T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Huyu ndio kawaida yake juzijuzi aliwaambia NASA Roskosmos isiyowapa access ya rockets zao wataenda space kwa kutumia mifagioHuyu waziri wa Russia ni fala sana nimecheka sana hvi NATO wanaichukuliaje hii ?? Nimecheka sana
Idadi ya watu waliokufa kwenye shambulio hilo la Ngome ya kijeshi ya Ukraine karibu na mpaka wa Poland imetangazwa upya kuwa ni watu 20 hadi sasa, na watu 57 wamejeruhiwa vibaya.
Na kwa mujibu wa Reuters, Russia ilishambulia ngome hiyo kwa maroketi 30 [emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]
Mwambieni Putin apunguze, maroketi 30 yote ya nini ?! Utafikiri anaua nyoka!
View attachment 2148827
As it happened: Zelenskiy urges Nato to implement no-fly zone
This live blog has now closed. Follow the latest updates on the Russia-Ukraine war here.www.theguardian.com
....into documents for signing. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]State Duma deputy, member of the Russian delegation at the talks with Ukraine Leonid Slutsky on the progress in the dialogue with Kiev:
“If we compare the positions of both delegations at the talks at the very beginning and today, we will see significant progress.
According to my personal expectations, this progress can develop into a common position of both delegations in the very near future, into documents for signing.”
Galip SV Liwagu View attachment 2149027
US ni mfarakanishi, kwa sababu ana nguvu ndio maana anaweza kufanya jambo asiulizwe, lakini wenzake wakifanya anahoji na kuwapiga sanctions. Yeye akifanya mengi maovu, kaingilia Iraq kwa propaganda za mass destruction weapons, kwenda Afghanistan kwa kumtafuta bin Laden, kaenda Libya kumuua Gaddafi, yote kafanya na hakuna aliyenyanyua mdomo.Ninavyosoma comment nagundua kuwa warusi wengi wachangiaji humu hawaichukii Ukraine ila wanamchukia USA.
Wanafurahi sababu Urusi anathibitisha kuwa anaweza kupiga na asizuiwe na yoyote akiwemo USA, na sio kwamba wanafurahia Ukraine kupigwa.
Chuki kwa USA na Furaha ya kuona Urusi ikithibitisha kwa USA kuwa yeye ni mbabe ni kubwa inafunika huzuni yao kwa Ukraine.
Ni sawa na umchukie mtu kiasi cha kwamba ukikutana na ndugu yake anaibiwa unafurahi hata kama huyo ndugu yake hana ugomvi na wewe.
Hehehhe yani nipale huyo jamaa dam yake itamwagwa ndipo na Putin ataona dunia kuna serikali katili.. watamuua pia. Trust me. Putin watamuua trust meIt has been weeks of constant shelling and bombardment in your Country’s land and You are constantly , desperately all over the media yelling out for help from your distant witiful pretenders! What a pity!
This is a real war man! It seems like You are blindfolded or brainwashed or having lost nerves and not aware that your people are being innocently killed and others seeking refuge. Lord have mercy on those scattered as their homeland is fastily turning into a living hell!
You thought they could battle them out with you but now it's crystal clear that you might have been left on your own against the Undertakers.
Your Countrymen know how determined you are to win this battle but at the same time you know that soon or later you might be no more.
You might be left with nothing to prove to your own people! ,they trust you and love you but I believe they will love you even more if you decide to save their precious lives by ending this savage war before they do so when almost everything on the ground is lost.
If you Let them accomplish their plans at the expense of saving your Countrymen lives and properties ,will it controversially spoil your legacy or legendary plans?
Is it looking Patriotic and Heroic more important than ones Lives and properties?
Mr. President bear in mind I’m not taking sides but Distinct perspective matters when pictures look alike or vague in the eyes of Beholders.
ARTICLE.
Nasubiri kuona sura ya rais wa EU yule mama mwembamba hivi aliye'kejeliwa' na waziri wa Uganda.PHOTO. European Union foreign policy chief Josep BorrellView attachment 2148855
Trump ukitaka mskia download App yake inaitwa "Truth"....Mmh! Kwani Trump anasemaje maake naona yuko kimya, si aongee ni mshikaji wake.
Kweli maana maghala yamejaa.....into documents for signing. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kawaida sana ndioa maana yanaitwa majaribio...Hawa North Korea waliwahi kutest ikawalipukia [emoji1787]
[emoji1787]
Mkuu acha kuokota okota taarifa za kizushi na kuja kutulisha MatangoPori hapa.Jana vyombo kadhaa vilitaarifu TETESI kwamba Col. General Sergei Beseda, mkuu wa 5th Service ambayo ni Foreign Intelligence branch ya usalama wa taifa wao, FSB amewekwa under house arrest yeye na msaidizi wake. 5th Service ndio walikuwa wanachunguza hali ya Ukraine na taarifa za Putin alizokuwa anasema na kila alichoamini kitakuwa walimpa wao. Now mambo yamekuwa tofauti na matarajio kuna assumptions kwamba fedha zilizotengwa kwa ajili ya operations kadhaa za inteligence zilitumiwa vibaya au walitoa taarifa bila weredi mambo ya de-nazification na kwamba Ukraine hawatatoa resistance.
Ni tetesi pia kuwa kuna makamanda wa jeshi wamebadilishwa. Taaarifa zimetolewa jana nikasubiri angalau leo kutakuwa na evidence lakini bado hivyo tuendelee kusubiri. Nimeambatanisha picha ya huyo msaidizi, mkuu hana picha mtandaoni. Pia nimetoa picha ambayo sina hakika kama ni sahihi ikionesha list ya vifo vya maofisa wa jeshi la UrusiView attachment 2149010View attachment 2149011
Wewe ukiwa kama nani unayeamua kwamba hili ninkosa na hili sio kosa mrusi wa Chamwino ama mrusi wa kazura mimba?Katika kosa kubwa la kivita alilofanya zelensky ni
1. Kugawa silaha ovyo kwa raia wake wote 16yrs-60yrs wapigane na wanajeshi wa Urusi kwny hii Vita.
2. Kuruhusu raia wake wote waondoke maeneo ya makazi ktk miji yote ktk wkt huu wa Vita (humanitarian corridor).