Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Umerudi tena porojo zako za kubumba..!!!..thread ilikuwa poa sana aisee..!!!..tafadhali rudi ulikokuwa Mkuu!!!

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu pinga kwa fact!

Nimekuambia 50% Ya eneo alilokaliteka(ameretreat) na siyo ya ukraine yote.
Himars nakubali zinakuw-jammed ila siyo makombola yote(fuatilia shambulio la juzi mji wa Donetsk)

Nitajie mji aliyeretreat Russia na sasa ameurudisha (kati ya hiyo niliyotaja)
Hapa watu wote watajua kati ya wewe na mi
 
Mkuu pinga kwa fact!

Nimekuambia 50% Ya eneo alilokaliteka(ameretreat) na siyo ya ukraine yote.
Himars nakubali zinakuw-jammed ila siyo makombola yote(fuatilia shambulio la juzi mji wa Donetsk)

Nitajie mji aliyeretreat Russia na sasa ameurudisha (kati ya hiyo niliyotaja)
Hapa watu wote watajua kati ya wewe na mi
 
Kazi inaendelea [emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123]



[emoji298][emoji298][emoji298]Ukraine’s Air Force launched three strikes on enemy personnel and military equipment clusters. Missile and artillery units hit an enemy anti-aircraft missile system, two manpower clusters, a fuel depot, and an EW station.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kemea na laani uvamizi wa Urusi huko Ukraine.
 
Shukrani sana Mkuu Mathanzua kwa kuuongea ukweli na kuishi ndani yake!!!

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Hakuna ukombozi wa bure kwahyo tutatetea kwa nguvu ukombozi wa watu wa Russia dhidi ya Nazi na upinde.
Sio kutetea kwa nguvu ukombozi wa watu wa Russia tu, bali vile vile Dunia nzima dhidi ya mabeberu hawa ambao walisha jisahau kabisa kwa kujiona wao pekeee ndio wenye hati miliki ya Dunia nzima hasa baada ya WW1 ndio wakajawa na kiburi na dharau.

Si hilo tu bali wana pia huluka ya kupenda penda vita na vurugu na kuchonganisha watu/mataifa ili yasielewane - inavyo elekea hivi sasa wako radhi hata kutumia silaha za nuclear kuliko kuona Urusi inashinda vita ya huko Ukraine.

Cha kujiuliza hapa, kwa nini US/NATO wako overly obsessed na vita ya Ukraine, jibu ni rahisi sana - tatizo linatokana na USA kuwa na wasi wasi kwamba Warusi wakishinda vita huko Ukraine suala hilo litaifanya NATO kusambaratika ie haitakuwa na umuhimu wowote Ulaya watapenda wawe na jeshi lao huru ambalo halitegemei tena amri kutoka Merikami Ulaya ifufue tena viwanda vyao vya kuunfa ndege za kivita kama zamani kuliko kuendelea kutegemea ndege za Merikani walati na wao uwezo wa kuunda ndege za kivita wanao sana lakini US inataka kuvihujumu kijanja Macron na chancellor wa Ujerumani ndio wamelishtukia hilo - viongozi wengine wa Ulaya ni bongo lala.

Naendelea kurudia kwa mara nyingine tena kwamba Russia ikishinda vita hii ya Ukraine hilo likitokea basi US haitakuwa tena na ushawishi mkubwa wa masaula ya Geopolitics Duniani, in other words hakuna Taifa ambalo litawachukulia Wamerikani seriously any more - hii kitu inawatia wasi wasi sana Wamerikani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…