Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Source biden
 
Mkuu!

*Nimesema 50% ya ardhi iliyokatekwa na Urusi(na siyo ardhi yote ya Ukraine naomba elewa)

*Himars zinakuwa jammed lakini si kwa 100% (rejea shambulio la Donesky juzijuzi)

*Mkuu nitajie miji walau 2 aliyokaretreat Russia now ameirejesha)

Mkuu hizo hesabu za wapi? Maana mpaka sasa hakuna Ukraine alichofanikiwa kurudisha hizo 50% kazirudisha wapi? Maana mwaka jana Russia alikua anashikiria 20% mwaka huu mpaka march ilikua 25% jana naona 28% kama karudisha 50% unazo dai wewe kazirudishia wapi??. Nitajie hayo maeneo aliyoyakomboa sio kupiga ramli hapa.
 

Nimeanza kupata picha
 

Na ili Ukraine ianguke lazima SMO ipigwe nchi nzima.
 
.
Mkuu!Naona unanisumbua nimekutajia mpaka miji(Khakiv,Kupiasky,Kherson,Izyum,Lyman) lakini bado huelewi.
Kama hutaelewa hapa basi shukran !
 
.
Mkuu!Naona unanisumbua nimekutajia mpaka miji(Khakiv,Kupiasky,Kherson,Izyum,Lyman) lakini bado huelewi.
Kama hutaelewa hapa basi shukran !

Mkuu unachekesha sana sasa hayo maeneo kama kherson, Lyman Russia retreated. Pia kherson eneo kubwa liko under Russia control, Ukraine recaptured 2,400 square only. Tukija kharkiv bado kuna sehem Russia anashikilia bado.

Lyman ina 20km square, kupiansk ina 33km square, izyum 43km square ni eneo dogo sana ni ndomana nakushangaa unavyosema kwamba 50% wamerudisha mkuu kuwa serious.

Tukija lyman & kupiansk Russia wana advance taratibu.


Tufanye hayo maeneo yote uliyotaja mmerudisha lakini bado hayafiki 600 sq km maana kherson ina 140 sq km na kharkiv ina 359 sq km. Russia anashikilia 132,000 sq km ya Ukraine ( kwa data za February). Kama unajua hesabu calculate hapo utapata hio 50%???. Taarifa zako unazipatia wapi chief maana unaonesha hujui hesabu.
 
Unamtetetea nini,it is by implication.That is what he implied.Ninyi ni Waarabu wa Pemba,mwajuana kwa vilemba.Unaposema Dini ni ujinga na Dini ndizo zinakiri kwamba there is a God out there,si maana yake hakuna Mungu,mkuu vipi wewe?
Uwezo wako wa mapokeo ni tatizo.

Simtetei ila napinga mnavyoshindwa kutofautisha dini na uwepo wa Mungu.
Tena haswa kwa ile kauli yako uliyodai anapinga uwepo wa Mungu.

Kuna mahali alikwambia haamini kama Mungu yupo?
(Kama kaonyesha hivyo basi ni wa kumkemea bila kuacha kwasababu anafanya upotoshaji).


Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…