Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Lini amiri jeshi mkuu anarudi
Tuna jambo letu hapo Kiev 🤣🤣
 
Baadae mbeleni huko unakuja kuukataa uchambuzi wako kama kuna mtu bado anakuamini atakua mpumbavu wa mwisho.
Mimi nimeacha kufatilia uchambuzi wako baada ya kusema Russia wanatumia vifaa vya washing machine kutengeneza missile
 
Kuna kituuuuu..........!

Alas, kuna msemo mmoja unasema "Za kuambiwa changanya na zako". Naam, hiki ndio nachoweza kukiweka kama utangulizi wa kile nachotaka share na Pro Russia wenzangu.

Kuna taarifa imeenea tena imepewa kipaumbele vilivyo na Westerners kama "Taarifa Muhim".

Ni kuhusu Video aliyotoa Kamanda wa "Wagnerites", Prighozin.

Taarifa sitairudia, ila tuanze kuichambua moja kwa moja... Prigozhin ni nani? Ufupi wa utambulisho wake ni Kamanda wa Wagner PMC na "ally" wa karibu sana wa Rais wa Russia Federation, Mzee Vladmir Putin.

Jamaa ana nick name nyingi ila nitapenda nitumie moja tu kati ya hizo ambayo nina sababu nitakazozieleza baadae... Nickname hii ya "Putin's Chef"

Naenda nje kidogo, hii Nick name alipewa au niseme watu wanampa kwasababu anamiliki Migahawa ambayo huihudumia Kremlin.


Kama nilivyosema nimechagua nickname hiyo kuonesha ukaribu alio nao na Mkuu wa nchi na kwa namna gani anavyoaminiwa na Mzee.

Hiyo Video aliotoa binafsi naona ni kama mwendelezo wa "Viroja" vyake na Of course sio mara ya kwanza kuzungumza X akafanya Y. Em tujiulize kwa ukaribu alionao na Putin, Mnadhani hana uwezo wa kuzungumza nae au kwa waziri wa ulinzi Shoigu moja kwa moja hadi ajirecord kivideo akitume mtandaoni 🤔?


Huyu mwamba ambae anasimama Mgongoni mwa Putin kwenye meeting za hapa na kule ilhali tumeona wakina "flan" wakiwekwa Meter kadhaa wakiwa na Mazungumzo nae eti aji'record Video kulalamika 🤣?

War is an Art, na kama sanaa zingine akili nyingi kumkichwa ndio uweze kuielewa. Again kuna msemo mwingine unasema. To deceive your enemy, you have to deceive your allies first. Either ndio ipo Applicable hapa eishiiii hatujui.

We have 5 days left kufika May 10th, Nipo hapa kwenye Ziara na Comedy Zele tunasubiri mtoke turudi zetu Kyiv 🤣🤣🤣!
 

Wagner withdrawal from Bakhmut could be "turning point," Ukrainian military spokesperson says​

From CNN’s Olga Voitovych

Wagner’s decision to withdraw from Bakhmut on May 10 could be “a turning point” in the battle for the eastern Ukrainian city, a Ukrainian military spokesperson has told CNN.
Wagner chief Yevgeny Prigozhin said in a Telegram post Friday that his fighters would withdraw from Bakhmut in five days’ time, having taken heavy casualties in the fight for the city. He laid the blame on Russia’s defense establishment for not providing the private military group with enough ammunition and called for the regular army to step in.

However, Cherevatyi said that Wagner’s “incredible losses” were down to its units “acting foolishly, launching constant human attacks” and that Prigozhin wanted to leave because Wagner was close to being destroyed in the fight for the embattled city.

Cherevatyi also claimed Prigozhin was “lying” about his fighters’ lack of ammunition.
Wagner’s mercenaries have been spearheading Russia’s efforts to take Bakhmut.

Cherevatyi said he expects the number of attacks against Ukrainian forces in Bakhmut to decrease if Wagner leaves because regular Russian forces would not be able to “waste personnel” as Wagner did.
=========================

Mgogoro baina ya Wagner na wizara ya ulinzi ya Urusi unafukuta kweli kweli...

Naona kuna mmoja anataka kuonekana bora kuliko mwingine.
 
Wanataka kumuaminisha Zelensky kua kuna mpasuko mkubwa Russia tena kwenye inner circle ili aone sasa ni wakati sahihi kurudi nyumbani kuanzisha counter-offensive haraka kabla hawajaelewana na kujipanga upya. Akifanya kosa hilo hatokaa asahau. Chess inayochezwa hapa si ya kiwango cha dunia hii, nyoka kakimbilia shimoni sasa ili arudi nje/atoe kichwa tu inatakiwa aimbiwe wimbo mzuuuri watu wapite nacho.
 
Counter offensive tangu mwezi wa pili tunaambiwa inaanza lkn Leo nimwezi watano haianzi. Ngoja tuendelee kusubiri.
Ukraine na NATO na US waweza kufanya counter offensive lakini itafeli.

Twarudi palepale kwamba vyombo vya habari vya magharibi vyaendelea kuwapasha habari za uongo na kupotosha ukweli wa kinoendelea Ukraine.

