Asilimia kubwa ya viwanda vya kijeshi Urusi ni state enterprises.Inakuwa ni rahisi kufanya maboresho kwa haraka sana kulingana na mazingira..mambo yanaenda kijeshi..Kwa hali ilivyo USA lazma ataufyata tu maana jinsi walivyokuwa wanaichukulia Urusi mwanzo wa vita hivi waliiona ni underdog ambaye anabwata tu ila hana ishu kumbe mwamba vyombo anavyo ila alikuwa hajapata ile in-war experience tu ya kuvitumia na alitingishwa kiasi flani ila kwa sasa ameweza ku update vifaa vyake na vinafanya kazi in harmony with more than 90% effectiveness.
Mwanzo walisumbua sana na Javelin zao na Himars ila sass mrusi amezipatia mwarobaini wake baada ya ku update software AD ya S300 na kutumia mitambo mingine ya kwenda.
Sahizi jeshi la Urusi limejipanga vizuri linakaba angani na huku chini Wagner PMC wanapeleka moto kila kona ndio maana Ukraine hawapumui.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Ooo yes najua Pasi inatosha ila nilikua nachangamsha mjadala TU na mdogo wangu abdulqadrj.
Kuwa pro Russia ni raha sanaπ€£π€£Mkuu gamba a.k.a passport si inatosha?
Sasa Cha NIDA Cha nini wakati international arena?
N.B ukitaka kujiunga Wagner wamefungua ofisi hapo UG ikiwa una Military experience hata tu JKT.View attachment 2596653
Lala wewe lπ³οΈβπLive Update: Putin anapokea kichapo kitakatifu muda huu...mambo ni magumu sana kwake pale Barkmut
Ni kichapo cha mbwa koko!!Lala wewe lπ³οΈβπ
Live Update: Putin anapokea kichapo kitakatifu muda huu...mambo ni magumu sana kwake pale Barkmut
Hata kwenye vyombo vya habari tunatafuta taarifa kwa tochi hazipatikani Russia amejimilikishia eneo halafu kakaa kimya hakuna kinachoendelea.Nahisi Vita Ukraine imeshaisha. Nakumbuka some days back kwenye hili jukwaa unakuta kwa siku comment hata 70 na kuna wadau humu unakuta anatupia hata 15 yeye peke yake. Sasahivi eti kwa siku ni comment 3 na hakuna updates kwenye uwanja wa vita zaidi ya maoni tu.
Mdogomdogo group linafika mwisho kama ilivyokuwa lile group lamsiba wa JPM
Binafsi nimpongeze anayejiita Askarimaji kwa kuanzisha hii Thread mara tu mgogoro ulivyoanza.
The Russia SMO in Ukraine is almost finished, what they are doing now is just clearing few pockets
Dah hapo watakua wameharibu Kila kituNa tetesi zinasema kuna mpango wa kutoa movie ya James bond akiwa Shoga Sasa.Mambo ya MI6 hayo
ππ·πΊπͺ[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Kuna watu hawataamini,lkn ukweli ni kua Dola imekwisha achwa.BRICS De-Dollarization Push Gaining Momentum β Jakarta
Indonesia is following the lead of the BRICS group in its policy of shifting away from the US dollar in trade and financial transactions, and has introduced transactions in the local currency to settle cross-border trades, according to the Bank of Indonesia.
Indonesia has already implemented the practice with a number of countries, such as Thailand, Malaysia, China, and Japan. It also plans to sign a cooperation agreement with South Korea regarding local currency trading in early May.
The BRICS economic bloc β comprising Brazil, Russia, India, China, and South Africa β claims to be working on establishing a joint payment network to cut reliance on the Western financial system, and on the dollar in particular.
Subscribe to RT
Na Raha ya Pro Russia humu Jukwaani ni kusimamia ukweli.Kuwa pro Russia ni raha sanaπ€£π€£
"Kwa hiyo the man with blue eyes" atakuwa anapumuliwa sivyo!!?Na tetesi zinasema kuna mpango wa kutoa movie ya James bond akiwa Shoga Sasa.Mambo ya MI6 hayo