Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Watu walishamsoma Putin kwamba ni mtu wa mikwara tu, hivyo hawatishiki Tena,Sasa hivi ni mwendo wa kujipigia tu popote pale,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kama hawatishiki waendelee na mipango yao.

Ila Russia atumia mbinu tofauti kabisa na NATO wanavyotaka.

Jana walijua wakirusha hizo UAV kwenda Kremlin basi Russia watakurupuka na watajibu kwa hamaki.

Vita ya kisasa haiendi hivyo.

NATO Ukraine na US watafuta Russia afanye kitu ambacho wao watakitumia kuanza hiyo "counter offensive."

Kwa kuwa hawapati reaction wanoitaka wamebakia kumzungusha Zelensky ndani ya NATO territory ili asidhurike.

Kiufupi Russia wafahamu uzuri tu kwamba sasa hivi NATO na Marekani wataka kufanya "regime change" pale Kremlin lakini mipango yabuma.

Regime change kwa Russia haiwezekani.
 

Unazijua billion 690 wewe?? Karibu nusu ya uchumi wa US,
 
Huko Holland kajamaa kanakataliwa🤣🤣

The leader of the Dutch party did not want to meet with Zelensky

Caroline van der Plas openly expressed dissatisfaction with the visit of the President of Ukraine to The Hague and shamed the authorities of the Netherlands.
May Fourth is the day we remember our victims of the war. Today it should be the main event. Not Zelensky. I think his visit now is absolutely inappropriate. Earlier this week, I informed the Chairman of the Chamber that I would not go to a meeting with Zelensky,” the MP wrote

 
Hv jamaa hizi tour zake huko ugenin au bi Mkubwa wetu akiwa ugenin huwa anajilipia malazi au wenyej wake huwa wanamsponsa
 
Borrell has spoken out against using the attack on the Kremlin for possible further escalation of the conflict.
"An impudent old fool. It is exactly to the escalation of the conflict it will lead, the terrorist attack committed by the Kiev authorities, guided by the US, and approved by the EU leadership. This is just what Washington and many dumbheads in Brussels want."
Dmitry Medvedev.
 
Basi mkuuu,nimekuelewa,nilitaka kudhani hujui wakati sisi wote humu tunaujua vizuri sana uwezo wako wa kuelewa mambo.🤝🤝🤝🤝
 
[emoji298]️President Zelensky said that Ukraine is actively preparing for a counteroffensive and there are no options for failure

However, according to Zelensky, it is wrong to talk about “success” when losing people.

“I cannot say that 100% success is guaranteed because no one knows. I think it is wrong to talk about success when you’re losing people. In any case, we are moving forward,” he said at a press conference in Netherlands.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Super pawer anazidi kubana matumizi [emoji116][emoji116][emoji116]



Russian authorities have canceled May 9 celebrations in at least 21 cities, Russian independent outlet Vertska reported on May 4.

The upcoming May 9 celebrations to commemorate the Soviet Union's victory against Nazi Germany will be the second held since Russia launched its full-scale invasion of Ukraine on Feb. 4, 2022.

Learn more: Media: Russia cancels May 9 celebrations in at least 21 cities

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…