Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,940
- 15,665
Mkuu hiyo mbinu yajulikana kwa jina la 'medieval siege tactics' au 'siege tactics'.Hivi hii mbinu inaitwaje?
Anapiga nchi nzima kwa wakati mmoja. Wale jamaa ni wahuni kweli.Ninachompendea Russia anaenda na miji mingi kwa wakati mmoja...yaani anawapeleka mperampera majeshi ya Ukraine ktk miji yote [emoji1787][emoji28][emoji38][emoji1][emoji39]
Sasa Kama adui anapiga kutokea umo Wafanyeje sasa?Warusi wamepanick,wameanza kushambulia maeneo ya raia.Baada ya hospital Sasa wameshambulia msikiti!View attachment 2147924
Braza naomba tenda ya kutoa propaganda hasi kwa warusi. Naelewa mpaka sasa tumeua wanajeshi 12000 wa urusi, sisi hajafa hata mmoja, hakuna mji warusi wameukamata, ila sisi tunaelekea moscow kumaliza kazi.unaboreka na maisha ya mtu? unashida kichwani halafu hizo gwanda na rangi mbona sehemu yoyote inapatikana tu
au umesahau kuna convoy ya wanajeshi wa kirusi ilishikwa ikiwa na gwanda za jeshi la ukraine mbona kawaida acha kutoa matango pori

Uzuri ni kwamba raia washatolewa, waliobki Ni wanajeshi[emoji4]Mariupol hali ni mbaya sana, Russia anaupeleka moto mji huo kila baada ya dakika 30. Ni mchakamchaka mkali, hakuna kupumua!
View attachment 2147976
Shukrani mkuu kwa elimuMkuu hiyo mbinu yajulikana kwa jina la 'medieval siege tactics' au 'siege tactics'.
Ktk mbinu hiyo, mji unaolindwa sana na majeshi yake (mfano miji ya Ukraine) inzingirwa na majeshi mageni (ya Russia), mawasiliano yake na njia za kuingiza silaha, wapiganaji wengine (toka miji jirani) na vyakula vyazuiwa, kisha moto mkali (mvua za makombora na mabomu) wapelekwa ndani ya mji huo hadi wanaoulinda wanalegea, kisha unajichukulia mji.
Russia huipendelea sana mbinu hiyo ktk oparesheni zake za kijeshi. Amewahi kutumia mbinu hizo huko Chechnya na Syria, na sasa Ukraine
=======
View attachment 2148395
Russia is deploying brutal siege tactics in Ukraine
Mass bombardments and cluster munitions are reminiscent of the wars in Syria and Chechnya.www.vox.com
Wewe ni taahira kama unaamini hii kitu! Dah....[emoji2297]Naomba kazi ya kusambaza propaganda, angalia mfano huu
Mpaka sasa wanajeshi 12,000 wa urusi wamekufa huku wanajeshi wa Ukraine wakiwa hawajauawa hata mmoja. Urusi inaenda kufulisika ndani ya mwez mmoja, hakika shetani Putin atajutia maamuzi yake.
Nchi za mungu, USA na umoja wa ulaya wanamchora tu Putin, mda si mrefu watamfuta kwenye ulimwengu.
Finland hali ikiendelea anageuka greece ya piliHadi [emoji634] Italy hali ni kama ya finland
Mwenye akili zako andka basiUkiambiwa huna akili unaaanza kulia lia emu jisomee hiki ulichoandika uone kama kweli hiki kilifaa kuandikwa na wewe