Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hapo Sasa[emoji1787]

Waonyeshe kwamba kinzhal 6 ndo ziliharibu patriot system Moja au imekuwakuwaje

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mpaka Sasa warusi zaidi ya laki mbili wameshachinjwa huko Ukraine.., achilia mbali wale hambao tayari wametiwa vilema!



.
[emoji298][emoji298][emoji298]Ukraine's defense forces killed about 200,590 Russian invaders between February 24, 2022 and May 17, 2023, including 610 in the past day alone, according to the General Staff of the Armed Forces of Ukraine.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Inasubirliwa ipelekwe nyingine ichomwe moto
 
eti damaged..., hz ni lugha za kuzugia watu ili Russia aonekane alijaribu tu na kuichubua kidogo ila bado nzima...lakin ukweli chuma lenu limebutuliwa huko...sambaratisha kila kitu huko..

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Kama mmeziharibu endeleeni kurusha makombora basi maana aim ya kuleta Patriot nikuzuia mashambulizi kwenye vyanzo vya umme na maji katika mji kyiv sasa kama mmeharibu endeleeni kurusha drone na hizo kinzal basi.
 
MKUU umeupiga wakutosha sana kongole wakuelewa naaelewe
 
Vile vichambuzi mbuzi vya humu JF havitakubaliana na wachambuzi wenye utaalamu kama huyu.
Vile vijamaa kwao Kila made in USA kwao ni hakina mapungufu.
Uchambuzi murua kabisa huu.
Russia sio ya mchezo katika hizi mambo.
Russia sio Libya .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…