Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Ukraine pigsNa huko bakhumut ndipo urusi kawekeza nguvu Sana,Sasa sijui Ukraine wakiamua kufanya offensive sehemu nyingine Kama walivyofanya bakhumut Hali itakuwaje🥱🥱
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Moto umewaka huko Bukhmut, waliyataka wenyewe joto ya jiwe Kwisha juaUkraine pigs View attachment 2622100
Zelensky yupo zake Ufaransa usiku wa leo.Na huko bakhumut ndipo urusi kawekeza nguvu Sana,Sasa sijui Ukraine wakiamua kufanya offensive sehemu nyingine Kama walivyofanya bakhumut Hali itakuwaje🥱🥱
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mwambie akuoneshe video sikiliza sauti kama hakuna milipuko basi jua sio silaha bali ni mafuta yamweunguzwa.Fake. Ukraine waliacha zamani sana kuweka silaha sehemu moja. Wanatumia nyumba ndogo ndogo na undergrounds
Awajuulie wapHivi unawajua KK Security?
SMO iendeleeeView attachment 2586799#Yoweri_Museveni_Speaking!..
"Wanahitaji tuwe Kinyume na Urusi, tuwe Maadui wa Urusi, Lakini sisi tunasema "Urusi amekuwa Pamoja nasi kwa Zaidi ya Miaka 100, je tunawezaje Ghafla tu kumkataa na Kuwa Kinyume nae?...Tazama! Kama tumethubutu mpaka kuwasamehe Wakoloni waliotutesa, Kutupora Mali kwa Minyororo na Mijeredi, waliotuchukua Kama Watumwa na kututendea Mambo Mabaya, Lakini leo tumewasamehe na Tunafanya nao kazi!...Uganda itasimama na Urusi". - Museveni.
Dah siku hizi nakosa hizi mambo kwa wakati daahMedvedev on the words of Polish Prime Minister Morawiecki about Kiev's right to strike at the Russian Federation and NATO's victory in the war: I don't know who will win, but in this case Poland will definitely disappear
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2587610
Wanajua kitakacho wakuta wakijaribu huo ujinga KIM kidumeHivi kwa nini Comrade KIM JONG KILA SIKU ANAFANYA MAJARIBIO YA MAKOMBORA YAKE KUELEKEA EITHER SOUTH KOREA OR JAPAN lakini sijawahi kusikia japan, south korea pamoja na us wakijaribu kurusha hata jiwe kuelekea pwani ya Kiduku??? View attachment 2587904
Habari njema hii hapo hamna uporaji kama kapora nendeni mkampeleke ICCPutin signs law to change time zones in annexed territories in Ukraine to Moscow time
From CNN’s Uliana Pavlova
Russian President Vladimir Putin signed a law to include the annexed Donetsk, Luhansk, Zaporizhzhia, and Kherson regions in eastern Ukraine to the Moscow time, according to the decree published on the state government portal on Friday.
Unofficially, the regions have already been operating in Moscow time since the annexation.
According to the adopted law, these four regions are included in the second time zone (Moscow time, UTC + 3), switching from Kyiv time UTC + 2 (one hour less than in Moscow) in winter and UTC + 3 in summer.
In September, Putin declared that people living in the occupied regions of "Luhansk and Donetsk, Kherson and Zaporizhzhia are becoming our citizens. Forever."
This was announced in a ceremony to assimilate the regions, which make up 18% of Ukraine, following illegal referendums in which pro-Russian officials in the controlled areas voted on whether the territories should join Russia.
=========================
Uporaji unahalalishwa......
Waende kwanza wao wakaijenge IRAQ [emoji1131]Updates [emoji298]
Russia must pay for Ukraine's reconstruction - US Treasury Secretary Janet Yellen in an interview with CNN:
"This is a responsibility that the international community expects Russia to bear. But there are legal limits on what we can do with frozen Russian assets."
Elensky alisema kwamba wataipambania Sana hio BAKHMUT sababu ndio inashikilia alioiita hio vita ya UKRAINE [emoji1255]bakhmuti ile Ni meat grinder,
Zelensky kichwa ngumu anachukua vikosi Toka pande zote za Ukraine anapeleka pale vikasagwe[emoji1]
Mulitisha sana WAKUU kongoleMimi na Putin tuko Kherson saa hizi [emoji23][emoji23][emoji23]tunakagua eneo Letu jipya.
Nyuklia ni silaha kama nyengine zilitengenezwa kwaajili ya niniMkuu kama Ukraine wanaweza ndio ishindikane collective west?kuwa serious!
west wanaogopa escalation na urusi(nuclear war)na si convention warefare!
rejea vitisho vya nuclear vya Urusi.