Mkuu tusirukeruke. Nilimjibu Mr Tyang aliyedai Urusi ina "uwezo wa kupiga sehemu yeyote, Kwa muda wowote na kwa usahihi mkubwa".We jamaa mpiga porojo sana
Aya twambie na soleder na bukhmut wamekimbia.
Yani unaropoka sana hivi mara ngapi ukraine anapokea kichapo na anagoma kutangaza kama kachapika. mpaka leo anang'ang'ania kutaja vifo vya kutunga vya warusi wakati wao ndio wanarudi nyuma. acha kujifurahisha kiev imezoea kuficha habar za upande wao zilizo hasi.
Kifupi subirini kifurushi chengine ndio muanze kaunta yenu mlicho kiandaa kimeenda na mma
Alafu kumbuka kuja na habari mpya na sio zilipendwa kuendelea kutuletea zilizo pendwa inaonesha ni udhaifu kwenu
Nikutakie kilio chema
@T14 ArmataLancet kamikaze drones......
Mwiba mchungu mpaka sasa, Bayktar zilienda wapi wakuu?
Mkuu yule dikteta mfupi mnene wa taifa lenye njaa hajawahi kuelekeza roketi wala Korea Kusini wala Japani. Anarusha roketi zake baharini pande mbalimbali. Hakujaribu kulenga eneo la nchi yoyote. Lakini anapenda kupiga makelele. Wapenda makelele wanamshangilia, wenye akili timamu wanampuuza.Hivi kwa nini Comrade KIM JONG KILA SIKU ANAFANYA MAJARIBIO YA MAKOMBORA YAKE KUELEKEA EITHER SOUTH KOREA OR JAPAN lakini sijawahi kusikia japan, south korea pamoja na us wakijaribu kurusha hata jiwe kuelekea pwani ya Kiduku??? View attachment 2587904
SMO iendeleeePutin: " Ulimwengu kuelekea Multpolar hauwezi kuepukika. Mwelekeo huo utakuwa na nguvu zaidi. Na wale ambao hawafuati mwelekeo huu watapoteza. Hii ni dhahiri kama kuchomoza kwa jua. Na hakuna unachoweza kufanya kuhusu hilo! Wale wanaojaribu kuzuia hili, watakabiliwa na matatizo ambayo hata saizi wanayo.
Ni suala la muda tuKituo kinachofuata Ni Odessa.
Jamaa wamefail Sana hesabu zaoWao walipoivamia Iraq, Libya hawakuwa ma NAZI?
Wanatapatapa na kuumia kwa sababu ya strongest Russia. Walitarajia sanctions na ku supply silaha hapo Ukraine kunge disintegrate Russia.
Naaaaaam?Sasa tutaanza sikia na kuona video za store, makambi, reli kuwaka moto
Leo, vitengo vya PMC "Wagner" vimesonga mbele hadi 130m ndani na karibu na mpaka wa Bakhmut. Mpaka sasa wamechukua 91,000m. Wakati wa mchana, majengo 9 yalikombolewa Kilomita za mraba 1.69 au majengo 20 kati ya 48 yenye urefu wa juu yanasalia chini ya udhibiti wa Ukraine.Zelensky yupo zake Ufaransa usiku wa leo.
Jana kwenye mahojiano kasema kuwa
Kabla ya CO kila mtu atajua kuanzia Warusi na watu wengine.
Itakuwa ni mwendo wa kuvunja vunja maghala
Baada ya hapo ammunition zitaenda kuwekwa kwenye ghala moja halafu itapigwa kinzal moja ndio mwisho wa habari.[emoji298][emoji298] Zelensky ndani ya Paris [emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123]View attachment 2622184
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Yaan jamaa anavomuangalia zelensky kwa huruma iliyochanganyika na dharau "kwamba hili jamaa jinga linaangamiza taifa lake kwa maslah ya marekaniMwisho wa SMO unakuja,View attachment 2622317
Ndiyo vizuri mrusi alikwisha sema UK atakuwa ndiyo wa kuwajibika na madhara ya depleted uraniumHii mbona hatari sasa.
Hii nzuri πππβ€οΈ
Asilimia kubwa ya habar zinazoletwa humu sio rasmi ni watu hujifurahisha nafsi zao.Mwambie akuoneshe video sikiliza sauti kama hakuna milipuko basi jua sio silaha bali ni mafuta yamweunguzwa.
Mkuu, jamaa ni bingwa wa propaganda za wa west huyo hivyo lazima atakuja kukubishia kwa kiswahili chake cha ku-googl
Kama wameweza kuishambuliakiev je huo sio uwezo?Mkuu tafadhali tusiruke
Mkuu tusirukeruke. Nilimjibu Mr Tyang aliyedai Urusi ina "uwezo wa kupiga sehemu yeyote, Kwa muda wowote na kwa usahihi mkubwa".
Uwezo huu sioni. Kyiv kuficha mashambulio? Sioni. Nimeona taarifa mbalimbali ya mabomu yaliyofika Kyiv. Pia kuna idadi kubwa ya wageni kutoka nchi mbalimbali wanaopita Kyiv. Wanaficha mengi lakini wafichaje mashambulio huko Kyiv??
Inaonekana kwa hali jinsi ilivyo mfumo wa IRIS inafanya kazi vizuri, pamoja na Gepard dhidi ya droni na waliongeza pia Patriot kwa ulinzi wa mji mkuu. Kwa nini niache kufurahia mafanikio hayo??
Ushahid wa wazi ndio ushahidi gan?Asilimia kubwa ya habar zinazoletwa humu sio rasmi ni watu hujifurahisha nafsi zao.
Pro urusi ndio kabisa hujiandikia English ili habr ionekane sawa kumbe ni pumba tupu hata ushahidi wa wazi wa hayo hawaleti.