LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Kumbe maliupol urus keshasimika mayor mwingine baada ya jana kumdaka yule aliyekuwepo,nimeona yupo live aljazeera anawataka wananchi watulie maisha yaendeleee
Uyo mayor mpya ana ongoza vifaru au nini[emoji28][emoji28]
 
Akinunua Venezuela tayari Russia anafaidika.
Veenezuela hana uwezo wa kuzalisha hata robo ya mbolea inayotoka urusi kwenda marekani.
Ongeza na hio
Russia and South Africa are the world's largest palladium producers, with a combined market share of 80%, or 5.4 million troy ounces. Russian company Norilsk Nickel produces up to 38% of the world's palladium as a byproduct of nickel mining.

Palladium prices have skyrocketed 80% this year to all-time highs, as financial sanctions on Russia, which produces 25-30% of global supply, disrupted shipments and worsened a supply
 
Wakuu, Baada ya Russia kupeleka jeshi kubwa mno kwenye mpaka wake na Ukraine, mataifa makubwa Duniani yalihamaki yakiongozwa na Marekani.

NATO ilisema wazi kwamba haitaiacha Ukraine ikiwa yatima,na tayari muungano huo wa kujihami wa Ulaya magharibi na Marekani umeimarisha vikosi vyake Poland na Estonia.

Russia imepeleka zaidi ya wanajeshi 130,000 kwenye mpaka wake na Ukraine na wakati wowote wanasubiria amri ya Rais Putin Kuivamia Ukraine.

Baada ya Russia kuimega Crimea na Dunia kukaa kimya,Putin alidhani itakuwa rahisi pia Kuivamia Ukraine na kufanya lolote sasa mambo yamekuwa Tofauti.

Uingereza imepeleka shehena kubwa mno ya silaha mbalimbali Ukraine na makomandoo wa kikosi maalumu cha SAS.

Canada nayo imesema haitaiacha pekee yake Ukraine itaipa misaada yote ya kijeshi dhidi ya uvamizi wa Russia. Kwa hiyo Russia inafikia hatua wanaogopa wakijua wazi kwamba kushinda vita kwao itakuwa ngumu mno.

Na hakika Russia ikijaribu kuivamia Ukraine haitashinda hii vita zaidi ya kuharibikiwa kiuchumi. Russia ni nani hasa hata ashinde vita dhidi ya Marekani, Uingereza, Canada na mataifa mengine mengi ambayo yanaisaidia Ukraine bila kuitangazia Dunia.

Mengine yabakie ushabiki tu, lakini Russia haitashinda hii vita na wao wameshaliona hilo.

View attachment 2119949
Tunaendelea kuona tuuu
 
Leo nataka nijikite kuielezea Russia. Kuhusu madini yaliyopo huko na umuhimu wake hapa duniani.

Tunaanza na upatikanaji wa Potassium
Russia ndiyo nchi inayoongoza duniani kwa uzalishaji wa Potash.
Screenshot_20220313-085556.png


Screenshot_20220313-085642.png
 
Nickel

Nickel resists corrosion and is used to plate other metals to protect them. It is, however, mainly used in making alloys such as stainless steel. Nichrome is an alloy of nickel and chromium with small amounts of silicon, manganese and iron. It resists corrosion, even when red hot, so is used in toasters and electric ovens. A copper-nickel alloy is commonly used in desalination plants, which convert seawater into fresh water. Nickel steel is used for armour plating. Other alloys of nickel are used in boat propeller shafts and turbine blades.

Nickel is used in batteries, including rechargeable nickel-cadmium batteries and nickel-metal hydride batteries used in hybrid vehicles.

Nickel has a long history of being used in coins. The US five-cent piece (known as a ‘nickel’) is 25% nickel and 75% copper.

Finely divided nickel is used as a catalyst for hydrogenating vegetable oils. Adding nickel to glass gives it a green colour.
Biological role
The biological role of nickel is uncertain. It can affect the growth of plants and has been shown to be essential to some species.

Some nickel compounds can cause cancer if the dust is inhaled, and some people are allergic to contact with the metal.

Nickel cannot be avoided completely. We take in nickel compounds with our diet. It is an essential element for some beans, such as the navy bean that is used for baked beans.
Screenshot_20220313-090908.png
 
Leo nataka nijikite kuielezea Russia. Kuhusu madini yaliyopo huko na umuhimu wake hapa duniani.

Tunaanza na upatikanaji wa Potassium
Russia ndiyo nchi inayoongoza duniani kwa uzalishaji wa Potash.
View attachment 2148609

View attachment 2148608
Ingependeza ka ungeanzisha uzi tukali-discuss pembeni apa litamezwa na washabiki maandazi af tukose kujifunza wengine apa tusiojua.
 
Putin amuweka boss wa intelijensia na naibu wake,kwenye kifungo Cha nyumbani:
Numerous reports have surfaced claiming that Putin has placed Sergey Beseda, the director of the FSB’s foreign intelligence section 5th department, and his deputy under house arrest.

They have allegedly been charged with embezzlement and "low quality intelligence" regarding the invasion of Ukraine. Allegations state that Beseda hugely exaggerated pro-Russian sentiments and lied to Putin regarding the viability of the invasion and annexation of Ukraine. More to follow.

FB_IMG_1647153464063.jpg


FB_IMG_1647153467881.jpg
 
WaUkraine wapigana vikumbo wakigombea kuukimbia mji wa Kyiv kutokana na kasi ya mashambulizi ya Russia (mvua za makombora).

Zelensky aongea kwa huzuni kuwa kama Russia imeamua kunyesheleza mabomu kwenye mkoa huo na kuwaua woote waliomo na kufuta historia yao basi wafanye hivyo...na wauchukue hiyo Kyiv.


View attachment 2148650
knee si alisema anauwa warusu na vifaru wanavipiga kwa wingi, msafara nao wanaulipua huku wakielekea Belarus. Sasa analialia nini
 
Yaan akizuia to potash usa chalii
Na kingine nawaza kama upande flan ungekuwa na mihemko kwenye maamuzi kama wanavofanyiwa wao kutoka upande mwingine sa hivi tungekuwa tunazungumza mengine...

Kwe kipengele cha nishati tu pekee hivi vingine ukivituliza kwanza itokee a'cut supply ghafla itakuaje...? Wapi na nchi ipi inayoeza fidia hilo gap linaloachwa.

Kama sasa anaendelea na supply ila bei inaendelea kupepea tu kiasi kwamba tumeona apo Italy kuna viwanda vina-suspend uzalishaji kwasabab sio economical kutokana na bei y Umeme kupanda.

Bei ya nishati ikikua inaleta athari gani katika sekta zingine....? Uzalishaji mpk usafirishaji... Na bidhaa ya mwisho kwa Raia itakuaje?

Zaidi kama kuna unafiki hivi ndani yake ambao me binafs sijaelewa kabisa.

Wana'seizure mali za ma Oligarch wa kirusi, wanazuia mifereji yote ya fedha inayoenda serikalin urusi ila siku zote tangu hii vita ianze wanaendelea kupokea Oil and Gas kutoka Russia that means wanapelekea fedha Russia...

Kuna kijireport nilikisoma jana kua EU within siku 12 toka vita ianze imeshalipia more than 10Billions USDollar kwa ajil ya Oil na Gas kutoka Russia.

Hii ikoje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_20220313_090326_133.jpg
 
Back
Top Bottom