Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Huu uzi ni yanayojiri vita ya Russia na Ukraine.NImeziona comments zako za moto sana kuanzia jana. Hebu nieleze ni ugonvi upi hasa uliokuwa ukiumiza vichwa vya watu Kati bwana Musiba na CDE Membe?
Inasemekana kutokana comments zako wewe upo upande mmoja wapo.
Nashukuru bwana Allen Kilewella Naona mfano wa logo ya NAZi kwenye avatar yako.Huu uzi ni yanayojiri vita ya Russia na Ukraine.
Kuleta mada nje ya hizo ni kuharibu uzi huu.
Kwa nn wasiwe na huo uwezo..?. kwani NATO ni akina nani..? si wanajeshi tu waliopatiwa mafunzo na kupewa silaha bora...?...wewe uliwahi kudhania hapo nyuma kuwa Jeshi la Ukrein wangeweza kuhimili jeshi la Russia hata kwa week 2....?... Wagner wamepewa sila bora na jeshi la Urusi ...wanapewa michongo/intelligency ya kila aina na jeshi la Urusi...Why? wawashindwe hao NATO...unapoongelea NATO unaweza fikiria ni askari wa ajabu...kumbe ... hata askari wa Poland...sijui Romania, na nchi nyingi tu hapo za former soviet union ni NATO...sasa wana maajabu gani?...Marekani ndio baba wa NATO...mbona alisimamishwa na Somalia hapo...wale Mujahidin wa Afghanistan aliwaweza huyo Marekani..??..na hawakuwa na ubora wowote zaidi ya morali ukiwalinganisha na hao Wagner.Sijui unachojaribu kunielewesha ni nini??
Kwamba Wagner wana uwezo wa kuisimamisha NATO kwa siku zote hizi??
Kuna tofauti kati ya Jeshi na mamluki. Hao Mamluki wa Wagner hawawezi kushindana na jeshi la NATO huo ndiyo ukweli hata Wagner wangekuwa upande wa Ukraine bado ingesemwa kuwa hawawezi kupambana na Jeshi la Russia..unapoongelea NATO unaweza fikiria ni askari wa ajabu...
Angalia tena...Nashukuru bwana Allen Kilewella Naona mfano wa logo ya NAZi kwenye avatar yako.
Je, na wewe ni Mnazi?
Wanadai ilidondoka kwa hitilafu na siyo kudunguliwa.Kuna watu kwa kiwewe wamedondosha ndege zao kwa kujipiga
😃😃Aibu sanaWanadai ilidondoka kwa hitilafu na siyo kudunguliwa.
Lakini kubali kwanza Avatar yako 80% ni Logo ya Nazi kisha tutakuuliza kwanini umeongezea hiyo alama nyingine?
[emoji1238] Syria ilikuwa ni mashambuliz kwa ajili ya nini?Mkuu kwa nini wavamie Urusi? NATO haitaki kuvamia Urusi. Kazi yake si kushambulia nchi, ni maungano ya kuteteana. NATO haikuwahi kushambulia nchi.
(Ukipenda kuleta tena orodha ya Libya, Iraki, Afghanistan na kadhalika: hapana hizo zote hazikuwa mashambulizi ya NATO; Afghanistan ilikuwa jibu kwa shambulio dhidi ya nchi mwanachama, Libya ilikuwa kufuatana na agizo la Umoja wa Mataifa, Iraki 1 ilikuwa jibu la uvamizi wa Kuwait, Iraki 2 ilikuwa vita ya Marekani, si ya NATO; Kuingia kwa NATO Yugoslavia ilifuata azimio 816 ya Baraza la Usalama ya Umoja wa Mataifa na ombi la Katibu Mkuu, kwa shabaha ya kusimamisha Waserbia waliolenga kuangamiza Waislamu wa Bosnia).
Uncle Sam kaamua ,this time mtu atafilimbwa mpaka anye , Warusi watajuta kumuacha huyo kibwengo wao kufanya upuuz aliofanyaPigaaaa pigaaaaa mbwa haoooo , heheeeeee,, missiles za mwingereza zinamnyoosha mtu huko ,maanina
Aiseee.Lakini kubali kwanza Avatar yako 80% ni Logo ya Nazi kisha tutakuuliza kwanini umeongezea hiyo alama nyingine?
Ndunia yote inampinga Hitler Wewe mwenzetu wanaweka logo yake
Yes jamaa walitangaza kutuma mzigo kumbe mzigo ulikua tayari ktk uwanja wa vita unafanya kz!@umshana jana nilikuambia kuwa hzo long range missiles za UK (Storm Shadow za range ya 250km) tayari ziko Ukrein ile kutangaza kwamba wataipa Ukrein ilikuwa ni zuga ...mzigo tayari uko ndani ya ukrein...nakumbuka ulikaza fuvu hapa...sasa hili shambulizi la jana Luhansk..hope limekupa kitu...
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Alishangilia kifo cha Magu, sasa jana alipoona watu wanashangilia kifo cha chawa wake Membe, ikaanza kumuumz, hakujua kuwa mariposa ni hapa hapaNImeziona comments zako za moto sana kuanzia jana. Hebu nieleze ni ugonvi upi hasa uliokuwa ukiumiza vichwa vya watu Kati bwana Musiba na CDE Membe?
Inasemekana kutokana comments zako wewe upo upande mmoja wapo.
Aisee!!Alishangilia kifo cha Magu, sasa jana alipoona watu wanashangilia kifo cha chawa wake Membe, ikaanza kumuumz, hakujua kuwa mariposa ni hapa hapa
Mwingereza wa wapi huyo? Unazijua Missiles kweli wewe?Pigaaaa pigaaaaa mbwa haoooo , heheeeeee,, missiles za mwingereza zinamnyoosha mtu huko ,maanina