Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Engineer wa Russia alisema hakuna Air defense system inayoweza kutungua Kinzal, imekuja kutunguliwa na Kombora ya 90s
 
Ndugu yangu uwe unawapa wapa Elimu hasa hawa ndugu zetu wa Pro Russia
 
Acha ukilaza ww, hiyo Physics yako ya ku calculate quantity of heat....uliofundishwa tuition A'level ina msaada upi kwenye Innovation ya Millitary Complex Hardwares...?childish kabisa!!!..
Western yote wakiongozwa na Marekani wanakubali kwamba ni kweli Russia ana hzo Hypersonic Missiles na wanahaha usiku na mchana nao wawe nazo...na weshafanya majaribio zaidi ya mara 3 wakafeli....na sasa Marekani ameomba collabo ya Allies wake wamsaidie...ww yote haya huyaoni...

Sometimes...ni bora kutulia na kusoma kile wanachoandika wenzako wenye ABC za millitary hardware kuliko kutanguliza tumbo mbele wakati huna unalojua...!!!

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Engineer wa Russia alisema hakuna Air defense system inayoweza kutungua Kinzal, imekuja kutunguliwa na Kombora ya 90s
Nakazia [emoji116][emoji116]

Ukraine's Air Force admitted on May 6 that it shot down a Russian Kh-47 Kinzhal ballistic missile for the first time since the start of the war.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
According to a report published by the Organization for Security and Co-operation in Europe (OSCE) on May 4, mass deportation and forcible transfer of Ukrainian children to the occupied areas and Russia's territory "may amount" to a crime against humanity.

"The Mission concluded that numerous and overlapping violations of the rights of the children deported to the Russian Federation have taken place. Not only has the Russian Federation manifestly violated the best interests of these children repeatedly, it has also denied their right to identity, their right to family, their right to unite with their family," reads the report.

According to the OSCE, Russia has also "violated their rights to education, access to information, right to rest, leisure, play, recreation and participation in cultural life and arts as well as right to thought, conscience, and religion, right to health, and the right to liberty and security."

The 90-page report gives an assessment of Russia's actions taking into account data from both the Ukrainian and Russian sides. It covers the most common scenarios of children's displacement, coercion and threats to parents, violent methods of deportation, adoption procedures in Russia, transfer of children across Russia, their return to Ukraine, etc.

More than 19,000 children have been abducted to Russia, according to a Ukrainian national database, while thousands remain unaccounted for. Ukraine has so far managed to return 364 Ukrainian children forcibly relocated by Russia, and the process is ongoing.

The Parliamentary Assembly of the Council of Europe (PACE) wrote on April 27 that Russia's forced relocation of Ukrainian children and efforts to impose Russian culture on them "matches with the international definition of genocide."

Meanwhile, Ukraine's National Resistance Center reported on April 12 that Russian occupying forces have transported more than 100,000 Ukrainian children from Donetsk and Luhansk oblasts for "medical treatment."

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Acha Fake sio kinzal ile we buda upo wapView attachment 2611931
Kwa nini Pro Russia huwa hamkubali... vitu vidogo kama hivi...

Kinzhal in air bosted Balistic missile, sio Hypersonic cruise missiles..

Hata muwe na simple judgement...

Marekani hawana wasiwasi na Hizo so called Hypersonic missiles za Russia ukilinganisha na Rupeleka silaha nzito Ukraine
 
There are approximately 2.5 km left in Bahmut to liberate the city and the city will be occupied." Prigozhin changed his mind about leaving Bahmut? Ukrainians will not go anywhere. They don't feel sorry for the people, and NATO equipment has been brought in.
 
