Uyo mayor mpya ana ongoza vifaru au nini[emoji28][emoji28]Kumbe maliupol urus keshasimika mayor mwingine baada ya jana kumdaka yule aliyekuwepo,nimeona yupo live aljazeera anawataka wananchi watulie maisha yaendeleee
Nitakukumbusha tukifikaMkifika Kiev mni tag
Veenezuela hana uwezo wa kuzalisha hata robo ya mbolea inayotoka urusi kwenda marekani.Akinunua Venezuela tayari Russia anafaidika.
Tunaendelea kuona tuuuWakuu, Baada ya Russia kupeleka jeshi kubwa mno kwenye mpaka wake na Ukraine, mataifa makubwa Duniani yalihamaki yakiongozwa na Marekani.
NATO ilisema wazi kwamba haitaiacha Ukraine ikiwa yatima,na tayari muungano huo wa kujihami wa Ulaya magharibi na Marekani umeimarisha vikosi vyake Poland na Estonia.
Russia imepeleka zaidi ya wanajeshi 130,000 kwenye mpaka wake na Ukraine na wakati wowote wanasubiria amri ya Rais Putin Kuivamia Ukraine.
Baada ya Russia kuimega Crimea na Dunia kukaa kimya,Putin alidhani itakuwa rahisi pia Kuivamia Ukraine na kufanya lolote sasa mambo yamekuwa Tofauti.
Uingereza imepeleka shehena kubwa mno ya silaha mbalimbali Ukraine na makomandoo wa kikosi maalumu cha SAS.
Canada nayo imesema haitaiacha pekee yake Ukraine itaipa misaada yote ya kijeshi dhidi ya uvamizi wa Russia. Kwa hiyo Russia inafikia hatua wanaogopa wakijua wazi kwamba kushinda vita kwao itakuwa ngumu mno.
Na hakika Russia ikijaribu kuivamia Ukraine haitashinda hii vita zaidi ya kuharibikiwa kiuchumi. Russia ni nani hasa hata ashinde vita dhidi ya Marekani, Uingereza, Canada na mataifa mengine mengi ambayo yanaisaidia Ukraine bila kuitangazia Dunia.
Mengine yabakie ushabiki tu, lakini Russia haitashinda hii vita na wao wameshaliona hilo.
View attachment 2119949
Hayo mataifa vipi kimya mpaka sasaTunaendelea kuona tuuu
Weka andiko, unaongea bila reference yoyote ni upotoshaji tu unafanyaWala sikushangai, wewe utakutana na wale ma father wako wa Sunday School. kwa raha zako.
Sidhani kama urusi kajiunga kwenye huo ujinga wa Marekani.Hii excuse itawapeleka The Hague
Ongezea hapo usa ina import 96% ya potash toka russiaLeo nataka nijikite kuielezea Russia. Kuhusu madini yaliyopo huko na umuhimu wake hapa duniani.
Tunaanza na upatikanaji wa Potassium
Russia ndiyo nchi inayoongoza duniani kwa uzalishaji wa Potash.
View attachment 2148609
View attachment 2148608
Yaan akizuia to potash usa chaliiOngeza
Ongezea hapo usa ina import 96% ya potash toka russia
potash hutumika kufanyia ninYaan akizuia to potash usa chalii
kirutubisho kwa mimea na issue zinginepotash hutumika kufanyia nin
Ingependeza ka ungeanzisha uzi tukali-discuss pembeni apa litamezwa na washabiki maandazi af tukose kujifunza wengine apa tusiojua.Leo nataka nijikite kuielezea Russia. Kuhusu madini yaliyopo huko na umuhimu wake hapa duniani.
Tunaanza na upatikanaji wa Potassium
Russia ndiyo nchi inayoongoza duniani kwa uzalishaji wa Potash.
View attachment 2148609
View attachment 2148608
As a source of soluble potassium, potash is vital to the agricultural industry as a primary plant nutrient. Potash increases water retention in plants, improves crop yields, and influences the taste, texture, and nutritional value of many plants.potash hutumika kufanyia nin
knee si alisema anauwa warusu na vifaru wanavipiga kwa wingi, msafara nao wanaulipua huku wakielekea Belarus. Sasa analialia niniWaUkraine wapigana vikumbo wakigombea kuukimbia mji wa Kyiv kutokana na kasi ya mashambulizi ya Russia (mvua za makombora).
Zelensky aongea kwa huzuni kuwa kama Russia imeamua kunyesheleza mabomu kwenye mkoa huo na kuwaua woote waliomo na kufuta historia yao basi wafanye hivyo...na wauchukue hiyo Kyiv.
View attachment 2148650
Na kingine nawaza kama upande flan ungekuwa na mihemko kwenye maamuzi kama wanavofanyiwa wao kutoka upande mwingine sa hivi tungekuwa tunazungumza mengine...Yaan akizuia to potash usa chalii
Alitaka chai, sasa mbona anasema inamuunguza.knee si alisema anauwa warusu na vifaru wanavipiga kwa wingi, msafara nao wanaulipua huku wakielekea Belarus. Sasa analialia nini