Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Na kaishia kuwatia korokoloni maofisa wakuu wa intelligence kwa kumfanganya





 
Af anakuja jamaa anaanza kuleta issue za kidini et waislam ndo wanawachukia Marekani... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tizama hii record apo chini...



Hizo nchi vizuri... Korea, Guatemala, Cuba, Congo wa Afrika wenzetu hawa Vietnam, Cambodia, Nicaragua na Panama...

Je ni hizo nchi za kiislam...?

Kwa kifupi mfano binafsi sio kwamba nafrahi Ukraine kupigwa na Mrusi la hasha.... Ila kinachonikera ni Jambazi kujifanya mwema kumkemea mwenzie....

Yan USA bora angekaa kimya fala tu yule hyo Issue ata isingefika apo wangeyasuruhisha kidiplomasia tu...

Kwenye vita vyovyote ambao huwa wanaumia ni Raia wa kawaida hao viongozi wanashinda kwa ofisi kula keki ya Taifa.
 
Teh teh 😂 naona umeamua kumtolea uvivu huyo ayejiona mzalendo mwerevu.
 
Mkuu umepaniki sana umepata lunch tyr?
Nimekula vizuri sana asante, sina paniki. Ila ukijisikia umeuliza swali zuri, kwanza ujiulize mwenyewe kama wewe umewahi kusikia habari nilizotaja hapa juu na kama umewahi kutafakari hayo. Tangu miaka 60 wanasayansi kote duniani wamefanya makadirio kuhusu matokeo ya vita nyuklia kutegemeana na idadi ya silaha zinazotumika. Zamani wataalamu walikuwa pamoja kila binadamu anaweza kufa. Siku hizi hawaoni tena wote, ila idadi kubwa; siyo tu pale Marekani na Urusi kwa sababu milipuko ya megatani za silaha za nyuklia 1) itaachisha kiasi cha mnururisho untakaofika kwa njia ya mikondo kwenye angahewa hata kwenye ambara mengine na kusababisha kansa kwa watu wengi 2) kusababisha moto nyingi na kurusha kiasi kikubwa cha vumbi, moshi na mazizi hadi matabaka ya juu ya angahewa inayolingana na machafuko kutokana na volkeno kubwa sana (ambayo hatujaona bado tangu watu wako).
Tokeo lake linajadiliwa chini ya kichwa cha "nuclear winter" au "nuclear famine" maana yake kote duniani kilimo kitaporomoka. Huko kazkazini zaidi, katika kusini (=Afrika) pia kwa kiwango kinachojadiliwa.
Imani kwamba vita ya kinyuklia huko kwa wazungu haiwezi kuathiri Afrika ni kitoto na ushamba mkuu. Matokeo makali ya silaha za nyuklia ni sababu kwamba NATO na URUSI katika miaka 70 tangu wote wanazo silaha hizo hakuzitumia. Ni pia sababu NATO haiingii Ukraine; maaana kati ya NATO na URUSI wanajua hakuna atakayebaki wakitumia silaha hizo.
 
