Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Converted to pagan, islam, jews, freemason even to witches and wizard...no one give tha "Fuud"
 
Ask Macron
 
Waacheni wajipe moyo ila makaburi hayaongopi. Naskia kuna hectare kibao zimetengwa kwa ajili ya mazishi ya wanamgambo wa Ukraine. 😀
Senselessky ni binadamu katiri sana na hana utu - hawajali waUkraine wenzake hata wakifakwa mamillion wala hajali anacho jali yeye ni kitekeleza amri na malengo ya watawala wa Merikani - hana habari na Waukraine, wakati meingine huwa najiuliza maswali mengi sana: Hivi huyu ni Mukraine asilia au pandikizi maana nasikia anajua kuzungunza na kuandika lugha ya Kirusi zaidi kuliko Kiukraine ambacho wajuzi wa mambo wanasema ana mangle maneno mengi ya Kiukraine - swali ni, je, alikuwa recruited siku nyingi na western intel agencies ili baadae aje kutumika kujaribu kuidhoofisha Urusi kijeshi na kuhujumu Uchumi wa Urusi ie fighting a proxy war on USA behalf - these crooks are very crafty indeed - kumbukeni yaliyo mtokea Gorbachev baada ya kurubuniwa na western intel agencies - si watu wema hata kidogo.
 
Hapana Mkuu Extrovert.
Russia haikutingishwa mwanzo wa vita hata kidogo.
Isipokua Hali ilikua kama hivi.

-Jeshi la Ukraine lilikua bado liko fiti kabisa tayari kukabiliana na jeshi lolote hapa duniani,hasa likiwa na mafunzo makali kabisa kutoka majeshi Bora kabisa ya NATO.hasa USA,UK,Her,Fra,Canada n.k.

-jeshi la Ukraine lilikua bado liko na silaha Bora kabisa,kutoka Iliyokua USSR,USA UK na NATO.

-jeshi la Ukraine lilikua linapata taarifa zote muhimu kivita dhidi ya jeshi imara kabisa hapa chini ya jua.
Taarifa muhimu kama vile Urusi wanakuja na silaha Gani,mipango Yao,jinsi ya kuwapiga na kuingilia mawasiliano yao.taarifa hizi Ukraine alikua akipewa na NATO hasa USA UK Fra na Ger n.k.

-ukraine ikiwa na askari wenye morale ya Hali ya juu kabisa wakiwa brainwashed na ahadi no no-no kua wataishinda Red Army na kua Urusi itashindwa mfano wa USA walivyoshindwa Vietnam.

-Ukraine ikiwa na advantage ya "eneo",
Ikiwa imepakana na nchi zote wanachama wa NATO hivyo ikawa rahisi kupokea misaada haraka kutokea Western countries.

-ukraine ilikua Ina ngome ngumu sana kijeshi zilozojengwa kwa msaada wa NATO Kwa ajili ya kuja kukabiliana kijeshi na Might Russia.

Hivyo basi Russia wala haikua dhaifu,wala haikubahatisha,wala haikukurupuka.
Kumbuka Ukraine ilikua ni sehemu ya Urusi USSR kwa maana hiyo Wana masalia Yao yanayopata taarifa zote za kinachoendelea Ukraine,Wana majasusi Bora kabisa,hivyo,walikua wanajua Kila kitu kinachoendelea Ukraine kwa msaada wa NATO.
ilikua ni suala la muda TU.

Urusi Walifanya maandalizi yote ya hii SMO na kwa kujua uwezo wa kijeshi aliokua nao Ukraine Urusi akapanga mipango yake yote ya uvamizi huku akijua anaenda kukabiliana na nchi yenye uwezo Gani wa kijeshi.alijua fika atapoteza askari na vifaa vingi sana,kwani moja ya sababu kubwa kabisa ya SMO hii ni kumvua na kumnyang'anya Ukraine uwezo wake wa kijeshi.hapa sio mchezo,kumnyang'anya silaha mtu alieishika na akiwa ana mafunzo mujarabu kabisa sio kitu kidogo.yaani kuifanyia nchi kamili kitu kinachoitwa"Demilitalization"sio jambo dogo ATI,Tena nchi yenyewe inapewa Kila aina ya misaada inayotaka kutoka NATO.

