MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 4,041
- 10,699
Kuna ule msemo wa kichina, nadhani unapatikana katika kitabu Cha Sun Zhii Art of Warwamagaribu wametest uimara wa silaha zao na ukraine hata haelewi kama wenzake wapo kwenye practical field. tz hatuhitaji kupoteza hela kununua haya mavitu, hatutegemei kuwa na vita any time soon, vita dhidi ya nani? na kwasababu gani? labda dhidi ya zenji wakitaka kujitenga.
Kinasema ni Bora uwe mpiganaji halafu ufanye kazi za kutunza maua kuliko kuwa mtunza maua katika uwanja wa vita