Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

OK BOSS, NGOJA NIJARIBU MAANA SIO LUGHA YETU HII.


"Inashangaza iwapo jambo hili linatoka kwa mwanachama wa NATO, inaonekana Ulaya katika nyakati za mwisho wanakubaliana na uhalisia. Imenikumbusha Macron alipotembelea China. Je Ulaya wameanza kupatwa na akili? Tusubiri tuone lakini lazima kuna jambo linakuja/litatokea."
 
These are war strategies.Ukisikiliza hotuba ya Olaf Scholz,the German Chancellor at the UN General Assembly New York(below),utaelewa kwamba Europe sasa wanajutia walichokifanya,and they are beginning to come to terms with reallity.Do you remember Macrons' visit to China,that was not a mistake,it was a well thought foreign policy strategy.
 

Attachments

  • VID-20230510-WA0000.mp4
    10.6 MB
Unamtetetea nini,it is by implication.That is what he implied.Ninyi ni Waarabu wa Pemba,mwajuana kwa vilemba.Unaposema Dini ni ujinga na Dini ndizo zinakiri kwamba there is a God out there,si maana yake hakuna Mungu,mkuu vipi wewe?
mkuu kama wewe ni mchungaji na mhubiri basi jaribu kujiepusha na mashindano yasiyokuwa na maana mwisho wa siku utaambulia matusi na mungu wako atadharauliwa humu ......alafu hili sio jukwaa la dini ...mkuu.........
 
ok shukrani ...mkuu.....
mi mswahili kutoka uswekeni ....
 
Reactions: Tsh
mkuu kama wewe ni mchungaji na mhubiri basi jaribu kujiepusha na mashindano yasiyokuwa na maana mwisho wa siku utaambulia matusi na mungu wako atadharauliwa humu ......alafu hili sio jukwaa la dini ...mkuu.........
Mimi siko kwenye mashindano mkuu,niko hapa kuelimisha na kufundisha Neno la MUNGU.Kutukanwa si ajabu,kwa kuwa hata Bwana Yesu alitukanwa,akatemewa mate na hatimaye wakamsulubisha.Yeye ndio kielelezo changu.
Katika 1 Petro 2:20 tunasoma,
"Kwa maana ni sifa gani kustahimili, mtendapo dhambi na kupigwa makofi? Lakini kustahimili, mtendapo mema na kupata mateso, huu ndio wema hasa mbele za Mungu."

Tena Bwana Yesu amesema,
"Amesema Duniani mnayo dhiki,lakini jipeni moyo kwa kuwa Mimi nimeushinda Ulimwengu(Yohana 16:33).Hizo ndizo dhiki zenyewe.

Pia Bwana Yesu amesema katika Luka 9:23,
"Mtu ye yote akitaka kunifuata, na ajikane mwenyewe, ajitwike msalaba wake kila siku, anifuate.' Mimi nimejikana kwa ajili ya Kristo,sijali kutukanwa mkuu,nitaubeba msalaba kwa ajili ya Kristo mpaka kieleweke.
 
Sabotage zinaendelea [emoji16]


[emoji298][emoji298]Russia's Voronezh Oblast Governor Alexander Gusev reported on May 10 that two Ukrainian drones had allegedly attacked a military training ground in his region overnight.

As a result of the air defense work, one drone deviated from its course and fell, and the other one was destroyed, Gusev wrote on Telegram.

Learn more: Governors claim attacks on three Russian regions bordering Ukraine

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
ok sawa ....
 
Warusi wamepoteana[emoji1787]



[emoji298][emoji298]Russian presidential spokesperson Dmitrii Peskov has said that the Kremlin has not yet seen the May 9 video posted by Wagner mercenary group boss Yevgeny Prigozhin, in which the latter claims that Wagner has still not been given the ammunition requested from Russia's defense ministry.

Learn more: Peskov claims Kremlin hasn't seen Wagner boss Prigozhin's latest video on conflict with defense ministry

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 

Russia mpaka jana anamiliki 28% ya ardhi hizo 51% zimetoka wapi???

HIMARS zimefail Ukraine warussi wanajam mifumo yake ya GPS zimekua hazipigi target. Upo wapi ndugu unashindwa kujua taarifa kama hizi??




Hao ni Kyiv independent wanasema shirika la habari Ukraine. Maeneo Russia aliyo retreat ameyarudisha yote ndomana unaona mpaka sasa 28% imekwenda. Bakhumut imebaki padogo sana ambapo ikichukuliwa itafika 30%.

Mkuu next time uwe msomaji tu nakupa ushauri maana hujui kinachoendelea field.
 
[emoji298]️ China says it will “not add fuel to the fire” of the war in Ukraine

China does not intend to benefit from Russia's war against Ukraine and looks forward to further discussions on the peace plan proposed by Beijing, Sky News reported.

Foreign Minister Qin Gang said that China is holding talks with both Russia and Ukraine. He noted that China's special representative to Europe will soon visit Ukraine again.

Qin also denied that Chinese companies had supplied critical components to the Russian arms industry.

[emoji328]: AFP

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Bakhumut [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]





[emoji298][emoji298]Fierce Ukrainian Counterattack Takes Ground in Bakhmut Fighting – Prigozhin Claims ‘Betrayal’

A Kyiv-raised elite assault infantry unit grabbed ground and hit defenders with dozens of casualties in the Russian army’s worst battlefield failure in months.

Read more on our website.



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Bwana Mathanzua hapo juu ulisambaza habari ya uwongo kabisa.
Hotuba ya chansela Scholz iko hapa, kwenye tovuti rasmi ya serikali yake (ubalozi wa Ujerumani kwenye makao makuu ya UM).
Katika video yako ya uwongo hakuna sentensi hata 1 ambayo ni kweli.

Inaonekana ni kawaida yako.
 
Mzungu pori karudi
Mzungu wa mchongo huyu hapa
Mzungu kigeugeu
Mzungu miyeyusho
Mzungu wa hovyo

Aina hii ya watu ni wa kukaa nao mbali mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…