T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Inabidi uelewe context ya maandishi ya mtu. Hatuandiki kama bots humu, mimi niki-accuse mtu namletea ni wapi aliandika hivyo ili tuendelee, sipendi kuandikia mate na wino upo. Na kuna nyakati watu wanaandika kwa mocking, mbona pro Russians waliosema Finland itaganda wapo humu humu.Hakuna mtu mwenye chuki nae, lakini Kuna muda taarifa zako zinajipinga kwahio huishia kudharauliwa na watu wengine, Pengine taarifa zake zingekua na mantiki angeacha kutumia hisia kuziwasilisha. Lakini pia atayumbisha watu wachache ambao wako weak kwenye kuchambua taarifa zakweli. Mfano T14 Armata anaamini taarifa zote zenye favor Kwa west pamoja na USA nizakweli nawale wote wanaozipinga siwakweli. Jambo lingine linalofanya watu wampinge Kuna muda anapinga maandishi yake mwenyewe kuwa yasichukuliwe maanani ,aliwahi kusema RUSSIA wanatumia chip za kwenye washing machine kutengenezea vifaa vya kivita. Baadae akasema taarifa hizo zilitolewa na west nayeye sio msemaji wao, sasa hapo lazima adhauraulike.
Waambie hawa role models wako, the neo Nazi wapunguzi matumizi ya "mmea" kwenye majukwaa ya kimataifa.The General Staff of Ukraine's Armed Forces published photos of the IRIS-T air defense system on combat duty in Ukraine.
Ukraine has so far received two IRIS-T systems from Germany.
Photos: Ukraine's General Staff/Facebook
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ujinga ujinga tu.Na katika Source of Information nayo-idharau ni "Wikipedia". Iko so biased kwa mlengwa wa upande ambao kila mtu anaujua. Ajab kuna mengine utayakuta hapo hadi unajiuliza hawa huwa wanaandikia wakina nani? Kwa mlengo upi?
Mfano kama hapa eti wanakwambia Wagners ni "Neo-Nazism", Wagner na Wanazi wapi na wapi??? 🤔
View attachment 2611065
🤣🤣🤣
Nilidhani itaanza around March ila haipendezi kufanya massive operation msimu wa winter. Ukraine na Russia wote wanaijua vizuri winter na iliwahi waokoa kipindi cha Napoleon na kwa Hitler kwenye Eastern campaign, Operation Barbarossa. Hivyo wote hawataki kucheza nayo labda wabaki kwenye stalemate.Counter offensive tangu mwezi wa pili tunaambiwa inaanza lkn Leo nimwezi watano haianzi. Ngoja tuendelee kusubiri.
Kwaiyo ni kweli Tanzania ni kubwa kwa UKRAINE KIENEO muheshimiwa frontliner Figganigga?Fanya utafiti wako. Unapelekewa kama lijinga wakati Google ipo. Ndo maana mnadanganywa sababu washagundua nyie ni wajinga. Usiwe unaniita kusoma ujinga.
947,300 Ndio kubwaTanzania 947,300km².... Ukraine 603,550km² ....kwako hapo kubwa ni IPI!!?
Air defense za urusi zilikuwa wapi at that moment [emoji848]Former CIA intelligence officer Larry Johnson says the decision to launch a drone attack on the Kremlin was made by the United States.
The Wednesday attack, which was likely to have been targeting Russian President Vladimir Putin, was stopped by electronic warfare systems which disabled the drones before they could reach their target.
According to Johnson, the attack must have been spearheaded by the Biden administration and the US military-industrial complex because “decisions on such attacks are made not in Kiev, but in Washington.”
“Washington should understand clearly that we know this,” Johnson told reporters.
Although the attack, which Ukraine denied it was involved in, failed to accomplish its tactical goal, it was still highly “symbolic,” according to Johnson.
