Hahahahahah anawakung'uta vizuri tu na hamna kitu watamfanya😀Yes kilicho baki wanajisifu Kafanya ugaidi tu hawana jipya.
Kipigo wanachopata wote hawaamini na ndio maana tulikua tunaambiwa Russia anaweza kuwapiga west wote kwa wakati mmoja na hili limethibitika
Amedandia mtumbwi wa vibwengo awamu hii. Watu washamchoka anakaziwa sana na mnyama dubuMarekani anakemewa Kama mtoto aliyedokoa nyama mda huu yaani kafumaniwa mpka amepakwa mafuta yaani mwaka huu marekani kajichanganya.
Wao ni kumwaga kisago cha kwenda. Yani mwana ukome. 😀😀😀Kila wakijikusanya wafanye counter attack kichapo cha mabomu kinawakuta hapo hapo juzi kati hapa ukraine ilitaka kufanya counter attack kubwa huko zaporozinye wanajeshi wa ukraine walipewa kipigo kikali mno. safari hii warusi wamejipanga vyema kudadeki
Sasa beki tatu atasemaje km boss US kasema haipend Urusi...
Pole sana mkuu kwa masitilesi. Hiyo picha ina miaka mitano sasa
Abrahm na leopard zinapigwa na kamikaze inatosha..‘World-Beating’ T-14 Armata Tank Is Now in Combat, Says Russia
The T-14 Armata is supposed to be Russia’s answer to America’s Abrams and Germany’s Leopard 2, but observers suspect the tank may be the military version of vaporware.
Read more on our website.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hii si tuliambiwa ni project ya kwenye makaratasi
kuna mtu anajiita ARMATA 14
This is deportation[emoji16][emoji16][emoji16]Ukraine’s Intelligence, in coordination with the Office of the President and the Ministry of Foreign Affairs, evacuated 87 Ukrainian citizens from the embattled capital of Sudan, Khartoum.
Currently, all evacuees are on the territory of Egypt. They have been provided with the necessary medical care, food and water.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wanatumia Ruger dhid ya Kalanishkov [emoji16][emoji16][emoji16] kweli NATO nchi 30+ ni dhaifuu dhid ya nchi 1‘We’re Tired’: The Exhausted Ukrainian Soldiers Still Holding Out in Devastated Bakhmut
Several Ukrainian servicemen from the Aidar assault battalion fending off Russia’s encirclement said they needed advanced artillery and ammunition to match and outgun Russian forces.
Read more on our website.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Yaan kwa hii dunia ya leo unategemea confidential information kuwa well precise published?T-14 Armata iko kwenye trials and testing. Testing kits zilizopo mara ya mwisho taarifa za ndani zilisema wanazo units 6.
Kwanza hakina engine yake yenyewe, Uralvagonzavod walikosea kutengeneza kifaru kabla hawana engine halisi wakawa na compartment ndogo ya kifaru kwa kutegemea injini inayotengenezwa ambayo ni ndogo ila ikashindikana. Mtengeneza kifaru alijiamini injini itakuwa tiyari na acceptable, mtengeneza injini anachelewesha. Ni kama Uturuki walivyobeti injini ya Altay MBT yao ambayo jana Jumatatu walianza testing lakini ile ni licence production ya K2 Black Panther cha South Korea ambao nao walisaidiwa na Ujerumani.
Warusi watatakiwa wakomae na injini au waunde nyingine, hapo ni miaka mingine inaongezeka. Injini successful inayoendesha T-72 na T-90 ni kubwa haijai kwenye...... am coming
.... kifaru. Injini ya T-80 ni tofauti kidogo kwa kuwa kilitengenezwa kuhimili baridi zaidi. Na teknolojia kubwa ya gas turbine engines, helicopter engines na za vifaru kwenye USSR ilikuwa Ukraine. Wachina walinunua sana hizo teknolojia.
