WrestlerRSF254
JF-Expert Member
- Jan 30, 2023
- 1,196
- 2,013
Urusi walishafeli toka mda mrefu sana, kwa wenye akili zao Urusi ni mbwa koko aliyepuuzwa na wazee wenzake dunianiRussia to launch international payment system using Digital Currencies with 'no restrictions' - Russian Finance Minister
weka speech basi tuone wote poti au ndo mahaba tu Russia tayari walifeli tangu miaka ya 1989sNimeangalia speech ya Russia Ktk UNSC aisee Lavrov ametoa point kali sana. Na inaonekana jinsi Russia inavyoichukulia USA ni tofauti sana na nchi nyingine. Russia hawaogopi na hawana simile kabisaa yaani unamkanya mtu akiwa nyumbani kwake...amewapa nyeupe nyeupe nyeusi nyeusi...baada ya hapo naona west wamejibu lakini hawana supportive facts...zaidi sana mama wa US ameomba tu raia wake waachiwe
LGBTQ mpo na shida sehemu siyo bure.Urusi walishafeli toka mda mrefu sana, kwa wenye akili zao Urusi ni mbwa koko aliyepuuzwa na wazee wenzake duniani
Nenda YouTube kaiangalie.weka speech basi tuone wote poti au ndo mahaba tu Russia tayari walifeli tangu miaka ya 1989s
unaongelea Gadafi aliyeuawa na wananchi wake? baada ya kumchoka au Gadafi yupi unayemuongelea hapa? hakuna unachoelewa ww ni mweupe sana kichwaniKipindi Nagasaki na Hiroshima inalipuliwa na atomic bombs babu yako alikuwa amezaliwa?
Oh!!! Nikikumbuka USA walivyowafanyia Serbia pale Yugoslavia machozi yananitoka.
Wakati Gaddafi anauliwa ulikuwa na miaka mingapi?
Twende taratibu.unaongelea Gadafi aliyeuawa na wananchi wake? baada ya kumchoka au Gadafi yupi unayemuongelea hapa? hakuna unachoelewa ww ni mweupe sana kichwani
Hivi Obiang' Basongo wananchi wake wakimuua unalaumu USA au Mseveni au Kagame? kweli mnamkuza USA hata sehem hausiki
Unanitukana, wewe ni mweupe kama mama yako mpumbavu sana, mahaba zako usiniletee hapa tumia akili pumbavuLGBTQ mpo na shida sehemu siyo bure.
🌎 #dedollarization
"The issue of a single BRICS currency has a medium-term and even long-term character. Right now we are working on expanding the use of the BRICS national currencies in mutual trade. The BRICS have a corresponding agreement, and now we are implementing it in practice. We are trying to increasingly based on our national currencies" - Ambassador-at-Large for Asia and BRICS at the South African Foreign Ministry - TASS
Unaandika maandishi mengi huku point ni zero.Unanitukana, wewe ni mweupe kama mama yako mpumbavu sana, mahaba zako usiniletee hapa tumia akili pumbavu
Mm nimesema ukweli Russia wameshindwa vita na nchi dhaifu tu, kwani Putin alikuwa wapi wakati Gadafi anauawa? why akumsaidia? pumbavu unaleta upumbavu wako hapa
Russia wamezidi na watazidi kupoteza mbele ya USA ukitaka kumshusha USA usichagua vita alafu et vita umechagua nje ya USA duh, wakati huo watu wako ndo wanapigana vita, USA yeye ni watu wake wako mbali huoni unashida sehemu? Putin wetu ameyumba kichwani sio bure
Twende taratibu.expand...
USA na lengo awe kiranja wa dunia ok, so putin naye tumshauri atumie pale Ukraine ili awe kiranja wa dunia et make ndo anahusudu bt dunia ya leo sio ile 1945 ok mwambie Putin kwa vile ww uko naye karibu kwamba atumie akili kupambana na USA.Twende taratibu.
Nani alitumia mabom ya Nuclear kule Nagasaki na Hiroshima?
PointlessUSA na lengo awe kiranja wa dunia ok, so putin naye tumshauri atumie pale Ukraine ili awe kiranja wa dunia et make ndo anahusudu bt dunia ya leo sio ile 1945 ok mwambie Putin kwa vile ww uko naye karibu kwamba atumie akili kupambana na USA.
Malengo ya USA yanatimia kwa kasi ujue ila Putin haoni, wateja wakubwa wa gesi karibia wote walishamuacha au wako mbion kumtema kabisa, NATO wamefika mpakani mwake kiulani sana.
Ili ushike dunia ya leo ni akili not vita, unatakiwa uwekeze katika uchumi zaidi na sio vita rafiki yangu ok
Mkuu achana naye huyo anakupotezea mudaTwende taratibu.
Nani alitumia mabom ya Nuclear kule Nagasaki na Hiroshima?
Ni ndefu sana . Ingia you tube utaikuta. Amdika tu Lavrov chairs the Unites Nations Security councilweka speech basi tuone wote poti au ndo mahaba tu Russia tayari walifeli tangu miaka ya 1989s
Unafikiri gesi ni kama biashara ya chapati, leo unaweza ukanunua hapa kesho pale.gesi sio biashara ya kitoto kama unavyafahamu.kwanza gesi uwa lazima mkubaliane bei alafu mkubaliane mkataba wa utakuwa wa muda gani na pia lazima mkubaliane jinsi ya kuifikisha gesi.USA na lengo awe kiranja wa dunia ok, so putin naye tumshauri atumie pale Ukraine ili awe kiranja wa dunia et make ndo anahusudu bt dunia ya leo sio ile 1945 ok mwambie Putin kwa vile ww uko naye karibu kwamba atumie akili kupambana na USA.
Malengo ya USA yanatimia kwa kasi ujue ila Putin haoni, wateja wakubwa wa gesi karibia wote walishamuacha au wako mbion kumtema kabisa, NATO wamefika mpakani mwake kiulani sana.
Ili ushike dunia ya leo ni akili not vita, unatakiwa uwekeze katika uchumi zaidi na sio vita rafiki yangu ok
Hizi ID mpya hizi zina shida.Hakuna taifa lolote ambalo litamia nguvu na akili kidogo kama US.Ndo maana ana base za kivita KILA kona ya dunia.Sasa kama Us hatumii nguvu ya kivita kujinufaisha hizo base KILA pembe ya dunia ni za nn ?USA na lengo awe kiranja wa dunia ok, so putin naye tumshauri atumie pale Ukraine ili awe kiranja wa dunia et make ndo anahusudu bt dunia ya leo sio ile 1945 ok mwambie Putin kwa vile ww uko naye karibu kwamba atumie akili kupambana na USA.
Malengo ya USA yanatimia kwa kasi ujue ila Putin haoni, wateja wakubwa wa gesi karibia wote walishamuacha au wako mbion kumtema kabisa, NATO wamefika mpakani mwake kiulani sana.
Ili ushike dunia ya leo ni akili not vita, unatakiwa uwekeze katika uchumi zaidi na sio vita rafiki yangu ok