Mkuu tafadhali lete vyanzo na ushahidi kwa madai yako!Mkuu inaelekea unafaidika sana na hila za Ulaya..
Makubaliano ya Urusi na NATO ni kwamba wasisogeleane mipakani ikiwa kila mmoja hataki kuhesimu sera za mwenzie...
Ulaya na US haijashika makubaliano hayo zaidi inajisogeza mipakani mwa Urusi kila kukicha
ULAYA imetumia mianya hyo kama silaha kwa zile nchi zinazokataa sera za kimagharibi ikiwemo kulazimisha ushoga, basi hupenyeza viongozi mamluki(puppet leaders) katika serikali zinazokinzana na sera zao, wakishindwa kuwaingiza kwa amani wanatumia (coup) kupindua serikali zilizopo madarakani kwa kisingizio cha udikteta..watatumia kufadhili upinzani ndani ya nchi yako au kuifadhili nchi jirani yako...
Kwa mfano EAC kuna nchi kama sio moja ni mbili zinafadhiliwa na serikali za ulaya na US kuleta taharuki ya hofu na machafuko kwa nchi jiran yake..hata wewe unalijua hili..
Wamesha anzo hapo USA inatafuta kisingizio cha kuanza kuilaamu Ukraine kwamba Patriot ilitiwa kiberiti na Kinzhal kitokana na uzembe wa wa Ukraine walio kuwa wana- man US Patriot ADS wanatufanya wajinga kwamba hatujia kwamba all US mission critical arsenals eg Patriot and HIMARS zinakuwa manned na wanajeshi wa Merikani na si Waukraine kutokana na USA kuto amini wanajeshi wa Ukraine wana wasi easi kwamba Warusi wanaweza kuwashawishi Waukraine kuauzia silaha hizo za kimerikani au zinaweza kutekwa kirahisi na Warusi - waseme ukweli hapa kwamba silaha za Urusi zimeshinda kete silaha za Kimerikani wasianze kutafuta visingizio vya kulaahumu watu kumbe tatizo ni silaha zao za mchongo na si watumiaji - wairudishe kwenye drawing board Patriot air defense system au wawaombe Warusi wawafundishi jinsi ya kudesign silaha kiboko yao kama ilivyo AK-47 ambazo zimeusika zaidi ya millioni 50 Dunia nzima., hata Merikani wamejenga kiwanda cha kuunda AK-47 bila ya kuomba kibali kutoka Urusi - kwa nini??US:
"Ukraine must stop the use of Patriot Systems until the investigation of the damaged system is completed"
-
Translation:
Patriot got wrecked.
Mkuu umecheki mwenyewe?Kwa nini waendeleze Ukoloni kwenye visiwa vya Chagos?
Hao Watu waliokubali kuwa koloni la Uingereza Wana asili gani?
Hii ina tofauti gani na ina maana gani?
Uingereza walivamia nchi zilizo mbali kabisa hazina hata Vinasaba nao.
Urusi ilichukua himaya baada ya kuwapiga Wamongoli.
Je, maeneo hayo zilikuwa nchi zinazo jitegemea?
Jibu ni hapana kwani ilikuwa nchi Moja chini ya Mongolia empire.
Sasa Kuna ubaya yeye kurithi maeneo baada ya kushinda Vita.
Je, Jamhuri ya Tuva haikuomba kujiunga yenyewe?
Huu nao Ukoloni?
By the way Uingereza ni mkoloni Toka kale mpaka Sasa.
Cheki hivi Visiwa anavyovishikiria
British overseas territories (formerly known as British dependent territories or Crown colonies) are: Anguilla; Bermuda; British Antarctic Territory; British Indian Ocean Territory; British Virgin Islands; Cayman Islands; Falkland Islands; Gibraltar; Montserrat; Pitcairn, Henderson, Ducie and Oeno Islands; St Helena and St Helena Dependencies (Ascension and Tristan da Cunha); South Georgia and South Sandwich Islands; Sovereign Base Areas of Akrotiri and Dhekelia (Cyprus); and The Turks & Caicos Islands (Foreign and Commonwealth Office: List of Crown Dependencies & Overseas Territories).
Rafadhali sema nchi za Ulaya zilivunja mkataba gani na Urusi? Ninaweza kukuletea mikataba ambayo Urusi imevunja.Ndio, wamevunja.
