Wacha tusubiri taarifa zaidi ila Leo ni moja ya Siku mbaya Sana Kwa warusiRussian losses updated with:
- 1 Su-35S jet (destroyed)
- 1 Su-34 jet (destroyed)
- 1 Mi-8MTPR-1 EW helicopter (destroyed)
- 1 Mi-8 transport helicopter (destroyed)
Hiki kichapo urusi atakisimulia mpaka kizazi Cha 12[emoji1787]Russian losses updated with:
- 1 Su-35S jet (destroyed)
- 1 Su-34 jet (destroyed)
- 1 Mi-8MTPR-1 EW helicopter (destroyed)
- 1 Mi-8 transport helicopter (destroyed)
Jamaa Yuko faster sana, with accurate news!BTW Mzee hizi update za fasta unazipata kwenye page gani?
Duuuh kwani Leo kuna nini[emoji125]Russian losses updated with:
- 1 Su-35S jet (destroyed)
- 1 Su-34 jet (destroyed)
- 1 Mi-8MTPR-1 EW helicopter (destroyed)
- 1 Mi-8 transport helicopter (destroyed)
Anatuwakilisha vyema
Hawa jamaa hawataki kabisa kuambiwa silaha zao ni dhaifu. Wakati air defence systems zilikuwa zinapelekwa Ukraine walikuwa wanatutisha eti za kwao ni bora sana. Sasa effect ya AD za Ukraine ishaonekana wakati effect ya S-300 za Syria haijawahi onekana mpaka leo miaka zaidi ya minne Israel huwa inaingia kienyeji kwenye anga laoRussian losses updated with:
- 1 Su-35S jet (destroyed)
- 1 Su-34 jet (destroyed)
- 1 Mi-8MTPR-1 EW helicopter (destroyed)
- 1 Mi-8 transport helicopter (destroyed)
Joti A.K.A kiboko ya Babu jasusi anasindikizwa na fighter jets[emoji298][emoji298]Ukrainian President Volodymyr Zelensky and Georgian President Sergio Mattarella have discussed support for Ukraine, the peace formula, increasing sanctions pressure on Russia and bringing the aggressor to justice.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ukraine ishaua watu 9 kwenye vindege vyenu mlivyokuwa mnawauzia wateja kwa bei kubwaRussia assault teams have liberated one quarter in the northwestern part of the city of Artyomovsk (called Bakhmut in Ukraine), Defense Ministry Spokesman Lieutenant-General Igor Konashenkov reported on Saturday.
"The assault teams have liberated one quarter in the northwestern part of the city of Artyomovsk," he said.
Tuendelee na kaziUkraine ishaua watu 9 kwenye vindege vyenu mlivyokuwa mnawauzia wateja kwa bei kubwa
Kama mrusi alishindwa kufanya SEAD operation pale mwanzo Kwasasa hicho kitu asahau Labda ije itokee Ukraine aishiwe ammunition za air defenses kitu ambacho si rahisi.Ukraine ishaua watu 9 kwenye vindege vyenu mlivyokuwa mnawauzia wateja kwa bei kubwa
Itajulikana tu hicho kifutushi Ni Cha wiki moja tuKama mrusi alishindwa kufanya SEAD operation pale mwanzo Kwasasa hicho kitu asahau Labda ije itokee Ukraine aishiwe ammunition za air defenses kitu ambacho si rahisi.