jameshyela
JF-Expert Member
- Oct 13, 2022
- 2,043
- 15,861
Hivi London ameenda Mara ngapi? Sasa Vita ipo huko alikoenda?Hii vita imempaisha zelensiky kimataifa,anakula misele tu.., kweli dhahabu Ili iimarike ni lazima ipite kwenye moto Kwanza [emoji1787]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nimemuuliza kipanya anawajua panya wenzake.Putin ni kama panya. Ok, ndo maana anajificha kwenye mahandaki
Hana uchungu askari wa ukrain wakifa..anajali bank acount yake ikijaa pesa, anaona wanachelewesha miamala na OP inakaribia kufika mwisho sasa anaenda kudai face to faceHii vita imempaisha zelensiky kimataifa,anakula misele tu.., kweli dhahabu Ili iimarike ni lazima ipite kwenye moto Kwanza [emoji1787]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ipo siku wagner mercenaries na jeshi la urusi watakuja kuchapa wenyewe kwa wenyewe
Munaumia ndio kitu gani?Ushahid wa wazi ndio ushahidi gan?
Kwani munaumia mkiwa wapi?
Kwani na wewe ni chatbot?Munaumia ndio kitu gani?
Hivi London ameenda Mara ngapi? Sasa Vita ipo huko alikoenda?
Na hapo ndio majasus wa nchi zaid ya 40 wametumia mbinu zote kuhakikisha zinafika na kuhifadhiwa salama lkn bado ngoma ngumuYaani silaha zenyewe za kuchangishana, tena kwa mbinde. Halafu zikifika Ukraine zinaishia kulipuliwa zikiwa kwenye warehouses.
Sidhani kama ma-sponsors watakubali kuendelea na huu mchezo wa kutoa silaha halafu zinaishia kuharibiwa tu.
Mchawi lughaRadiation in Khmelnytsky seems to be up. This is very preliminary. Some whispers are going around that what ever was stored there may have been [emoji3518]
Again will see what this turns out to beView attachment 2622478
View attachment 2622479
Ndyo nani hyoGeorge Soros amekufa??