Ukiwa humu utadhani tayari Ukraine imekomboa burkimut yote Kwa kelele za akina KIPANYA, msama.n.k. lakini wafadhiri wao marekani wanakili kuwa Urusi wanatoa kipigo Cha kikatili na kisicho Cha kawaida Kwa jeshi la Ukraine huko Bukhmut
View attachment 2622474
The New York Times has published a story about the disastrous situation of Nazis in the western quarters of Bakhmut. According to the report, the last surviving buildings in which the militants are hiding are being shot at by Russian tanks at direct fire with "unbearable brutality".
#source
Join Slavyangrad chat. Your opinion matters.
@Slavyangrad
Join SLG 🔺 Intelligence Briefings, Strategy and Analysis, Expert Community
Japo hizo picha zake hazijafunguka, lakini huyo jamaa Yuko kwenye mwendelezo wa propaganda wa zile depleted uranium wanazodai warusi wa buza kwamba zimeshambuliwa huko Ukraine...,jamaa anadai kwamba Ile mionzi ya depleted uranium inaanza kuleta MadharaMchawi lugha
Braza kp kipanya njoo unipige tafu huku
Aende wapi?Putin sidhani kama anaweza kutoka nje ya taifa lake hata kwa siku 2..., zelensiky yeye ni mwendo wa kukwea pipa tu
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ajaribu yaani kupita kutembea Ni kukimbia kinzal Kama alivyosema Medvedev.Sikuhizi haendi front kama zamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ya Aina gani maana Kama vingine vimeenda havijaonekana hebu tuambie hapa.Uingeleza yasema itatoa Mamia ya makombora ya kujilinda dhidi ya mashambulizi ya anga
Itatoa pia Mamia ya Ndege za kujitoa mhanga zisizo na rubani, zenye uwezo wa kusafiri zaidi ya KM 200
Hii ina maana Ukraine atakuwa na uhakika wa kulipua chochote ndani ya Ukraine hadi Kerch
Kumbe lugha inakupita pembeniHii ndio mnasema counteroffensive? Haya kipigo kitaendelea mpaka mkung'ute miguu.
Ukraine steps up efforts in all areas, but it is not counteroffensive, says DPR head
"We see that the enemy is trying to probe our positions by conducting reconnaissance by combat in certain areas," Denis Pushilin said
"Ukraine steps up efforts in all areas, but it is not counteroffensive, says DPR head - Russian Politics & Diplomacy - TASS" Ukraine steps up efforts in all areas, but it is not counteroffensive, says DPR head
Wapi ujaelewa?Kumbe lugha inakupita pembeni
Counteroffensive kwenu Russia inaona mnajaribu kufanya mashambulizi ya kawaida ila kwa NATO mnaona Ni counteroffensive kubwa Sana ikiwemo ww.Kumbe lugha inakupita pembeni
Hebu turud kwenye uhalisia walau kwa uchache tuachane na ushabiki wa kuchagua upandeHii ni Jana tu, zaidi ya mia tano walichinjwa 🥱🥱🥱🥱View attachment 2622493
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
bado unatumia app mr ki rat hapa mimi nina kitochi lakin picha zinafunguka alaf propaganda kwa sababu imeingia penyewe sio.?Japo hizo picha zake hazijafunguka, lakini huyo jamaa Yuko kwenye mwendelezo wa propaganda wa zile depleted uranium wanazodai warusi wa buza kwamba zimeshambuliwa huko Ukraine...,jamaa anadai kwamba Ile mionzi ya depleted uranium inaanza kuleta Madhara
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ongeza juhudi keyboard warrior.....Moscow said Saturday that Kyiv used British long-range missiles to target civilian sites in the eastern city of Lugansk, wounding six children.
The defence ministry said that on Friday evening Ukraine's armed forces had struck two civilian enterprises.
"Storm Shadow air-to-air missiles supplied to the Kyiv regime by Great Britain were used for the strike, despite London's declarations that these weapons would not be used against civilian targets", the ministry said in a statement.
"Nearby residential buildings were damaged. Civilians were injured, including six children," the statement added.
Chanzo:
France24.
Uingereza akisema atatoa basi ujue mzigo uko ktk uwanja wa vita tayariUingeleza yasema itatoa Mamia ya makombora ya kujilinda dhidi ya mashambulizi ya anga
Itatoa pia Mamia ya Ndege za kujitoa mhanga zisizo na rubani, zenye uwezo wa kusafiri zaidi ya KM 200
Hii ina maana Ukraine atakuwa na uhakika wa kulipua chochote ndani ya Ukraine hadi Kerch
Very soon utaanza sikia booomUingereza akisema atatoa basi ujue mzigo uko ktk uwanja wa vita tayari
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app