T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Uwe unaingia kwenye mtego hivihivi, kwamba helikopta za Urusi huwa zinajitumia makombora na kujilipua kisha kudondoka😂Kichapo kipi..??..hzo ndege kudondoka zenyewe au lile shambulio la jana kule Luhansk na kuuwa watoto..?...hv mbona F16/35..zimedondoka recently za kutosha yaani...na kuuwa watu wa kutosha...hv kula Alaska ni nani aliezishusha f16/35..??...au uhalali wa ndege kudondoka zenyewe uko kwenu...Su35,Su31 zikidondoka zimepigwa na ADS
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Kati ya wewe na Putin nani tumuamini kuhusu Urusi? Russia hata haikujui.Punguza ushabiki bunge liliidhinisha kabla ya uvamizi.
NATO wakiingia mziki wake Russia hauweziSEMA Marekani ndo analazimisha vita iendelee,hii nivita kati ya NATO na Urusi.
Russia inaendeshwa kienyeji.😀😀Uhuru usivuke mipaka, kwamba Russia inaendeshwa kienyeji, mahaba yasikufanye uwe mjinga
Leta ramani ya vita ya Bakhihumt ili kudhibitisha hilo.Unaongeleaje swala la kuondokewa kwa ndege 7 ndani ya siku 2
Wasemaje kuhusu Ukraine kuwarudisha nyuma Urusi kwa 17.5sqkm?
Huwa napenda sana kujadiliana badala ya kubishana..sasa njoo na ajenda ya kwamba Wagner hawawezi kupambana na NATO..kwa sababu kadha wa kadha..tuanzie hapa tafadhali...!!!
Acha ujuaji usio na maana kabla ya uvamizi bunge la Urusi lili piga kula kuyatambua majimbo ya Donesk na Lughansik kama mataifa huru na kutoa idhini kwa serikali kutuma jeshi nchini Ukraine ili kufanikisha hilo.Kati ya wewe na Putin nani tumuamini kuhusu Urusi? Russia hata haikujui.
Putin alisema "nimeamua", wewe unasema bunge liliidhinisha, ina maana unaijua Urusi kuliko Putin?
Najua ninachoandika.Mpuuz wewe ,kwamba jeshi la Urusi halijaingia vitani ? , Unajua unachoandika wewe ?
Hapa tunazungumzia Vita na Jeshi.Jamaa kateleza mkuu,msamehe Bure tu..,hata hivyo Allen Kilewella si mzoefu sana kwenye anga za kimataifa!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji298][emoji298]Ukrainian President Volodymyr Zelensky and Georgian President Sergio Mattarella have discussed support for Ukraine, the peace formula, increasing sanctions pressure on Russia and bringing the aggressor to justice.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Typing error!!Sergio Mattarela sio wa jojia ni italy acheni uongo team LGBT
Na marekani sidhani wanaweza kuacha mifumo yao ibutuliwe kizembe.., lazima walipiga calculation vizuri kabla ya kuiplace hapo Ukraine.., urusi kazi anayo!Vingora vinalia Ukraine yote maana kuna mabomu yanakuja pande zote
Urusi wanaiwinda Patriot hata moja waibutue
acha kusepa kistyle...wapi nimekubishia...?... ajenda yako toka mwanzo ni kwamba Wagner ni marcenaries...unorganised group kwamba hawawezi kupambana na NATO...na mimi hujo yangu iko very straight kwamba hao NATO ni askari kama walivyo Wagner..na wote wamepitia mafunzo ya kijeshi...na kwa bahati nzuri Wagner wako chini ya Russia (Super power)...na NATO wanaongozwa na US ( Super power)...sasa hapo ubishi wangu uko wapi..?..ulitaka nikukubalie unachokiongea ww kiulaini sio..?...siko hvyo..nibane kwa hoja nami nikiona zina mashiko hoja zako ntakubali..Huwa napenda sana kujadiliana badala ya kubishana.
Tulia mnyolewe vuzi na dogo zelensky , kuanzia leo ni kugongwa tu viichwani na vyuma vizito , Shadow storm hoyeeeeNajua ninachoandika.
Ungeuliza tu kama najua nilichoandika bila ya kuandika neno "Mpuuzi" ungepungukiwa nini??
Hata kama unatumia jina bandia jaribu kuonesha kwamba wewe kama binadamu ni mstaarabu.