Kwa mfano vyombo hivi havisemi kwamba Russia umekuwa ikilipua na kuharibu tani na tani za shehena za vifaa vya kivita ambavyo vimekuwa vikiingizwa Ukraine kupitia njia mbalimbali.

Wagner nao juzijuzi walipoingia ndani ya kitongoji kimoja walikuta shehena ya vifaa zaidi ya 300! viliachwa na vikosi vya Ukraine ambavyo vilikimbia.

Hili la Russia kuwa wakusanya silaha tani na tani ambazo wamezikuta baada ya kuingia kwenye viyongoji haliwezi kuripotiwa.

Badala yake ndo wamezusha hizi habari za kushambulia Kremlin na zingine za vita vya habari na propaganda.

"Offensive" itafeli na ukweli ni kwamba sasa hivi Ukraine haina jeshi la kutosha lenye mafunzo ya kutosha, haina ndege za kushambulia angani, silaha zapokwa na Russia na mwisho NATO/US hawana roho ngumu ya kuingiza majeshi ndani ya Ukraine zaidi ya vikosi kazi (specia forces).

Ukraine yaelekea kuwa taifa lenye waathirika wa vita vya kutengenezwa na NATO na US.
 

AIR RAID SIRENS IN UKRAINE.RUSSIA RETALLIATING TO UKRAINE DRONE ATTACK AT THE KREMLIN​

05 MAY 2023

It appears Russia is commencing its retaliation for the Drone attack upon the Kremlin. Multiple fighter/bombers and strategic Bombers are in the air. Air launched cruise missiles already inbound to Ukraine! Live updates below . . .
Reports of several TU-95Ms bombers airborne. Seems to be flying in radio silence mode.
Kirovohrad region, air raid alert! - Regional Military Administration. Proceed to the shelters.
Ukrainian sources report on the launch of X-101 cruise missiles from over the Caspian sea, no missiles currently over Ukraine however.
Multiple Ukrainian sources are reporting missile launches from Russian strategic bombers.
CONFIRMED: 4 Tu-22M3s have taken off . . .
FILE PHOTO:


10:31 AM EDT --
Additional missile launches reported from the Caspian Sea. NOTE: It takes a while before these missiles reach Ukraine.
The Russian strategic bombers have switched to combat frequency.
Air raid sirens sounding in Kyiv. Head to the nearest shelter.

Residents report explosions in Kramatorsk, Donetsk region. We are waiting for the official information.
Kyiv city, Kyiv and Zhytomyr regions, air raid alert! - Regional Military Administration. Proceed to the shelters.

10:34 AM EDT --
An air alert declared in Kyiv and other regions of Ukraine.

Ukrainian TG channels report RuAF missile launches from the area of the Caspian Sea

Missiles over Kharkiv and Donetsk oblast.


10:38 AM EDT --
Russian strategic bombers are firing missiles at front-line areas in eastern Ukraine. Many explosions reported in Kramatorsk. I can't remember this happening before.
More on air alerts in Ukraine: Ships with launch vehicles left the Black Sea. A massive launch on Ukraine is expected. There are already explosions in Slavyansk and Kramatorsk. Strategic aviation was also raised into the sky.

​

 
Pro NATO wote mtaishia kuwa wapiga ramli 🤣🤣
 
Ukraine yupo kwenye maandalizi makali ya kushambulia maeneo yanayokaliwa na Urusi.

Halafu upande wa pili Ikulu ya Urusi inashambuliwa,

Yaani Ikulu ya Urusi inashambuliwa na maisha yanaendelea, halafu mtu anachulia ukimya wa Urusi ni Kushindwa.

Mkuu wa PMC anatishia kutoa vikosi vyake Ukraine,

Kiongozi wa Chechinya anatangaza kuwa yupo tayari kuchukua nafasi ya PMC endepo wakijitoa.

Mkuu wa PMC anaonyesha miili iliyopigwa picha usiku kuwa ni miili ya wapiganaji wake Kwa kukosa silaha.

Binafsi naona Warusi wameamua kucheza na akili za walimwengu....

Dunia ijiande na kitu kizito toka Urusi..
 
Yaani pro NATO saizi wanaongelea Wagner kuondoka bukhumut hizo habari wanajifanya hawazioni
 
Wakati huo tunamsubiri amiri jeshi mkuu arudi apate zawadi yake.
 
Yaani pro NATO saizi wanaongelea Wagner kuondoka bukhumut hizo habari wanajifanya hawazioni
Habari za Bakhmut ni very strategic mkuu.Wanamvuta Zelensky arudi Ukraine akidhani a window of opportunity imepatikana ya kuanzisha the much anticipated offensive,na akirudi tu Ukraine,wamemaliza.

Si unajua alikimbilia Ulaya https://www.france24.com/en/europe/20230503-🔴-live-zelensky-says-kyiv-not-warned-of-us-secret-docs-leak
mara baada ya kudanganywa na US wa-launch zile drones mbili za kujaribu kumuua Putin.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…