kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Umefafanua vizuriHapana Mkuu Extrovert.
Russia haikutingishwa mwanzo wa vita hata kidogo.
Isipokua Hali ilikua kama hivi.
-Jeshi la Ukraine lilikua bado liko fiti kabisa tayari kukabiliana na jeshi lolote hapa duniani,hasa likiwa na mafunzo makali kabisa kutoka majeshi Bora kabisa ya NATO.hasa USA,UK,Her,Fra,Canada n.k.
-jeshi la Ukraine lilikua bado liko na silaha Bora kabisa,kutoka Iliyokua USSR,USA UK na NATO.
-jeshi la Ukraine lilikua linapata taarifa zote muhimu kivita dhidi ya jeshi imara kabisa hapa chini ya jua.
Taarifa muhimu kama vile Urusi wanakuja na silaha Gani,mipango Yao,jinsi ya kuwapiga na kuingilia mawasiliano yao.taarifa hizi Ukraine alikua akipewa na NATO hasa USA UK Fra na Ger n.k.
-ukraine ikiwa na askari wenye morale ya Hali ya juu kabisa wakiwa brainwashed na ahadi no no-no kua wataishinda Red Army na kua Urusi itashindwa mfano wa USA walivyoshindwa Vietnam.
-Ukraine ikiwa na advantage ya "eneo",
Ikiwa imepakana na nchi zote wanachama wa NATO hivyo ikawa rahisi kupokea misaada haraka kutokea Western countries.
-ukraine ilikua Ina ngome ngumu sana kijeshi zilozojengwa kwa msaada wa NATO Kwa ajili ya kuja kukabiliana kijeshi na Might Russia.
Hivyo basi Russia wala haikua dhaifu,wala haikubahatisha,wala haikukurupuka.
Kumbuka Ukraine ilikua ni sehemu ya Urusi USSR kwa maana hiyo Wana masalia Yao yanayopata taarifa zote za kinachoendelea Ukraine,Wana majasusi Bora kabisa,hivyo,walikua wanajua Kila kitu kinachoendelea Ukraine kwa msaada wa NATO.
ilikua ni suala la muda TU.
Urusi Walifanya maandalizi yote ya hii SMO na kwa kujua uwezo wa kijeshi aliokua nao Ukraine Urusi akapanga mipango yake yote ya uvamizi huku akijua anaenda kukabiliana na nchi yenye uwezo Gani wa kijeshi.alijua fika atapoteza askari na vifaa vingi sana,kwani moja ya sababu kubwa kabisa ya SMO hii ni kumvua na kumnyang'anya Ukraine uwezo wake wa kijeshi.hapa sio mchezo,kumnyang'anya silaha mtu alieishika na akiwa ana mafunzo mujarabu kabisa sio kitu kidogo.yaani kuifanyia nchi kamili kitu kinachoitwa"Demilitalization"sio jambo dogo ATI,Tena nchi yenyewe inapewa Kila aina ya misaada inayotaka kutoka NATO.
Sasa basi Urusi iliyajua yote haya na ikaanzisha OP yake,wakati Ukraine ikiwa bado Iko fiti kabisa,ukweli hata Ingekua nchi Gani hapa duniani ni lazima ingepata upinzani mkali kabisa kutoka Kwa nchi yenye uwezo iliyokua nao Ukraine.
USA iliwahi kupata upinzani,Iraq, Afghanistan n.k.kwa Nini isiwe Russia?
Lakini basi kwa kuyajua hayo yote ,Might Russia ilianza kuvunja ngome moja Hadi nyingine, taratibu, hatua kwa hatua.
Kama inavyofahamika,katika vita huwezi ukaanza na silaha kubwa,Bali unakua unaingiza silaha kubwa kutokana na upinzani kuongezeka.
USA na washirika wake walisumbuliwa kidogo na Scud B za sadam husein,ndipo.wakaleta mwarobaini wake Patriot.
Vivyo hivyo kwa Urusi,sio kwamba haikua na solution za akina Juveline, Himmers nk.bali walipoona kua kumbe aina hiyo ya silaha zipo nao wakaleta Tiba zake.
