Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Kifupu hii Vita NATO ilisha Washinda
Uturuki kafichua Baada yw Kipigo cha Juzi NATO waliweka Vikao Vyasiri Kujadili Wafanyeje maana Hali nikama Inakuwa Tofauti na Matarajio yao
na Bado hawakutoka na Jawabu lapamoja
Si mataifa 30 ni zaidi ya mataifa 50.Mataifa 30 yanashindwa kupata jibu dhidi ya Taifa moja (1) Russia [emoji635]. NATO wanatia aibu, Russia ni ndo superpower halisi.
Mkuu hao wa Jumuiya ya Madola - ni ushirikiano wa hiari wa nchi zilizokuwa koloni za Uingereza, kwa jumla nchi 56. Kati ya hizo 15 zinaendelea kumtumia mfalme wa Uingereza kama Mkuu wa Dola (lakini bila mamlaka yoyote) na nchi wanachama 36 ni jamhuri zikiwa na raisi yao.(wakati Uingereza imeshaacha mambo hayo na kurudi nyumbani. )
kwa kauli yako hiyo hapo juu .......[emoji115][emoji115]
swali ::: nimeskia jumuia ya madola ama kwa lugha ya huko( comonwearth )
jumuia ya madola ina husika na nini na mwanzilishi wake ni nani ...na hiyo jumuia kiongozi wake ni nani ?
umshana
maana unasema urusi wana ubeberu na hawa hapa chini
tuwaite kina nani [emoji116][emoji116] au tuwaite wana democracy .....
View attachment 2626717View attachment 2626719
Mkuu wanashindwa kweli? Hadi sasa wako pamoja katika azimioMataifa 30 yanashindwa kupata jibu dhidi ya Taifa moja (1) Russia [emoji635]. NATO wanatia aibu, Russia ni ndo superpower halisi.
Wamenunua. Ni azimio la kisiasa kama unataka kuwekeza katika dhahabu.France has the fourth largest gold reserves of 2,436 tons, without a single gold mine in France. Mali (Which was occupied by France) does not have any gold reserves in its banks, although it has 860 gold mines and produces 50 tons per year! How did France get all that gold?View attachment 2626776
| Rank | Country/Organization | Gold holdings (in metric tons) | Gold's share of forex reserves |
|---|---|---|---|
| 1 |
| 8,133.5 | 66.3% |
| 2 |
| 3,359.1 | 66.0% |
| 3 |
| 2,451.8 | 62.9% |
| 4 |
| 2,436.4 | 57.8% |
| 5 |
| 2,298.5 | 21.4% |
| 6 |
| 1,948.3 | 3.3% |
| 7 |
| 1,040.0 | 5.6% |
| 8 |
| 846.0 | 3.5% |
| 9 |
| 803.35 | 6.9% |
| 10 |
| 612.5 | 55.4% |
Mkuu, kama ni mfuatiliaji utagundua umeandika chenga, japo mm siwezi kukuita chenga maana Urusi alikua anashambulia vyanzo vya umeme maana vilikua vinatumika na makamanda wa NATO kwenye mahandaki kupanga mashambulizi Cremea na mipakani mwa Urusi, baada ya kupiga vyanzo vya umeme umewahi kusikia Cremea imeguswa mkuu? Fuatilia utaona walikua wanatumwa na intel za NATO ndani ya yale mahandaki, ndio maana umeme ukikatwa Ukrain walikua wanafanya fasta kuunganisha umeme kwenye mahandaki ndipo urusi ikajua kumbe kwenye mahandaki kuna "mali" kinzhal ikasema "Kula chuma iko"...had leo sijasikia kelele CremeaSasa mbona walipiga vyanzo vya umeme kipindi cha baridi kule kyiv walikuwa wanampiga Nato kule wewe ni chenga itakuwa umevamia hii vita hujui ilianzia wapi
Moderator ni pro nato & usa bila shakaModerator waache kuzingua aisee!Sasa wanabania nini?.
Tumeshamjua bana,nani mbabe wa kweli hapa duniani.Kifupu hii Vita NATO ilisha Washinda
Uturuki kafichua Baada yw Kipigo cha Juzi NATO waliweka Vikao Vyasiri Kujadili Wafanyeje maana Hali nikama Inakuwa Tofauti na Matarajio yao
na Bado hawakutoka na Jawabu lapamoja
Kuna sehemu niliona habari kuwa USA na washirika hawataki haya machafuko yaishe. Mpango ni kuwa na machafuko miaka mingi sana kama Israel na Palestina huko. Lengo halijajulikana. Kama ni sahihi sijajua iwapo Urusi lengo lake naye ni hilo hilo au la. Kama silo ni bora akatangaza vita akaingia kamili kuliko hichi kinachofanyika. Ila kama na yeye ana lengo hilo hilo basi huenda huu mgogoro tukauzoea tu maana tutachoka sisi kuufatilia.Mataifa 30 yanashindwa kupata jibu dhidi ya Taifa moja (1) Russia [emoji635]. NATO wanatia aibu, Russia ni ndo superpower halisi.
Jamaa sasa hivi anawaomba West wawapelekee na mayonnaise sio silaha peke yake πππππππππ[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji635][emoji41] "Thank you, NATO!" β the fighter of the Wagner PMCs thanked France, Turkey and Britain for the equipment provided, and Germany for highβexplosive fragmentation grenades ("very good, convenient").
t.me/Slavyangrad/46β¦
Ndio, wamevunja.Mkuu haisaidii kushtakiana kuhusu ahadi na yale ambayo watu wanaamini ilikuwa ahadi au la. Angalau kuhusu mikataba iliyotiwa sahihi rasmi - je unaona upande wa nchi za Ulaya wamevunja mkataba wowote?
Nenda kwanza MKUUTutazidi kuwachinja kadri iwezekanavyo. Niwape takwimu au niende kwanza?
Hichi kinachofanyika ndio malengo, ndio maana upande wa pili wanapatana kusafirisha grainKuna sehemu niliona habari kuwa USA na washirika hawataki haya machafuko yaishe. Mpango ni kuwa na machafuko miaka mingi sana kama Israel na Palestina huko. Lengo halijajulikana. Kama ni sahihi sijajua iwapo Urusi lengo lake naye ni hilo hilo au la. Kama silo ni bora akatangaza vita akaingia kamili kuliko hichi kinachofanyika. Ila kama na yeye ana lengo hilo hilo basi huenda huu mgogoro tukauzoea tu maana tutachoka sisi kuufatilia.
Hakuna kaunta offensive niuhuni tuuuuNadhani sasa mambo ya sijui counteroffensive waachane nayo tu...hawa warusi ni moto mbovu sana!