It didn’t cause significant damage. The psychological impact, though, there are people that disagree on this, my view is that this is going to galvanize Russia, not create fear or discontent or division. There are others who believe that by doing this, it is going to portray Russia as weak and create internal problems. I simply note that the reactions of former Russian President Dmitry Medvedev, as well as members of the Duma – they are livid, they are outraged, and calling for escalatory retaliation against Ukraine. So I think in many respects this backfired,” said the former State Department official.
He also added that the attack smacked of desperation and was an attempt to provoke Russia into a major escalation “to get the United States more deeply involved in this conflict.”
“At the same time, I think, Washington correctly notes that they try to discourage this [escalation], because they recognize that it’s spun out of control. And the United States is in no position militarily to confront Russia and survive that confrontation,” Johnson said.
Democratic presidential candidate Robert F. Kennedy Jr. denounced the attempted drone attack as a dangerous escalation.
“Imagine how we would respond if Russian-backed forces launched a drone strike on the Capitol. We must stop these deranged attempts to escalate the war,” said Kennedy.
“After successfully defusing the Cuban Missile Crisis, President John Kennedy warned against ever again forcing Russia to choose between national humiliation and nuclear war. We should heed his advice,” he added.
Meanwhile, Ukraine continued its drone bombardment by targeting an oil refinery in Krasnodar Region in southern Russia on Friday morning.
A fire broke out, but it was quickly extinguished by authorities and no one was hurt.
Hakuna wanaomchukia huyo kilaza. Sema wanamdhara kwa pumba zake. Mimi ni mmoja wao ninayemdharau sanaT14 Armata Jamaa wanakuchukia bila ya sababu. Kama unatumia mitandao kuleta taarifa zako humu tatizo liko wapi? Mbona hata Jamiiforums ni mtandao wa kijamii na watu huwa wanachukua taarifa toka humu na kuzitumia kwingineko??
Pro Russia acheni kubeza hoja za mtu kwa kupambana na yeye bali pambaneni na hoja zake!!
It happens sio ajabu,hata hivyo Russias's air defences remain the best in the World.Notice however that hata pamoja na kwamba drones zili-penetrate air defences,they were easily destroyed by Russia's Electronic Warfare Systems.Air defense za urusi zilikuwa wapi at that moment [emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Punyeto ni mbaya sana!Modern Russia unajulikana vizuri. Kwanza tangu wajitenge USSR population yao haijawahi kufika ya mwaka ule hadi leo. Ni miaka mingi tu inakuwa Russia kwa mwaka wanakufa wengi kuliko wanaozaliwa
Tofauti ya utendaji kati ya Wagner na Blackwater ni ipi ?...au tofauti ya mercernaries na kampuni ni ipi ? Maana hata kampuni inaweza kuajiri mercenaries ?Blackwater iliuzwa na kubadilishwa jina kuwa Academi. Eric Prince ni former Navy SEAL. Blackwater ilikuwa na figisu nyingi na sasa Academi imepotea kwenye matukio na kwa kuwa hakuna vita kubwa Marekani inashiriki basi sasa sio muda wao kupata hela na kujulikana. Ila Eric Prince alileta wazo kampuni ile ipewe silaha zilizopo Afghanistan pale Marekani ikiondoka maana jeshi lisingeenda kuzitumia lakini serikali ikakataa.
Marekani kuna private military contractors wengi ila sio mercenaries. Kuna kampuni zinatumika kwenye training kama adversaries, kuna zinazomiliki ndege hata fighter jets chache zinazostaafu kampuni moja inataka izinunue izitumie kwenye contracts zao na DoD kama rogue force dhidi ya USAF.
Mercenaries wa Marekani hujitolea na karibia vita nyingi kubwa duniani huwa wanashiriki. Hata Zimbabwe kwenye vita yao ikiwa Rhodesia Wamarekani wachache veterans wa Vietnam na Korean wars walienda kupigana. Sanasana SEALs hupenda vita na maisha ya kiraia huwa yanawashinda.
Wagner imekuwa maarufu Syria na Ukraine kwenye mapigano. Kwenye madini Sudan, Libya na mafuta, Central African Republic na Mali, kwingine sijui. Ila kwenye resources Marekani inatumia kampuni sio mercenaries na PMC