T-14 Armata haina namba za kutosha kuingia vitani, wala hawawezi kukubali risk ya kuileta frontline isipigwe na adui. Tatizo la kifaru kina tani 60+ kikiharibiwa frontline unakiacha sasa Western watakisoma. T-90M ambayo ni most modern tank ya Russia kwenye invention unit moja iko Marekani, waliichukua Ukraine ile retreat Warusi wanaita "goodwill gesture"View attachment 2599709
Kwahiyo mkwamo wa T-14 Armata ni uleule wa Su-57 ambayo nayo haina injini yake yenyewe badala yake hadi leo wanatumia injini ya Flanker (AL-F... something) ambayo sio ideal for stealth jet kwahiyo hawawezi fanya mass production ya Su-57 mpaka wawe na injini ya Izdeliye 30. China nao J-20 yao haijapata injini yake ila wao hela wanazo wametengeneza ndege inakadiriwa kama 200 baadae injini yake nadhani ile ni WS-15 ikija ndio watoe hizi injini waweke nyingine.
Na hizo Leopalds na Challengers ni za zamani hazina tofauti sana na T-72 kwenye performance tena kama T-72BM inazizidi. Challenger 1 ina better protection ila ina optics dhaifu, Leopald hii inayoenda Ukraine ina optics nzuri kuliko Challenger hii lakini ina weak protection. Kwanza kati yao kama sisahau kuna inayotumia 105mm gun wakati vifaru vingi sasa ni 125mm. Hivyo vyote vina generation 1 optics ambazo zinazidiwa hata na optics za modernized T-64 za Ukraine ambazo zina hata ERA blocks. Vifaru vya Urusi hivyo vina gen 2 hadi 3+ optics ila nao wana ancient T-55 na T-64 zilizokuwa mothballed kwenye unforgiving environment.
Kiufupi natarajia maajabu ya Bradleys za Marekani kuliko vifaru. Kwenye kazi yake Bradley inafanya vizuri. Marekani sioni itatoaje Abrams za zamani wakati zina uranium armour na kisheria ni marufuku kuzisafirisha nje. Zile Abrams za Misri hazina hiyo armour na Marekani haikubakiza tanks kama hizo.
Mliambiwa na nani?Yaan kwa hii dunia ya leo unategemea confidential information kuwa well precise published?
1. Tuliambiwa hawana chakula
2. Tuliambiwa wameishiwa chip wanatumia washing mashine
3. Tuliambiwa hawana uniform za msimu wa baridi
4. Tuliambiwa wameishiwa silaha wameanza kuomba china na north Korea
5. Tuliambiwa hawana makombora ya hypersonic na ki sayansi ni ndoto kuwepo
6. Yuliambiwa hizo T armata ni project ya makaratasi
7. Tuliambiwa wanatumia tank za kisoviet maana tank zimeteketezwa Ukraine
Bado tu unaamin vyombo vya habari vya western? Wake up mkubwa!!!
UK na US inteligency kupitia western mediaMliambiwa na nani?
Hii post ni nzuri na ya kusisimua, ila nina uhakika "pysical story" ni tofauti sana na hii "written story"T-14 Armata iko kwenye trials and testing. Testing kits zilizopo mara ya mwisho taarifa za ndani zilisema wanazo units 6.
Kwanza hakina engine yake yenyewe, Uralvagonzavod walikosea kutengeneza kifaru kabla hawana engine halisi wakawa na compartment ndogo ya kifaru kwa kutegemea injini inayotengenezwa ambayo ni ndogo ila ikashindikana. Mtengeneza kifaru alijiamini injini itakuwa tiyari na acceptable, mtengeneza injini anachelewesha. Ni kama Uturuki walivyobeti injini ya Altay MBT yao ambayo jana Jumatatu walianza testing lakini ile ni licence production ya K2 Black Panther cha South Korea ambao nao walisaidiwa na Ujerumani.
Warusi watatakiwa wakomae na injini au waunde nyingine, hapo ni miaka mingine inaongezeka. Injini successful inayoendesha T-72 na T-90 ni kubwa haijai kwenye...... am coming
.... kifaru. Injini ya T-80 ni tofauti kidogo kwa kuwa kilitengenezwa kuhimili baridi zaidi. Na teknolojia kubwa ya gas turbine engines, helicopter engines na za vifaru kwenye USSR ilikuwa Ukraine. Wachina walinunua sana hizo teknolojia.
