That can be cooked,si ajabu.Narudia kwa jinsi mawasiliano yako yalivyoo,wewe ni Chatbot.Mkuu huoni aibu kumwaga uwongo ulio dhahiri halafu huombi radhi bali unaongeza uwongi mwingine?
Kwa kawaida nisingetaja hapa swali la aibu ili ukiwa mtu anayependa kutumia sana jina takatifu na maneno ya Biblia ni aibu kiasi, sivyo?
Menginevyo: aliyeonekana kwenye video alikuwa Scholz. Sauti iliyowekwa juu ya maneno yake ilikuwa ya uwongo, ikisema maneno yaliyo kinyume cha kile alichosema.
Nimekupa matini ya hotuba yake. TAJA SENETENSI 1 TU INAYOFANANA HATA KIDOGO NA YALE ULIYOSAMABAZA.
Soma hapa kwenye tovuti rasmi: Speech by Olaf Scholz, Chancellor of the Federal Republic of Germany, at the 77th general debate of the United Nations General Assembly, New York, 20 September 2022
Yaani wewe uko very poorly informed kuhusu hii vita.Putin atawamaliza makamanda wake.
Mkomonisti anayewakaanga makambanda kwa kuwapeleka mstari wa mbele wanadunguliwa - dadeq.Za mwanzo zimeenda wapi
Hilo lisikuogepeshe na hizo zitayayuka kaba barafu kwenye jua Russia dude kubwa nchi 51 na bado anaziponda
Ndio maana wanaogopa China kupeleka siraha wanajua asubuhi tu game itaisha usicheze na wakomunisti watu wabaya sana tena sana.
Sioni aibu hata chembe ku-expose uovu wa Shetani,I will do it kila nipatapo nafasi.Clip niliyoleta mimi ndiyo sahihi,kwa kuwa inakubaliana hata na maandiko matakatifu.Mkuu huoni aibu kumwaga uwongo ulio dhahiri halafu huombi radhi bali unaongeza uwongi mwingine?
Kwa kawaida nisingetaja hapa swali la aibu ili ukiwa mtu anayependa kutumia sana jina takatifu na maneno ya Biblia ni aibu kiasi, sivyo?
Menginevyo: aliyeonekana kwenye video alikuwa Scholz. Sauti iliyowekwa juu ya maneno yake ilikuwa ya uwongo, ikisema maneno yaliyo kinyume cha kile alichosema.
Nimekupa matini ya hotuba yake. TAJA SENETENSI 1 TU INAYOFANANA HATA KIDOGO NA YALE ULIYOSAMABAZA.
Soma hapa kwenye tovuti rasmi: Speech by Olaf Scholz, Chancellor of the Federal Republic of Germany, at the 77th general debate of the United Nations General Assembly, New York, 20 September 2022
Sioni aibu hata chembe ku-expose uovu wa Shetani,I will do it kila nipatapo nafasi.Mkuu huoni aibu kumwaga uwongo ulio dhahiri halafu huombi radhi bali unaongeza uwongi mwingine?
Kwa kawaida nisingetaja hapa swali la aibu ili ukiwa mtu anayependa kutumia sana jina takatifu na maneno ya Biblia ni aibu kiasi, sivyo?
Menginevyo: aliyeonekana kwenye video alikuwa Scholz. Sauti iliyowekwa juu ya maneno yake ilikuwa ya uwongo, ikisema maneno yaliyo kinyume cha kile alichosema.
Nimekupa matini ya hotuba yake. TAJA SENETENSI 1 TU INAYOFANANA HATA KIDOGO NA YALE ULIYOSAMABAZA.
Soma hapa kwenye tovuti rasmi: Speech by Olaf Scholz, Chancellor of the Federal Republic of Germany, at the 77th general debate of the United Nations General Assembly, New York, 20 September 2022
Kwa jumla naona afadhali kuongea na chatbot kuliko na watu wanaonakili vitu pumbavu bila kujali . . . (kama hotuba bandia ya Scholz inayoweza kutambliwa na mtoto mdogo..)Wewe Umshana ni Chatbot,look at this👇,it is out of context kabisa.
"Rais Putin anaendesha vita hiyo akiwa na lengo moja: kuiteka Ukraine."
