NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Biden Emotions zimemteka, sijui nani anamshauri.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] apa ndo nabaki kwa cheko... Sasa hiyo list apo juu ina madhara gani na inatatua nini kwenye mgogoro?
Unazuia wafanyabiashara wako wasipeleke pombe Urusi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aaaaanha ila awam hii USA kachemka sana Babu Biden sjuw anawaza nini huyo mzee...
Haya hiyo inawaathiri warusi au wafanya biashara ya nchi yake waliokuwa wanampelekea kodi kutoka kwenye mauzo....
Biden ka Punic
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo jukwaa lenyewe hilo kila mtu na mawazo yake...Huyo jamaa toka siku ya kwanza anajifanya anajua sana tena kwa vitu ambavyo hata havijui kabisa. Kitu kipo Google na specification zake zimewekwa lakini badala ya kukubali kuwa hajui anakuja na vijitaarifa visivyoeleweka.
Bora hata na wewe umeona ubishi wa huyo jamaa. Hapo anakula matapishi yake mwenyewe.
Alidhani Meja jenerali wa jeshi wa Urusi ni kama majenerali wa Uganda wanaolinda mpaka wa Uganda na Rwanda.
Umejuaje kama huyu ni CIA wakati taarifa inasema huyu ni mwandishi wa Habari ?View attachment 2149108View attachment 2149113
huyu cia ameuwawa huko ukraine leo hii alikuwa anajifanya muandishi wa habari
@MK254Zelensky sasa anafanya kila liwezekanalo akutane na Putin kujadiliana namna ya kutatua mzozo huu kidiplomasia. Ofisi yake yahaha kutafuta venue ya mkutano huo.
Naona sasa Zelensky ameelewa lugha ya sasa ya Putin
View attachment 2149101
Ohh God..[emoji1258][emoji1255] New York Times journalist Brent Renaud died in the battle zone in Irpin, Kiev region. Another member of the media was injured.
View attachment 2149133
[emoji1258][emoji1255] Mwandishi wa habari wa New York Times Brent Renaud amekufa katika eneo la vita huko Irpin, mkoa wa Kiev. Mwanahabari mwingine amejeruhiwa vile vile...
View attachment 2149134
Tumepoteza mwandishi wa habari... Apa nasubir kuona USA government wata react vipiii
View attachment 2149135
Ila af ukichungulia pembeni unaona China anajinyakulia soko kiulaini mnoooo tena mnoooo...Yaani jamaa wanaweka vikwazo vya kindezi. Russia wapo na vodka zao hawahitaji pombe toka USA.
Siasa zilivo za kikonyo unaeza kuta hata hao Republican wanamkoleza aharibu zaidi uchaguzi uwe mwepesi...Biden Emotions zimemteka, sijui nani anamshauri.
Mkuu umesema kuwa huyo afisa hana picha mtandaoni, swali langu ni hili wewe umepata wapi hiyo picha ya huyo afisa uliyoibandika? Au ulipiga nae?Nimeambatanisha picha ya huyo msaidizi, mkuu hana picha mtandaoni. Pia nimetoa picha ambayo sina hakika kama ni sahihi ikionesha list ya vifo vya maofisa wa jeshi la UrusiView attachment 2149010
Very true.Siasa zilivo za kikonyo unaeza kuta hata hao Republican wanamkoleza aharibu zaidi uchaguzi uwe mwepesi...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Siasa kama siasa [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Kuna ule msemo wanasema ukifanya jambo af mpinzani wako anashangiliia jichunguze....
Jamaa anasoma komenti kimya kimya😂🤣🤣😁@MK254
MK254
Kwa wanaonielewa, nikisema kitu natoa na tukio kama hilo au linalohusiana na hilo kwa namna fulani. Ukisoma comments zangu humu utaona mara kibao nazungumzia Soviet Union, WW1, WW2, Ottoman empire, Vatican, Nazi Germany, Israel, Japan. Mimi siangalii tukio kwa present peke yake, naangalia na past kujaribu kufanya prediction ya kinachofuata. Ndio maana hutaona natoa breaking news wala kuandika sentensi mbili nikaacha.Sasa wewe ambaye sio kilaza elezea kwa nini uliweka ile picha ya vifo vya majenerali vya mwaka 1989 hadi 2016. Ukiiambatanisha na stori za kusikia sikia na kuokoteza okoteza.
Ungekuwa uliielewa picha hiyo vema kama unavyodai, kwa nini kwenye maelezo yako umesema wazi kuwa huna hakika na picha hiyo kama ni sahihi inaonesha list ya vifo vya maofisa wa jeshi la Urusi?
Hao walio-like hayo maelezo yako ya awali wote wana uelewa mdogo, na ukiwaona wana uelewa mkubwa (akili kubwa) ujue wewe ni kama wao (mpo ktk level moja ya ufahamu).
====
View attachment 2149136
I understand that it’s not easy for a caged bird to comprehend what is outside it’s cage. I pray that your caretaker someday set you free so as you could familiarize with things outside your cage’s boundaries.What would you have him do? Sit back while Putin annexes his country without putting up a fight?.
stupidity doesn't have boundaries.
think Ukraine is not going to surrender coz what are they surrendering for now?? Their cities are destroyed, their economy are in shambles, their people are home misplaced. What exactly should they surrender for??
since Jf has become a nice platform for stupidity folks to write and expose their Yansh mods are going to leave this thread in front page.
View attachment 2149108View attachment 2149113
huyu cia ameuwawa huko ukraine leo hii alikuwa anajifanya muandishi wa habari
Kama kweli wameuteka huo mji basi Kiev imeenda maana huo mji ndio ulikuwa kikwazo kikubwa cha kuiteka kiev.View attachment 2149179
majeshi ya urusi ndani ya mji wa irplin