Sasa basi Urusi iliyajua yote haya na ikaanzisha OP yake,wakati Ukraine ikiwa bado Iko fiti kabisa,ukweli hata Ingekua nchi Gani hapa duniani ni lazima ingepata upinzani mkali kabisa kutoka Kwa nchi yenye uwezo iliyokua nao Ukraine.
USA iliwahi kupata upinzani,Iraq, Afghanistan n.k.kwa Nini isiwe Russia?

Lakini basi kwa kuyajua hayo yote ,Might Russia ilianza kuvunja ngome moja Hadi nyingine, taratibu, hatua kwa hatua.

Kama inavyofahamika,katika vita huwezi ukaanza na silaha kubwa,Bali unakua unaingiza silaha kubwa kutokana na upinzani kuongezeka.
USA na washirika wake walisumbuliwa kidogo na Scud B za sadam husein,ndipo.wakaleta mwarobaini wake Patriot.
Vivyo hivyo kwa Urusi,sio kwamba haikua na solution za akina Juveline, Himmers nk.bali walipoona kua kumbe aina hiyo ya silaha zipo nao wakaleta Tiba zake.

Mwisho kabisa ni kwamba,kazi ya kulivunja nguvu jeshi la Ukraine ilikua ni ngumu yenye jasho na damu,lakini Sasa hatimae wameshalivunja tayari.
Silaha zote zinazotumika Sasa upande wa Ukraine ni mpya,ni zile zinazoingizwa kwa njia za panya na kificho,nazo zikibainika zinateketezwa.

Sio kwamba Urusi ilikua haijapata in war experience,Bali jeshi la Ukraine lilikua bado ni imara.
Urusi kafanya kazi kubwa na ya hatari sana ya kuli neutralize.
hatimae kamudu,na Sasa anajipigia TU.
 
Hapana, mimi nimemuelewa kua ni wise and democratic leader hatak kuwa-undemine viongozi wa hizo region, kawaacha wawe free kujiamulia mambo yao baada ya kuwatatulia shida ya kupigwa mabomu kila siku na Kyiv-US regime.
 
Hivi hayo mazoezi yanafanyikaje?, Wanafanya kwa kuvipiga mabomu au kukimbiakimbia ndo vinanyofoka vyenyewe ?

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Buti la mtumba kwenye tope sio ajabu ukaacha soli..wawape silaha zao za uhakika ili US akivurugwa akiliamsha dude ukrain watajilinda nann dhid ya nuke za mrusi?
 
Umesema kuwa urus wana namna ya kulifanya kombora lishambulie eneo tofaut na lilipokusudiwa huon km si kawaida???


Mtumish wa us akiwa na akili zake timamu amejikuta anavujisha taarifa ambazo aliapa kuzilinda huon km si kawaida???
😃😃😃😃😃😃😃😃🤣🤣🤣🤣🤣🤣🇷🇺💪🙏
 
Msifiche maovu ya wanazi halisi kwa kuwaita wapenda nchi zao majina ya kinazi..wakati tawala mnazo-force zitawale nchi za wenzenu ndio wanazi..
 
Ulikuwa unajazwa na pro Russia, lakini Kwa aibu anayoipata super pawer wa kwenye makaratasi hasa kule bakhumut,amewakatisha tamaa warusi wa buza [emoji1787]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hapana, uzi mzima huu ulijazwa na wanazi sasa wameshaona unazi wao haupendwi enzi hizi za uhuru na kujitegemea, nafsi zimewasuta walichokua wanakipigania ni maslahi ya kuja kuondolewa marinda yao, sasa mmebaki wanazi watatu(3) tuu humu jamvini
 
Da uchambuzi makini sana huu.
Watu mnajua Hadi mnatisha.
Safi sana mdau.
 
Aiseeee... jamaa ni hatari sana.
 
Moja ya uchambuzi bora sana huu kula tano mkuu
 
Atokee mpumbavu aitaje tu ICC wakati putin yupo South africa ndo atajua kwa nini kuku hakojoi.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…