Ushauri wangu kwa JF users,please ignore Umshana,ni Chatbot.
Kwa wale wasiojua Chatbot,at the most basic level, "a chatbot is a computer program that simulates and processes human conversation (either written or spoken), allowing humans to interact with digital devices as if they were communicating with a real person."
Bado gaidi mkuu zele.Chuma kimelambishwa mchanga tayari.R.I.P kamandaView attachment 2616986
Kimsingi unajiexpose mwenyewe. Haifurahishi kuona, lakini nashukuru.Sioni aibu hata chembe ku-expose uovu wa Shetani,I will do it kila nipatapo nafasi.Clip niliyoleta mimi ndiyo sahihi,kwa kuwa inakubaliana na maandiko matakatifu.
Umshana this further proves kwamba wewe sio mtu.Hii maana yake nini>Kimsingi unajiexpose mwenyewe. Haifurahishi kuona, lakini nashukuru.Kimsingi unajiexpose mwenyewe. Haifurahishi kuona, lakini nashukuru.
Fake newsRussia mpaka jana anamiliki 28% ya ardhi hizo 51% zimetoka wapi???
HIMARS zimefail Ukraine warussi wanajam mifumo yake ya GPS zimekua hazipigi target. Upo wapi ndugu unashindwa kujua taarifa kama hizi??
View attachment 2616788
CNN: HIMARS become less effective in Ukraine due to Russia's jamming
In recent months, Russia has been blocking the U.S.-provided High Mobility Artillery Rocket Systems (HIMARS) used by the Ukrainian army more frequently, making them less effective, CNN reported on May 5, citing people familiar with the matter.kyivindependent.com
Hao ni Kyiv independent wanasema shirika la habari Ukraine. Maeneo Russia aliyo retreat ameyarudisha yote ndomana unaona mpaka sasa 28% imekwenda. Bakhumut imebaki padogo sana ambapo ikichukuliwa itafika 30%.
Mkuu next time uwe msomaji tu nakupa ushauri maana hujui kinachoendelea field.
Hivi Umshanaa,kwa nini niamini kwamba hotuba yako ndio sahihi,wakati ina favour misimamo ambayo haina hata chembe ya ubinadamu?Tuachane bwana.Kwa jumla naona afadhali kuongea na chatbot kuliko na watu wanaonakili vitu pumbavu bila kujali . . . (kama hotuba bandia ya Scholz inayoweza kutambliwa na mtoto mdogo..)
Nilicholeta kama hotuba ya scholz, ilikuwa google-translate kutoka ukurasa wa kiingereza. Kama sikusahihisha vema, nisamehe . . .
(programu yangu ya chatbot inasema heri kuomba radhi wakati mwingine ili kuwadanganya watu vizuri zaidi!)
Mkuu is this confirmed ama ni rumours bado? make siioni google kabisa.Chuma kimelambishwa mchanga tayari.R.I.P kamandaView attachment 2616986
[emoji23][emoji23][emoji23]tatizo wana kurupuka kukoments bola kusoma habar kuindani ..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani umevuta kitu gani bro.huyo ni mkuu wa majeshi wa Ukraine.tayari kashalambishwa mchanga
[emoji115][emoji115][emoji23][emoji23]wacha kukurupuka em angalia basi hata bega la kushoto lina bendera ya nchi gani[emoji849][emoji849][emoji849]Putin atawamaliza makamanda wake.
Hotuba ya Scholz si swali la kuamini.. Ubalozi wa nchi una kazi ya kusambaza matangazo rasmi. Nimekuonyesha matini ya hotuba yake kwenye ukurasa rasmi ya ubalozi wa Ujerumani.Hivi Umshanaa,kwa nini niamini kwamba hotuba yako ndio sahihi,wakati ina favour misimamo ambayo haina hata chembe ya ubinadamu?Tuachane bwana.
Tayari kaka habari imekuwa confirmed[emoji120][emoji120]Mkuu is this confirmed ama ni rumours bado? make siioni google kabisa.
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
LoL!
What 'do you smoke'????!!!! Au tuseme na kuuliza huwa unatumia kiungo gani cha mwili katika kufikiri???!!Putin atawamaliza makamanda wake.
Aisee ukuu wa Russia unazidi kuonekana siku Hadi siku.Russians sio watu[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]