LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Kuna ule msemo wa kichina, nadhani unapatikana katika kitabu Cha Sun Zhii Art of War
Kinasema ni Bora uwe mpiganaji halafu ufanye kazi za kutunza maua kuliko kuwa mtunza maua katika uwanja wa vita
 
Hawa walikufa wote
Ndo maana nimeona aibu mimi ivi hawa pro Russian akili zao sijui zikoje yaani mnapenda kujisifu na vitu vilivyo fell kweli kweli mfano hawa makomandoo wenu uchwara wote waliuwa siku ya ya kwanza ya vita jioni yake na uwanja ukakombolewa siku ya kwanza ya vita jioni yake sasa eti mtu anashangilia mishen ambayo haikufanikiwa yaani mtu anashamgilia misheni iliyo fel ama kweli warusi mlijimwambafy sana kupita ata uhalisia saivi ndo mnavishwa shanga mnashangaaata hamuamini mnachokiona front line , JAVELLIN, STINGER, NLAW , MAN PADS ,hii combination ni hatari sana kwa usalama wa askari wenu uchwara
 
Nimemuelewa Putin aliposema Ukraine Ni Neo Nazi
 

Russian Forces Down Ukrainian Mi-24 Helicopter, Three UAVs, Including Bayraktar Drone​

The Russian Armed Forces are continuing to conduct the special operation in Ukraine, which was ordered by President Vladimir Putin on 24 February following a request from the Donetsk and Lugansk People's Republics (DPR and LPR) to protect them.
 
Mpaka Sasa Nikolaev, Mariupol, Maliutopol imeshaanguka mikononi mwa Mrusi.
Bado Odessa ili Urusi iwe imeichukua miji yote ya Mashariki na kaskazini mashariki mwa Ukraine.

Bado kiev, Irpin, Dniper ili iwe Ukraine imekamatwa katikati na itakuwa miji yote imeshatwaliwa.

Labda watabaki na LYIV wa kule Magharibi ambao nao umeanza kupigwa maroketi
 
Nimemuelewa Putin aliposema Ukraine Ni Neo Nazi
Af me nilichoelewa ni kua sio taifa zima la Ukraine ni Neo Nazi bali ndani ya Taifa hilo kuna Neo-nazi na zaidi wana influence kubwa kwe utawala kiasi kinachopelekea ata ile aman ndani ya Ukraine yenyewe haiko sawa kiasi cha kuanza kutengana wao kwa wao na zaidi kuuana wao kwa wao...

Na nahisi ndo sababu ilopelekea pia kuzaliwa kwa hizo republic mbili ya Luhansk na Donestik...

Kuna hii picha apo chini ukiangalia ni Kifaru cha Ukraine na ni wanajesh wa ukraine hao wameamua kulipiga alam ya Z...

Kwenye huu mgogoro binafs nahisi kuna kitu hakipo sawa kabisa... Bas tu tutakuja kutambua uko mbeleni.View attachment 2148331View attachment 2148332
 
hivi hawa jamaa wana connection gani na NAZI? although, cha kushangaza, rais wa ukraine ni Myahudi ambaye babu yake aliuawa na NAZI kwenye consentration camps, tuseme na yeye anapenda au kuendeleza unazi? ambao ndio walimifanya ukoo wake ukakimbilia Ukraine kwa mateso makubwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…