Vita hii hata ikitumiwa hizo Nukes hakuna madhara yoyote yataikumba Afrika labda mambo ya kiuchimi tu ila kifo hahaha hiyo hakuna. Likipigwa huko USA ni vipi litarufikia sisi huku kwa Bititi street? Mwanamkiwi acha kuwa mkiwa sana
Kaka hujui unachojadili. Nimeuliza maswali kadhaa katika post unayojibu. Je unaelewa yoyote kati ya maswali hayo???
Tangu miaka 60 wanasayansi kote duniani wamefanya makadirio kuhusu matokeo ya vita nyuklia kutegemeana na idadi ya silaha zinazotumika.
Zamani wataalamu walikuwa pamoja kila binadamu anaweza kufa. Siku hizi hawaoni tena wote, ila idadi kubwa; siyo tu pale Marekani na Urusi kwa sababu milipuko ya megatani za silaha za nyuklia
1) itaachisha kiasi cha mnururisho utakaofika kwa njia ya mikondo kwenye angahewa hata kwenye mabara mengine na kusababisha kansa kwa watu wengi
2) kusababisha moto nyingi na kurusha kiasi kikubwa cha vumbi, moshi na mazizi hadi matabaka ya juu ya angahewa inayolingana na machafuko kutokana na volkeno kubwa sana (ambayo hatujaona bado tangu watu wako duniani ingawa si vibaya kama matokeo ya asteroidi iliyoua dinosauri; matokeo makuu nu kuleta giza la muda, kupunguza mwanga wa Jua na kushusha halijoto duniani).
3) pia kuathiri tabaka la ozoni na kuongeza miale ya urujuajimno pamoja na matokeo yote yanayojulikana.
Tokeo lake linajadiliwa chini ya kichwa cha "nuclear winter" au "nuclear famine" maana yake kote duniani kilimo kitaporomoka. Huko kazkazini zaidi, katika kusini (=Afrika) pia kwa kiwango kinachojadiliwa kati ya wataalamu.
  • Imani kwamba vita ya kinyuklia huko kwa wazungu haiwezi kuathiri Afrika ni kitoto na ushamba mkuu.
  • Matokeo makali ya silaha za nyuklia ni sababu kwamba NATO na URUSI katika miaka 70 tangu wote wanazo silaha hizo hawakuzitumia.
  • Ni pia sababu NATO haiingii Ukraine (hata wakijiamini wangeshinda jeshi la Urusi ardhini na angani); maana kati ya NATO na URUSI wanajua hakuna atakayebaki wakitumia silaha hizo.
 
No one excludes the possibility of a meeting between Putin and Zelensky, but you need to understand what to discuss at it and what will be the result, said Dmitry Peskov, his words are quoted by Interfax. Galip SV Liwagu

According to a Kremlin spokesman, it is premature to talk about the results of the negotiations led by the group led by Medinsky.
 
Kaka ukichoka lala kidogo halafu soma kitabu kizuri.
Kwanza ungeweza kuupdate ukurasa wako, huyu Sebastian Kurz ambaye unamtangaza ameshafukuzwa Austria tangu mwaka jana.
Kwa maswali yako nimepata jibu: Warusi hawakufanya kitu kuhusu nchi nyingine kwa sababu walipokelewa katika NATO haraka sasa ni wanachama. Kwa hiyo kushambulia Estonia = kushambulia Marekani na Ulaya.
Ukraine wanashambulia kwa sababu Ukraine si mwanachama wa NATO na NATO haiko Ukraine (hata kama wanawaambia wanachi wao kinyume....)
 
It has been weeks of constant shelling and bombardment in your Country’s land and You are constantly , desperately all over the media yelling out for help from your distant witiful pretenders! What a pity!

This is a real war man! It seems like You are blindfolded or brainwashed or having lost nerves and not aware that your people are being innocently killed and others seeking refuge. Lord have mercy on those scattered as their homeland is fastily turning into a living hell!

You thought they could battle them out with you but now it's crystal clear that you might have been left on your own against the Undertakers.

Your Countrymen know how determined you are to win this battle but at the same time you know that soon or later you might be no more.

You might be left with nothing to prove to your own people! ,they trust you and love you but I believe they will love you even more if you decide to save their precious lives by ending this savage war before they do so when almost everything on the ground is lost.

If you Let them accomplish their plans at the expense of saving your Countrymen lives and properties ,will it controversially spoil your legacy or legendary plans?

Is it looking Patriotic and Heroic more important than ones Lives and properties?

Mr. President bear in mind I’m not taking sides but Distinct perspective matters when pictures look alike or vague in the eyes of Beholders.

ARTICLE.
 
Anton Siluanov on the air of "Russia 1" said that Russia does not abandon its obligations on the public debt and will pay in rubles until Western countries unfreeze their gold and foreign exchange reserves. Galip SV Liwagu

According to him, due to the sanctions, about $300 billion of the Central Bank's gold and foreign exchange reserves have been frozen.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…