Mwisho kabisa ni kwamba,kazi ya kulivunja nguvu jeshi la Ukraine ilikua ni ngumu yenye jasho na damu,lakini Sasa hatimae wameshalivunja tayari.
Silaha zote zinazotumika Sasa upande wa Ukraine ni mpya,ni zile zinazoingizwa kwa njia za panya na kificho,nazo zikibainika zinateketezwa.
Sio kwamba Urusi ilikua haijapata in war experience,Bali jeshi la Ukraine lilikua bado ni imara.
Urusi kafanya kazi kubwa na ya hatari sana ya kuli neutralize.
hatimae kamudu,na Sasa anajipigia TU.
Mkuu nilichogundua pro russia wengi vichwani wapo vizuriComment of the day, shukran sana mkuu haya madini hayapatikani kokote zaidi ya hapa JF.
Sawa,tuombe uzima.Mkuu siku ukitulia fungulia uzi hii,tena weka jukwaa la intelligence ili watoto wasitufuate
Umenukuu sehemu au mtazamo wako???[emoji298][emoji298]Russian elites are wary of their future and are therefore looking for contacts with Ukraine and other countries in order to seal security guarantees for themselves after [emoji298][emoji298]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hapa anaongea kama vile hii ndio first wave ya kujitanua kuelekea Mashariki mwa Ulaya.Speaking after a meeting of the Ukraine Defense Contact Group on April 21, U.S. Defense Secretary Lloyd Austin said that Russia's war against Ukraine is "not the result of NATO enlargement" but "the cause" of it.
According to Austin, Russian dictator Vladimir Putin "made a series of grave miscalculations" when he ordered a full-scale invasion of Ukraine over a year ago.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Shukrani mkuu!Sawa,tuombe uzima.
Ukraine anajipangia kiwango Cha misaada [emoji23][emoji23]Ukraine wamezitaka nchi za westerns kuanza ku donate misaada ambayo ni sawa sawa na 1% ya GDP zao.
Wanasema kwamba kwa sasa wanahitaji misaada mara 10 zaidi ya ile ambayo imekwisha tolewa.
View attachment 2596542
Ukiona hivyo ujue kuna yanayoendelea nyuma ya pazia na ndiyo yanayompa nguvu ya kutoa takwa hiloUkraine anajipangia kiwango Cha misaada [emoji23][emoji23]
Na hii inaonesha kwamba Ukraine anajiamini, si dhaifu Tena!Ukraine anajipangia kiwango Cha misaada [emoji23][emoji23]
Mkuu wengine tulikua wasomaji kabla hatujaamua kua wanachama tumejiunga baada ya kuuona tunabaki kusoma bila kuchangia 😁😁ID changers wamepotelea wapi.... Napita mtaa upo kimya sanaaaa yani....
Kujiamin ktk jambo usiloliweza nao ni udhaifuNa hii inaonesha kwamba Ukraine anajiamini, si dhaifu Tena!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hadi mwisho wa mwaka huu hakutakua na taifa linaloitwa Ukraine[emoji298][emoji298]Russian elites are wary of their future and are therefore looking for contacts with Ukraine and other countries in order to seal security guarantees for themselves after [emoji298][emoji298]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
The Russian military has apparently destroyed most of Kiev forces’ first Polish-made Krab self-propelled 155 mm howitzers.The region’s governor has announced the evacuation of 3,000 people, just days after an explosion in the city injured several people and humiliated the Kremlin.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Na hii inaonesha kwamba Ukraine anajiamini, si dhaifu Tena!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Medvedev - ni binadamu matata na mkweli - hiyo itakuwa parade ya pili ya Warusi katika mji wa Berlin Ujerumani katika karne hii, ya kwanza ilikuwa mwaka 1945/46 kama sikoei wakati Field Marshal's Zhukov Red Army ilipo goose march kwenye mji wa Berlin baada ya kupandisha bendera ya Urusi kwenye mlongoti wa Bunge za Hitler,baada ya jeshi kulishinda vibaya sana jeshi ka Hitler!!Medvedev: When the Germans intend to attack Russia, he should prepare for the parade of our army in Berlin.
Nato akili hawanaNasikia wemerudi tena Ukraine kisiri siri kufungua tena maabara zao a kibailojia na kikemikali - vigumu sana kuelewa akili za binadamu hawa!!