Babu Hersh (ana miaka 87) amezeeka kidogo. Kwanza nchi za Baltiki na Poland ni mstari wa kwanza wa kuchochea Waulaya wenzao dhidi ya Urusi. Maana nchi hizi zote zilishambuliwa na Urusi mara kwa mara; ziliondoka juzi tu katika ubeberu na ukoloni wa Kirusi.A group of European countries led by Poland is urging Ukrainian President Vladimir Zelensky to end the conflict, US investigative journalist Seymour Hersh wrote on his website: European countries led by Poland urging Kiev to end conflict, US journalist says
Amka utajikijolea wewe pungaHaiwezekani kuangamiza silaha ya Patriot ya Marekani kwa kutumia "Dagger" ya Urusi - Ukraine
Mwakilishi rasmi wa Kikosi cha Wanahewa wa jeshi wa Ukraine aliita "propaganda" taarifa za Wizara ya Ulinzi ya Urusi, usiku wa Mei 16, kwamba mfumo wa kombora wa kupambana na ndege wa Patriot wa Marekani uliangamizwa na shambulio la roketi huko Kiev.
Akizungumza kupitia chombo cha habari cha Kitaifa nchini Ukraine , Yuriy Ignat alihimiza "kutojali kuhusu hatima ya Patriot."
"Kuharibu mfumo na aina ya "Dagger", haiwezekani. Kwa hivyo, kila kitu wanachosema hapo, nadhani, kibaki kwenye kumbukumbu zao za uenezi," mwakilishi wa amri ya Kikosi cha Wanajeshi wa Kikosi cha Wanajeshi wa Ukraine alisema.
Hii inahusianaje na maombi kwa bwana zele ya kumaliza mzozoBabu Hersh (ana miaka 87) amezeeka kidogo. Kwanza nchi za Baltiki na Poland ni mstari wa kwanza wa kuchochea Waulaya wenzao dhidi ya Urusi. Maana nchi hizi zote zilishambuliwa na Urusi mara kwa mara; ziliondoka juzi tu katika ubeberu na ukoloni wa Kirusi.
Pili babu ana koroga Poland na nchi za Baltiki pamoja na Hungaria inayofuata siasa tofauti kuhusu Urusi, hawashikamani.
This is a very serious and dangerous game NATO is now playing. Ameshajua hivyo vidude vyao vikifika tu ardhi ya Ukraine, Mrusi anaviteketeza kabla havijafikishwa frontline.Ukraine does NOT have any of those aircraft. So who fired it?
Since Ukraine doesn't have any NATO type of fighter jets. They are probably launched from Polish or Romanian airspace from NATO jets
Tusikilize uchambuzi wa kitaalam cost benefit analysis ya patriot vs khinzal
[emoji635][emoji1255][emoji573][emoji95] After the alleged destruction of the PATRIOT PAC3 batteries in Kiev by the Kinzhal hypersonic missile, confirmed by the Russian Ministry of Defense, the analysts of the "Guerras y Geopoliticas" channel allowed themselves to make 2 analyses, here is the first
First of all, it is important to highlight the cost benefit of the Patriot system, and it is what we will analyze below:
[emoji187]Each PAC3 battery costs the US Army about $500 million, presumably the export version is worth twice as much and is degraded in functionality so its secrets don't fall into enemy hands.
PAC3 missiles cost $5-8 million each, at least 30 PAC3 missiles were used in kyiv meaning at least $150 million dollars were spent in kyiv on those shots. With the destruction of the 2 Patriot batteries in kyiv, more than $1 billion was spent and lost.
It is important to count the loss of life among the competent personnel operating these highly complex batteries, these batteries are operated by dozens of specialized personnel. We are convinced that they were experienced contractors or NATO units, possibly German and American.
Finally, to all these expenses and losses, which this destruction of the patriot meant, one must consider the impacts of the residues of the 30 PAC3 missiles launched on buildings, cars, infrastructure and lives in Kiev.
Now, speaking of the cost of the Kinzhal hypersonic missile, it can be said that it is valued at $2 million each missile, if one or at most 2 were used to destroy the air defenses of the Kiev Patriot, we make a total expense of $4 million for Russia. If we compare the expenses between Russia and Ukraine in these attacks and defenses, we are talking about an abysmal expense made by the Ukrainian regime, which will be VERY expensive for the US
It is important to note that the West has never had good air defenses as its vision of war is to gain magical and instant “acquired” air supremacy by having a larger fleet of NATO aircraft than Russia. NATO and its stealth planes: F117 (defeated by Soviet air defenses in Yugoslavia), F22 (which has only shot down a defenseless little Chinese balloon), F35 (which is not really stealthy when it has big bombs outside its fuselage), and the B2 Bomber demonstrate where the American priority was.
While the Soviets followed by the Russians developed excellent multilayer and integrated air defenses. It is not just the S-300, S-400 and S-500 but the Tor, Pantsir and Buk that complete the Russian air defense shield. As of today, the only air defense system that boasts of shooting down hypersonic (non-ballistic) cruise missiles is the S-500 Prometheus operated by Russia and which has not been exported like the S-400.
The official score in kyiv:
[emoji631] Patriot PAC3 -30 vs +1 [emoji635] Kinzhal
Mkuu!Rudia kusome tena utajua nilikuwa nazungumzia nini(nilikuwa namjibu member).Alokwambia RUSSIA anataka msaada wakijeshi Nani
Atakuwa chiponda RondoHivi zele yuko wapi?
Dagger sio silahaHaiwezekani kuangamiza silaha ya Patriot ya Marekani kwa kutumia "Dagger" ya Urusi - Ukraine
Mwakilishi rasmi wa Kikosi cha Wanahewa wa jeshi wa Ukraine aliita "propaganda" taarifa za Wizara ya Ulinzi ya Urusi, usiku wa Mei 16, kwamba mfumo wa kombora wa kupambana na ndege wa Patriot wa Marekani uliangamizwa na shambulio la roketi huko Kiev.
Akizungumza kupitia chombo cha habari cha Kitaifa nchini Ukraine , Yuriy Ignat alihimiza "kutojali kuhusu hatima ya Patriot."
"Kuharibu mfumo na aina ya "Dagger", haiwezekani. Kwa hivyo, kila kitu wanachosema hapo, nadhani, kibaki kwenye kumbukumbu zao za uenezi," mwakilishi wa amri ya Kikosi cha Wanajeshi wa Kikosi cha Wanajeshi wa Ukraine alisema.
Kuna mtu anasema kagoma kurudi UkraineAtakuwa chiponda Rondo
Russia spend $4 million ( Dagger) or kinzhai missile to destroy $1+ billion USA made patriotic defense system. Kwa hesabu hiyo Russia anatumia gharama ndogo sana kuharibu uchumi wa magharibi.
the tactics were "suggested" to us by the Americans themselves. Our "Geranium" drones were ahead of the targets. They were detected by American radars, and thus gave away their positions. They were followed by anti-radar missiles, which destroyed the enemy's radars. And after that, Kalibras and Dagger missiles flew at the already blind Patriot and other targets. We took out one Patriot battery completely. Three more are on the way.
Mkuu DRC iko vitani na Urusi?Patriotic zimeharibiwa kumbe huko kivu
Una malezi mabaya sanaAmka utajikijolea wewe punga
Mkuu DRC iko vitani na Urusi?Patriotic zimeharibiwa kumbe huko kivu