa kupigana.
Well said..the guy is a stooge, moron, sell out, a western agent and a traitor to our (developing world) causeKipanya your comments show clearly your blind allegiance to the evil Western Goverments no matter what.It is obvious that they feed you and dress you.Despite the blind allegiance however,you do show that you are aware of the failure of Western Governments in the Ukrsine-Russia war.Kipanya I know who you are,a moron of the West and a CIA agent.Whatever the case may be,please take note that the US Evil Empire of Lies of which you are a staunch supporter is at the verge of total collapse.