Huyo Prigozhin aongea "Comedy" huku vikosi vyake leo (baada ya kikao cha baraza la Usalama) vikiwa vimeagizwa na Russia viongeze nguvu hapo Bakhmut kutokea sehemu zingine ambazo wameshikilia,.Habari za Bakhmut ni very strategic mkuu.Wanamvuta Zelensky arudi Ukraine akidhani a window of opportunity imepatikana ya kuanzisha the much anticipated offensive,na akirudi tu Ukraine,wamemaliza.
Si unajua alikimbilia Ulaya mara baada ya kudanganywa na US wa-launch zile drones mbili za kujaribu kumuua Putin.
Yes,only of NATO can be trusted!Bill Clinton: I knew in 2011 it was 'just a matter of time' before Putin attacked Ukraine
The FT this morning is carrying quotes from Bill Clinton in which he says that he knew in 2011 it was just “a matter of time” before Vladimir Putin attacked Ukraine.
Citing an appearance by the former US president alongside his wife Hillary, Joshua Chaffin writes:
In the same piece, Hillary Clinton spoke of how the war might come to an end:
=========================
Putin and Russia can never be trusted.
I see kumbe warusi wanahuruma Sana, upande mwingine tunaambiwa wameuwawaa kwao hawatangazi kumbe wanawashka mateka .Kuna mtu kila siku anasema leo wamechinjwa mia sita sasa hawa wachijaji wenyewe ndo hawa wanaokamatwa na kuuliwa kila siku.
Nionavyo mimi ni kwamba Russia wamefanya hilo tukio ili wawe na more options ya kumaliza hii vita.Ukraine yupo kwenye maandalizi makali ya kushambulia maeneo yanayokaliwa na Urusi.
Halafu upande wa pili Ikulu ya Urusi inashambuliwa,
Yaani Ikulu ya Urusi inashambuliwa na maisha yanaendelea, halafu mtu anachulia ukimya wa Urusi ni Kushindwa.
Mkuu wa PMC anatishia kutoa vikosi vyake Ukraine,
Kiongozi wa Chechinya anatangaza kuwa yupo tayari kuchukua nafasi ya PMC endepo wakijitoa.
Mkuu wa PMC anaonyesha miili iliyopigwa picha usiku kuwa ni miili ya wapiganaji wake Kwa kukosa silaha.
Binafsi naona Warusi wameamua kucheza na akili za walimwengu....
Dunia ijiande na kitu kizito toka Urusi..
Do you know the meaning of the word "near"?Wakati huo huo Majeshi ya adui yakizozana, Majeshi ya kizalendo ya Ukraine yakizidi kujidhatiti katika mji wa Bukhmut leo... VITA NI MIPANGO.
Ukrainian soldiers walk in a trench near Bakhmut, Ukraine [File: Libkos/AP Photo]
You trust agents of the Devil,funny.This is what the Bible says about themYes,only of NATO can be trusted!
Huyo jamaa anasema Putin hawezi kuaminiwa Tena,ndio nimemuuliza Kwa hiyo NATO ndio wa kuaminiwa?You trust agents of the Devil,funny.This is what the Bible says about them
John 8:44
44 They are of their father the devil, and their will is to do their father’s desires. He was a murderer from the beginning, and does not stand in truth, because there is no truth in him. When he lies, he speaks out of his own character, for he is a liar and the father of lies.
Kwahiyo wewe usiyekibaraka wa Urusi unaijua Urusi? ?Wewe huijui modern Russia Wala humjui Putin....Endelea kuwa kibaraka was USA na vikaragosi vyake....
Kwanini badala ya kumpinga unamjaji ndugu?Yaani wewe unamfahamu kiundani Shoigu, Gerasmov, Prigozin.
Unalifahamu kiundani jeshi la Russia na silaha zao.
Unafahamu hadi Putin anapolala.
Kweli punyeto inaharibu akili.
Wao huchukua mitandaoni.T14 Armata Jamaa wanakuchukia bila ya sababu. Kama unatumia mitandao kuleta taarifa zako humu tatizo liko wapi? Mbona hata Jamiiforums ni mtandao wa kijamii na watu huwa wanachukua taarifa toka humu na kuzitumia kwingineko??
Pro Russia acheni kubeza hoja za mtu kwa kupambana na yeye bali pambaneni na hoja zake!!
NA WEWE UMEINGIA KINGI? 🤣🤣🤣Pumbav ,cheki mmiliki wa Wagner povu linavyomtoka ,😃😃😃😃, dupa pawa wa mchongo anashindwa hata kutuma ammunitions watu wanachinjwa kama njiwa , mamaee ,halafu ndio huyo supapoor aje kutunishiana misuli na nchi za magharibi ?na hata miaka miwili hajatoboa .
Halafu taahira mmoja wa Tandale mvaa kobaz anasema Russia supapawa ,
Hilo kilaza pekee nikumchukia. Kwani ukimdharau unafaidika chochote?Hakuna wanaomchukia huyo kilaza. Sema wanamdhara kwa pumba zake. Mimi ni mmoja wao ninayemdharau sana
Lakni hata hiyo uliyoisoma umeifuatilia nakujua alichoandika.Baadae mbeleni huko unakuja kuukataa uchambuzi wako kama kuna mtu bado anakuamini atakua mpumbavu wa mwisho.
Mimi nimeacha kufatilia uchambuzi wako baada ya kusema Russia wanatumia vifaa vya washing machine kutengeneza missile
Mbona Mkuu hii ipo waziLakni hata hiyo uliyoisoma umeifuatilia nakujua alichoandika.
Amesema huko juu ni wapi alisema wanatumia machine za kufulia kutengenezea missiles.
Nataka tumzodoe kwa pamoja tuletee screen shot tuone ili tuzidi kumdharau.
Vita inasuasua sasa ni mwendo wa kuokoteleza habari. General Petr Pavel alikuwa Chairman wa jeshi la NATO, kachaguliwa mwaka huu kuwa Rais wa Czech RepublicHuyu nae aneshaona maisha ya Zelle Yako ukingoni ndo maana kampa mguu wa kuku wenye risasi moja ya kujimaliza .
View attachment 2610955
Czech President Petr Pavel presented Zelensky with a legendary 75 kronor pistol with serial number 22. He announced this on Twitter.
#source
Join Slavyangrad chat. Your opinion matters.
@Slavyangrad
Join SLG 🔺 Intelligence Briefings, Strategy and Analysis, Expert Community
Tutumie screeshort tuone.Mbona Mkuu hii ipo wazi
Rudi komenti za nyuma jamaa alikuwa anarudia kulisema mara kwa mara.
Kumbe nawe chenga tu, nilikuwa naona unachambuaga vitu vya maana kumbe utumbo mtupu.Modern Russia unajulikana vizuri. Kwanza tangu wajitenge USSR population yao haijawahi kufika ya mwaka ule hadi leo. Ni miaka mingi tu inakuwa Russia kwa mwaka wanakufa wengi kuliko wanaozaliwa