1. Russia ilishindwa kulinda flagship ya Black Sea fleet ile Moskva ikazama.
2. Russia ikashindwa kulinda Kherson bridge ambayo ni strategic kupitisha mahitaji ya vita. Mpaka leo Kherson region Russia inasuasua kutokana na mistake ile, hadi retreat.
3. Russia ilishindwa kulinda HQ za Black Sea fleet mwaka jana hadi maadhimisho ya VD pale yakasitishwa
4. Russia imeshindwa kulinda ikulu dhidi ya drone. Ila sio ajabu maana miaka ya 80 kuna kijana Mjerumani aliendesha Cesna yake akatua Kremlin bila jeshi kujua.

Russia ni superpower, jeshi la pili duniani
 
Victory Day parades traditionally held on May 9 across Russia have been canceled but a celebration in Moscow will likely go ahead on a smaller scale, the U.K. Defense Ministry said on May 6.

Six Russian regions, Russian-occupied Crimea, and 21 cities had canceled their parades, usually held to commemorate the Soviet Union's victory against Nazi Germany in 1945, due to security concerns, the U.K. Defense Ministry said. It added that the risk of protests and discontent breaking out over the war in Ukraine may have influenced the Russian leadership's decision.

Read the full story: UK Defense Ministry: Moscow's Victory Day celebration likely to go ahead on smaller scale

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Tuorodheshe ya Marekani mkuu?The list is too long,and very disturbing,and this is to mention only a few.

1.Marekani ndiyo nchi ya kwanza kutumia Atomic bomb,na kuua watu zaidi ya 100,000 Japan.

2.Marekani katika vita vyake vya kulazimisha nchi kufuata matakwa yake imeua zaidi ya watu millioni 20!

3. Marekani imeua viongozi wa nchi zaidi ya 10 na kupindua serikali zaidi ya 20 duniani kote katika harakati zake za kuiba rasilimali za Dunia.

4.Marekani inatekeleza mikakati mbali mbali ya kuua na kupunguza kwa siri binadamu duniani kote ikiwemo uzazi wa mpango,Chanjo,vyakulasumu,dawasumu nk.nk.Marekani pia ina a global network of over 300 biolab facilities all over the World,all aimed at killing people..

5.Marekani kwa kutumia CIA ndiyo muuzaji mkubwa wa siri wa Heroin kuliko nchi yeyote duniani.Umeshawahi kuwaza kwa nini Kilimo cha Heroin Poppy Afghanistan kinashamiri wakati M arekani wapo?Yes,CIA wakishirikiana na Taliban ndiyo walimaji na wauzaji wakubwa wa Heroin duniani,bila kusahau matumizi ya Opiods kama Fentanyl Marekani kwenyewe ambazo CIA ndio wahamasishaji wakubwa kwa siri wa matumizi yake.Opiods zimeharibi jamii ya Wamarekani kabisa.

6.Marekani inaiba mchana kweupe na kwa kutumia hila rasilimali za nchi mbalimbali zikiwepo Urusi,Syria,Iraq,Libya,Congo DRC nk.nk.

7.Marekani kwa kutumia Hollywood imeharibi moral values za Dunia nzima.

8.Marekani kwa kutumia covert means inaendelea kuharibu hali ya hewa ya Dunia nzima.

9.Marekani ina vituo vya kijeshi zaidi ya 800 Dunia nzima kwa nia ya kutekeleza mikakati yake miovu ya kupindua nchi huru kwa nia ovu za kuiba rasilimali na kutekeleza matakwa yake maovu dhidi ya nchi zingine.

10.Marekani kwa kutumia its' technological advantage ina leta havoc duniani kote kwa kuleta mafuriko,volcanoes,Hurricanes,Tsunamis,joto kama lilitokea India,Ulaya,na hata Marekani kwenyewe na majanga mengine mengi duniani kote.Serikali ya Marekani ni ovu sana,na haijalishi ni Democrats au Republicans,ni mwendo mdundo.

On the other hand Urusi haihusiki na yoyote kati ya haya maovu.Itoshe kusema kwamba haijalishi unaanzaje,unavyomaliza ndio jambo la msingi zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…