jameshyela
JF-Expert Member
- Oct 13, 2022
- 2,043
- 15,861
kweli man mchawi lugha ...Mchawi lugha
blaahh blaaah blaahh ....[emoji849][emoji849][emoji849]Pro-Russia pitieni hapa....
mbona sudani inaangamia husemi ..na congo inaangamia hausemi dunia inaangalia tu ....waafrika bhnaInasikitisha jamani ukrain inaangamizwa huku Dunia imeangalia tup
Mkuu una maanisha huyu mpiga punyeto T18 Armata anaweza kujitundika.Mpunyeto ni mwanetu mpelekee moto mdogo mdogo anaweza fanya maamuz magumu tukajuta sote humu [emoji41][emoji41][emoji41]
Tena mbatata[emoji23][emoji23][emoji23]USSR ilikuwa na nchi ngapi na ikabaki Urusi na unataka ilingane idadi ya watu!!? We jamaa kiazi sana...
Pro Russia tunabebwa na factpro russia tunajielewa aiseee mtu anakupiga na fact mpaka mwili una sisimka aisee
...hakuna eti sijui leo tumewachinja 500 ....ishiii yaani mtu kakosa hoja anangoja ka drone kameotea kuangakia upande wa urusi ndio utawaona hapa na kelele zisizo na mashiko duhh...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]big up kubwa washkaji mapro russia the great countrie ....great army ...great people of russia ....
Huwez jua banduguMkuu una maanisha huyu mpiga punyeto T18 Armata anaweza kujitundika.
Maafisa masoko wa silaha za us ni nomaWaziri wa mambo ya nje wa Uturuki (NATO member state) amesema Marekani imeipigia magoti Uturuki ipeleke S-400 Ukraine ikalinde anga la Zelensky. Waziri huyo kasema 'wamemtolea nje' Biden ombi lake na kuongeza kuwa ombi hilo linaenda kinyume na uhuru wa Uturuki kujiamulia mambo yake.
Yeye Biden na mashoga zake si wanazo air defence systems (NASAMS, Patriot n.k.), wazipeleke huko Ukraine ili wakathibitishe ubora wa hizo systems kwenye uwanja wa mapambano.[emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji23]
===
View attachment 2613716
Syria imegawanyika vizuri sana, Upande Marekani, Upande Russia, Upande Turkey, Upande ISIS.Yanaenda iraq aliko wapiga kwanza ndio yana safirishwa. Ndio umuhimu wa ku win war sio battle
Sisi tunapiga nyuma tuKelele za prigozhn ni mtego ili ukraine wajue pale hamna kitu waanzishe offensive, hakuna jeshi linaweza ongea ujinga kama huo vitani likiwa serious[emoji1]
Na huko Ukraine anavuna viungo vya waukrain ili kukidh gharamaSyria imegawanyika vizuri sana, Upande Marekani, Upande Russia, Upande Turkey, Upande ISIS.
Marekani yeye anavuna mafuta kila siku kurudisha gharama
Kupiga nyuma unamaanisha ninSisi tunapiga nyuma tu
Mkuu!Unafikiri wanajeshi wanafanya vita kwa kauli za kwenye mitandaoh?(pasipo inteligence yao wenyewe)Kauli za prigo ni kuwatamanisha ukraine waanzs offensive haraka wakiamini watashinda maana boss kasema silaha hamna[emoji1]