Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Zelensky sasa anafanya kila liwezekanalo akutane na Putin kujadiliana namna ya kutatua mzozo huu kidiplomasia. Ofisi yake yahaha kutafuta venue ya mkutano huo.

Naona sasa Zelensky ameelewa lugha ya sasa ya Putin
View attachment 2149101
Atapigana mpk dakika ya mwisho kutetea nchi yake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu wa kamati ya kijeshi ya NATO, Admiral Rob Bauer, asema kitendo cha Russia kushambulia ngome ya kijeshi ya Ukrain iliyo karibu na mpaka wa Poland ni ishara ya wazi kuwa Putin hajaridhika na NATO kutuma msaada wa silaha nchini Ukraine.

Ikumbukwe ngome hiyo hutumika kwa mazoezi ya pamoja ya kijeshi kati ya NATO na Ukraine

 
Mwenyewe binafs nilivoona vile kashangaa... Japo sikutaka kureply papo hapo... Inakuaje unatafuna maneno yako ya jana...

Hao Generals wamefikaje uwanja wa vita...
 
Kumbuka Ukrane, Nato na Urussi kuna mkataba ambao waliuingia ambapo upande wa pili wanaokiuka.
Mimi nakumbuka mkataba wa Budapest wa 1994 (Memorandum on security assurances in connection with Ukraine’s accession to the Treaty on the Non-Proliferation of Nuclear Weapons. Budapest, 5 December 1994) inayosema

Huu ni mkataba wa Urusi kuhusu Ukraine. Huu ni mkataba ambao Putin amevunja. Angalia mwenyewe (link iko juu) hakuna neno kuhusu NATO.
Na Ukraine haiko NATO, NATO haiko Ukrauine.
 
Kwa hyo anaamuaje kwa mfano [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1258][emoji1255] New York Times journalist Brent Renaud died in the battle zone in Irpin, Kiev region. Another member of the media was injured.



[emoji1258][emoji1255] Mwandishi wa habari wa New York Times Brent Renaud amekufa katika eneo la vita huko Irpin, mkoa wa Kiev. Mwanahabari mwingine amejeruhiwa vile vile...



Tumepoteza mwandishi wa habari... Apa nasubir kuona USA government wata react vipiii

 
Walizani anafurahia, NATO Wajitafakari.
 
Sasa wewe ambaye sio kilaza elezea kwa nini uliweka ile picha ya vifo vya majenerali vya mwaka 1989 hadi 2016. Ukiiambatanisha na stori za kusikia sikia na kuokoteza okoteza.

Ungekuwa uliielewa picha hiyo vema kama unavyodai, kwa nini kwenye maelezo yako umesema wazi kuwa huna hakika na picha hiyo kama ni sahihi inaonesha list ya vifo vya maofisa wa jeshi la Urusi?

Hao walio-like hayo maelezo yako ya awali wote wana uelewa mdogo, na ukiwaona wana uelewa mkubwa (akili kubwa) ujue wewe ni kama wao (mpo ktk level moja ya ufahamu).

====

 
Wanaruka ruka, Ivi hawajui huo ni uwanja wa mashambulio, au hawakuelewa Maneno ya Russia.?
 
The US Bureau of Industry has published a list of goods that will be banned from being shipped to Russia.

It includes about 570 items of various products. Among them:

- alcohol (champagne, whiskey, bourbon, tequila, rum);

- tobacco products (cigars and tobacco);

— cosmetics and perfumery;

- suitcases and women's bags;

- products made of natural fur, silk, carpets;

— clothes and shoes worth more than $1,000;

- precious stones and jewelry;

- marine engines, snowmobiles, motorcycles, some cars, electric vehicles;

- various art objects, concert grand pianos, wristwatches, collectibles.

The ban on the supply of these goods also applies to Belarus.
 
[emoji1258][emoji1255] Regarding the death of an American journalist. The character in the video says that he was killed during shelling in the area of Romanovka, which is located behind Irpen, which is controlled by Ukraine.

The journalist was shot in the head, which entered him right in the eye.

Given the area of death, I would have more faith in the version that the Volkssturm accidentally failed him, given several identical incidents when only by a lucky chance there were no journalists killed.

Two more journalists, including one American, were injured.

Your browser is not able to display this video.


[emoji1258][emoji1255] Kuhusu kifo cha mwandishi wa habari wa Marekani. Mhusika katika video hiyo anasema kwamba aliuawa wakati wa mashambulizi ya makombora katika eneo la Romanovka, ambalo liko nyuma ya Irpen, ambayo inadhibitiwa na Ukraine.

Mwanahabari huyo alipigwa risasi ya kichwa, iliyomwingia moja kwa moja machoni.

Kwa kuzingatia eneo la kifo, I would have more faith in the version that the Volkssturm accidentally failed him, given several identical incidents when only by a lucky chance there were no journalists killed. (Apo nilipolaza mwandiko tafsir yake mtaijaza wenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23])

Wanahabari wengine wawili akiwemo Mmarekani mmoja walijeruhiwa.
 
Mwenyewe binafs nilivoona vile kashangaa... Japo sikutaka kureply papo hapo... Inakuaje unatafuna maneno yako ya jana...

Hao Generals wamefikaje uwanja wa vita...
Huyo jamaa toka siku ya kwanza anajifanya anajua sana tena kwa vitu ambavyo hata havijui kabisa. Kitu kipo Google na specification zake zimewekwa lakini badala ya kukubali kuwa hajui anakuja na vijitaarifa visivyoeleweka.

Bora hata na wewe umeona ubishi wa huyo jamaa. Hapo anakula matapishi yake mwenyewe.

Alidhani Meja jenerali wa jeshi wa Urusi ni kama majenerali wa Uganda wanaolinda mpaka wa Uganda na Rwanda.
 

Muacheni kwanza. Alichezea wembe akidhabi Marekani na shoga yake NATO watamsaidia.

Sasa hivi ndo anajua kumbe dagaa naye samaki.

Kichwa chake kitasagwa tuuuuuuuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] apa ndo nabaki kwa cheko... Sasa hiyo list apo juu ina madhara gani na inatatua nini kwenye mgogoro?

Unazuia wafanyabiashara wako wasipeleke pombe Urusi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Aaaaanha ila awam hii USA kachemka sana Babu Biden sjuw anawaza nini huyo mzee...

Haya hiyo inawaathiri warusi au wafanya biashara ya nchi yake waliokuwa wanampelekea kodi kutoka kwenye mauzo....

Biden ka Punic
 
Yaani jamaa wanaweka vikwazo vya kindezi. Russia wapo na vodka zao hawahitaji pombe toka USA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…