BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 9,121
- 20,814
Jamaa wana propaganda za kiduanzi sana. Mfumo ni long range which means ina intercept target zake mbali sio kama Nasams au Iris T au Pantsir S2 ambazo zina intercept kwa karibu. Sasa hizo debris wanazodai zime damage mfumo ziliwezaje kurudi pale pale mfumo ulipo zikaudondokea na hivyo kuuharibu? Kitu ukiharibu ma mia ya km angani halafu mabaki yake yarudi kudondokea hapo hapo ulipo? Robots za nato humu jukwaani zina amini vitu kirahisi sanaHilo ni swali gumu sana umewauliza, mkuu. Hebu waulize mbona walisema all 18 Russian missiles were successfully intercepted?
Naungana na member mmoja hapo kusema pengine hiyo Patriot imegongwa na popo, ikaharibika.
Video yake mimi niliiona baada ya kurusha rockets 30 tena at the same direction, machine ikapigwa chuma kutokea nyuma wala sio ule upande ambao ulikua unarusha rockets zake.Jamaa wana propaganda za kiduanzi sana. Mfumo ni long range which means ina intercept target zake mbali sio kama Nasams au Iris T au Pantsir S2 ambazo zina intercept kwa karibu. Sasa hizo debris wanazodai zime damage mfumo ziliwezaje kurudi pale pale mfumo ulipo zikaudondokea na hivyo kuuharibu? Kitu ukiharibu ma mia ya km angani halafu mabaki yake yarudi kudondokea hapo hapo ulipo? Robots za nato humu jukwaani zina amini vitu kirahisi sana
we jamaa una maneno .....[emoji16][emoji23][emoji1787][emoji1787]Waingie Ukraine waone kwanini masufuria Yana makalio na hayavai chupi....Na watatueleza kwanini kisu kina kata lakini hakina diwani ..ndio mtajua kwa nini mkuki haupigwi konzi
Kwenye maisha halisi Unaonekana ni mtu usiejiamini kabisa Yani.poleHumu jukwaani ushabiki,propaganda,matusi ni vingi kuliko uhalisia na facts!
Hii ni kwa pande zote,lakini kuna upande umezidi(wenyewe wajijua)
additional military packages
And they get the type of missiles wrong all the time. That is why they do not hit them.
Una logic ya mashiko mkuu inahitaji majibu ya ki teknolojia, ila hawatakujibu.Jamaa wana propaganda za kiduanzi sana. Mfumo ni long range which means ina intercept target zake mbali sio kama Nasams au Iris T au Pantsir S2 ambazo zina intercept kwa karibu. Sasa hizo debris wanazodai zime damage mfumo ziliwezaje kurudi pale pale mfumo ulipo zikaudondokea na hivyo kuuharibu? Kitu ukiharibu ma mia ya km angani halafu mabaki yake yarudi kudondokea hapo hapo ulipo? Robots za nato humu jukwaani zina amini vitu kirahisi sana
Mkuu unaamini kweli Urusi imesubiri hadi kutoka rasmi kwenye mkataba huo hadi waongeze uzalishaji wa silaha??Wakati NATO wanasubiri Russia waishiwe silaha wao ndio kwanza Wana mipango yao mwingine[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Russia will ‘maximize’ arms production after treaty exit – ex-president Dmitry Medvedev said 'good riddance' after MPs backed the pullout from a treaty with NATO Russia will ‘maximize’ arms production after treaty exit – ex-president
Sasa kama Patriot imeharibiwa si muendelee kurusha makombora maana anga la Kyiv halina ulinzi.
Swala jingime kama Kinzal haitunguliwi na Patriot hizo 6 mlizorusha kyiv zimepiga wapi maana target yao ni kui destroy Patriot na ziko mbili tu kyiv sasa kinzal 6 za nini?
PUT IN muungwana sana mpaka anaudhi
Can you imagine! Halafu nyuso mgando wazifiche wapi?Are you serious?!?!?? Yaani wewe unadhani wangesema vinginevyo?! Yaani waseme eti Russia imeharibu kabisa Patriot yao?!
NATO wana muhaho, watajitaidi sana lakini hawatawezaAccording to Turkish sources, yesterday NATO held an emergency meeting on the state of air defense of the largest base hubs for Ukraine in Poland and Slovakia in light of the failure of the Patriot air defense system in the defense of Kyiv.
1/View attachment 2625391
It doesn't matter. Wao walisema ALL Russian missiles were successfully intercepted. Total & outright lie!Huwezi ku destroy patriot system ila unaweza uka damage part kwasababu yeneywe sio kifaa kimoja kama himars ni different part spread over an area