Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Amewakimbia wananchi wake 🤣🤣🤣
 
Wahuni hawajui anahusiika au la ila urusi inajua mgomvi wao ni Zele na alishanukuliwa sana akisema anataka rocket za kupiga kremlin sasa leo inakuaje akatae, mwambieni arudi nyumbani mheshimiwa raisi [emoji28][emoji28][emoji28]
Well, yeye kasema hausiki. Kama anadanganya au hadanganyi sio tatizo kwangu, Wahuni unamaanisha serikali ya Urusi?
 
After drone attack on Kremlin Russia has no choice but to eliminate Zelensky — Medvedev.

Ukrainian President Vladimir Zelensky, according to Dmitry Medvedev, "is not even needed for signing an instrument of unconditional surrender".
 
And you believe these nonsense/cheap propaganda!!!
 
Zelensiky ni lazima ajitetee hata kama Hilo tukio Lina mkono wake,na hii itamsaidia kuendelea kupata huruma kimataifa,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Waongo sana hawa - ebu jaribu kuangalia kifaru hicho kinaonekana wazi wazi kulihusika kwenye vita ya 2014/15 kutu yenyewe inaonysha hivyo, halafu cha kuchekesha zaidi angalieni maandishi ya letter "Z" inaonekana waziwazi iliandikwa just recently wakatiki wapiga picha hiyo - picha nzima ni usanii tu.
 
[emoji298]️The leaders of Denmark, Finland, Iceland, Norway, Sweden and Ukraine issued a joint statement in support of Ukraine's accession to the European Union and NATO.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
"These crimes for which the aggressor must be punished! This is terrorism against the civilian population!" said the Ukrainian Parliament Commissioner for Human Rights Dmytro Lubinets.



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mbuzi kafia kwa muuza supu[emoji28][emoji28][emoji28]

It is not me, I swear! We don't have weapons to defend our villages!! What drones attack? Me? Nooo.

Ni maneno ya raisi wa Ukraine akipinga kuhusika na shambulio la drone dhidi ya Kremlin. [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…