T-14 Armata haina namba za kutosha kuingia vitani, wala hawawezi kukubali risk ya kuileta frontline isipigwe na adui. Tatizo la kifaru kina tani 60+ kikiharibiwa frontline unakiacha sasa Western watakisoma. T-90M ambayo ni most modern tank ya Russia kwenye invention unit moja iko Marekani, waliichukua Ukraine ile retreat Warusi wanaita "goodwill gesture"View attachment 2599709
Kwahiyo mkwamo wa T-14 Armata ni uleule wa Su-57 ambayo nayo haina injini yake yenyewe badala yake hadi leo wanatumia injini ya Flanker (AL-F... something) ambayo sio ideal for stealth jet kwahiyo hawawezi fanya mass production ya Su-57 mpaka wawe na injini ya Izdeliye 30. China nao J-20 yao haijapata injini yake ila wao hela wanazo wametengeneza ndege inakadiriwa kama 200 baadae injini yake nadhani ile ni WS-15 ikija ndio watoe hizi injini waweke nyingine.
Na hizo Leopalds na Challengers ni za zamani hazina tofauti sana na T-72 kwenye performance tena kama T-72BM inazizidi. Challenger 1 ina better protection ila ina optics dhaifu, Leopald hii inayoenda Ukraine ina optics nzuri kuliko Challenger hii lakini ina weak protection. Kwanza kati yao kama sisahau kuna inayotumia 105mm gun wakati vifaru vingi sasa ni 125mm. Hivyo vyote vina generation 1 optics ambazo zinazidiwa hata na optics za modernized T-64 za Ukraine ambazo zina hata ERA blocks. Vifaru vya Urusi hivyo vina gen 2 hadi 3+ optics ila nao wana ancient T-55 na T-64 zilizokuwa mothballed kwenye unforgiving environment.
Kiufupi natarajia maajabu ya Bradleys za Marekani kuliko vifaru. Kwenye kazi yake Bradley inafanya vizuri. Marekani sioni itatoaje Abrams za zamani wakati zina uranium armour na kisheria ni marufuku kuzisafirisha nje. Zile Abrams za Misri hazina hiyo armour na Marekani haikubakiza tanks kama hizo.
huyo hata umuimbie na gitaaa huku unampepea hawezi kuamka...alishajizima data na password aliacha kwa mfuko na nguo ikafuliwa na kukauka kale...!!!Yaan kwa hii dunia ya leo unategemea confidential information kuwa well precise published?
1. Tuliambiwa hawana chakula
2. Tuliambiwa wameishiwa chip wanatumia washing mashine
3. Tuliambiwa hawana uniform za msimu wa baridi
4. Tuliambiwa wameishiwa silaha wameanza kuomba china na north Korea
5. Tuliambiwa hawana makombora ya hypersonic na ki sayansi ni ndoto kuwepo
6. Yuliambiwa hizo T armata ni project ya makaratasi
7. Tuliambiwa wanatumia tank za kisoviet maana tank zimeteketezwa Ukraine
Bado tu unaamin vyombo vya habari vya western? Wake up mkubwa!!!
Hakuna kitu kinaitwa pysical story. Na hata kama humaanishi pysical bali physical, bado hakuna kitu kinaitwa physical story. Hiyo lugha iandikie haki miliki unaweza patia Pulitzer prizeHii post ni nzuri na ya kusisimua, ila nina uhakika "pysical story" ni tofauti sana na hii "written story"
Sio inteligency ni intelligency. Huku kukosea sio coincidence, yawezekana ndio maana unatoa habari unakojua wewe. Wao wanaandika hiki, wewe unaelewa kile.UK na US inteligency kupitia western media
Yaan kwa hii dunia ya leo unategemea confidential information kuwa well precise published?
1. Tuliambiwa hawana chakula
2. Tuliambiwa wameishiwa chip wanatumia washing mashine
3. Tuliambiwa hawana uniform za msimu wa baridi
4. Tuliambiwa wameishiwa silaha wameanza kuomba china na north Korea
5. Tuliambiwa hawana makombora ya hypersonic na ki sayansi ni ndoto kuwepo
6. Yuliambiwa hizo T armata ni project ya makaratasi
7. Tuliambiwa wanatumia tank za kisoviet maana tank zimeteketezwa Ukraine
Bado tu unaamin vyombo vya habari vya western? Wake up mkubwa!!!
Habari za maangamizi makubwa ya majenerali na maofisa wa NATO kuuliwa ndani ya handaki huko Ukraine zimezangaa hadi kwa raia wa kawaida huko marekani na kwingineko.
View attachment 2598581
The story of the destruction of the control bunker in Ukraine with generals and senior officers of NATO countries reached the American public.
Independent political scientist, journalist Gilbert Doctorow.