Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wagner inaundwa na kina nani?
Unaamini maneno ya Wagner ni wafungwa na mamluki pekee?
 
Wagner inaundwa na kina nani?
Unaamini maneno ya Wagner ni wafungwa na mamluki pekee?
Hapana. Kuna tofauti kati ya jeshi na Mamluki kama ilivyo kwa Askari na Mgambo.

Jeshi ni mkusanyiko wa vikosi vingi na mambo mengi. Na hata sasa Jeshi rasmi la Russia halijaingia vitani bali makamanda wake ndiyo wanaongoza vita.

Unaposikia "Mobilised" huwa unawaza kuwa ni Jeshi la Urusi??
 
Hapa unajibu swali ambalo sijakuuliza. Umetunga swali lako tu.
Unazi ni ushatani, haitakiwi hata kunusa harufu hata kusogelea.
Nimekuuliza hivi. Hiyo logo ndani yake kuna alama ya NAZI?
Jibu ndio au hapana.
Baada ya kujibu hivyo ndio ulete maelezo haya tuyachambue.

Maana hata rangi ya P uliyoipweka ni Nyeusi halafu Rangi ya Paking ni Nyeupe.

NYIE NDIO MLIWAUA WAYAHUDI HUKO UJERUMANI.
 
Mpuuz wewe ,kwamba jeshi la Urusi halijaingia vitani ? , Unajua unachoandika wewe ?
 
😀😀 Wanajua braza putin hua hajaribiwi,.
 
Germany kimemkuta nini naona kawa wa motoooo

Germany is preparing another massive military package (2.7 billion Euro) for Ukraine. It will contain:

  • 4x IRIS-T SLM firing units
  • 12x IRIS-T SLS launchers
  • 30x Leopard 1 A5
  • 20x Marder IFVs
  • 18x RCH 155 Haubitze
  • Hundreds of SLM and SLS missiles
  • Artillery ammunition
  • 200x surveillance drones
  • 100x MRAPS
  • 100x logistic support vehicles

#Germany #Ukraine
 
Kuna watu kwa kiwewe wamedondosha ndege zao kwa kujipiga
Nakazia [emoji38][emoji23][emoji1787]


A Russian Sukhoi Su-34 supersonic fighter-bomber jet was downed in Russia’s Bryansk region, near the Ukrainian border, Russian state-controlled TASS news agency reported on May 13 following earlier reports of a downed helicopter in the same area.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wacha tumuone supa pawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…