Chanzo?? Sidhani tamko hili ni kweli.US:
"Ukraine must stop the use of Patriot Systems until the investigation of the damaged system is completed"
-
Translation:
Patriot got wrecked.
G7 Wanataka kujadili Ukraine Peace...?[emoji298]Group of Seven (G7) leaders will discuss the idea of holding an international summit on Ukraine peace when they meet in Japan this week, Reuters reported, citing an EU official.
Learn more: G7 leaders to discuss international summit on Ukraine peace
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Leta hapa ukweli unaoujua wewe na wapumbavu wengine wa Pro-WestChanzo?? Sidhani tamko hili ni kweli.
Maneno haya aliyatamka miezi minne iliopita."President Vladimir Putin [warned] that the destruction of the systems was an absolute certainty should they be deployed in Ukraine. He assured that with Washington now saying that they can put a Patriot in Ukraine, "Okay, let them do it. We will crack...”
Hoja ni muhimu kuliko kutukana.Leta hapa ukweli unaoujua wewe na wapumbavu wengine wa Pro-West
The meeting will be historical.Jumapili wana kikao kizito cha G7 mjini Hiroshima Japan.
Hiroshima ni mji ulipigwa bomu la majaribio la Nyuklia na Marekani pamoja na mji wa Nagasaki na kumaliza vita ya pili ya dunia mwaka 1945.
Zelensky ataungana na kikao kupitia simu ya video au teleconferencing.
Safari hii hakuna kuruka na ndege kaambiwa akae mahala (jina kapuni) lakini yahisiwa ni nchi mojawapo ya NATO.
Kwa kuwa Russia imezidisha mashambulizi mjini Kiev hali ya usalama viongozi wa Ukraine si nzuri.
Frankly speaking, ni almost dunia nzima versus Russia. Huku Afrika nadhani Saudhafrika na You-gun-Dar ya M7 ndizo pekee zilizo upande wa Putin.Si mataifa 30 ni zaidi ya mataifa 50.
Mataifa mengine yashiriki kiuoga kwa mgongo wa NATO kwa siri.
Kama unadhani ukoloni na ubeberu umeshaisha duniani, tafakari tena mara mbili mbili, mkuu. Colonialism is alive and well.Pointi yangu ni: Uingereza walielewa kwamba siku za ubeberu zimekwisha, waliacha.
Hapa ni wazi hujui maana ya ubeberu. Actually, Marekani ndiye beberu dhidi ya Ukraine kwa sababu bila yeye kujipenyeza na kuivuruga Ukraine, amani ingekuwa inatawala hadi sasa.Kutokana na matagazo yake ni dhahiroi kwamba anaona mwisho wa ubeberu wa Kirusi kama kosa kubwa anajaribu hatua ya kulisahihisha.
Umejibu hoja moja kati ya mbili za muuliza-swali. Vipi kwa upande wa nchi ya Mali yenyewe? Kwa nini ina a lot of mines lakini haina hizo reserves?Wamenunua. Ni azimio la kisiasa kama unataka kuwekeza katika dhahabu.
Kuorodhesha Ufaransa pamoja na Mali haina maana kwa sababu dhahabu ya Ufaransa haitokei Mali, wananunua sokoni.
Angalia nchi nyingine. Italia , Uswisi, Japani, Uholanzi au Ujerumani hawana dhahabu kwao, wamenunua.
Tena uzalishaji wa Mali ni mdogo mno ukiinganisha na akiba ya Ufaransa.
Kwahio hilo moja walilolikosa ndio limeleta maafa yote hayo
🤪🤪🤪🤪🤪The meeting will be historical.
A diplomatic way of saying, ^We are doomed. Really thought it would work. Sorry, we've wasted your time.^US:
"Ukraine must stop the use of Patriot Systems until the investigation of the damaged system is completed"
-
Translation:
Patriot got wrecked.
Unajua nchi ngapi za Africa zilikausha pale UN manyakng'au walipopeleka hoja ya kupiga kura kuinyanyapaa Urusi??Frankly speaking, ni almost dunia nzima versus Russia. Huku Afrika nadhani Saudhafrika na You-gun-Dar ya M7 ndizo pekee zilizo upande wa Putin.
^Wengine wooooooote ni punda^ ~ in Francis Atwoli's voice.