Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kuna kila dalili kwamba very soon NATO wananyoosha mikono na kukubali kuumaliza huu mgogoro mezani kwa conditions za Russia.
Situation is very fragile now. Zelenky amekimbia nchi. Hawezi tena ku command mapigano.
Kila wakipeleka Silaha zinaishia kuteketezwa.

Ukraine imeshafikia exhaustion limits kwenye troops deployment.

Ila Kitendo cha Zelensky kukimbia nchi ndio kitendo cha ki bwege sana.
 
Hapo hapo watakukuja watu wengine na kudai eti ukoloni ulishaisha kitambo. Seriously? US is a malignant cancer & cynical curse of the world.
 
Ila Kitendo cha Zelensky kukimbia nchi ndio kitendo cha ki bwege sana.
Actually, mimi naona ni kitendo cha kishujaa sana kwa sababu akibaki humo ataliwa kichwa in no time.

Ninachosikitika tu ni kwamba amefanya hivi akiwa amechelewa sana.

Kulikuwa na sababu gani ya kuingia vitani huku akijua he doesn't stand any chance against almost formidable Russia?
 
Kipanya one will be insane, a zombie or a loon to support a government or a group of people doing all the evil below to humanity,and frankly that is why I find you one,that is a loon.Comeon Kipanya acha ujinga,let's join forces and fight our common enemy,the NWO Cabal,which is represented by the general West including the Empire of Lies and Evil,the US.

 

Kamanda hutakiwi kukimbia uwanja wa vita na kuwaacha wapiganaji uwanjani.
Kama ni kukimbia mnatakiwa mkimbie wote.

Naona ile ishu ya kurusha drone pale Ikulu ya Kremlin ndio imempa kiwewe cha kukimbia.
 
World: ^Explain to us why your Patriot ADS don't seem to work as you long hyped it.^

US: ^I think we deployed a wrong version of it. We're sending our best engineers and specialists to look into the matter.^
 

Umshana one will find you insane, a zombie or a loon if you support a government or a group of people doing all the evil belowπŸ‘‡ to humanity,and frankly I find you one.Comeon Umshana if you are real human,sio "AI Chatbot, " acha ujinga,let's join hands and fight our common enemy,the NWO Cabal,which is represented by the general West including the Empire of Lies and Evil,the US.

 
G7 Wanataka kujadili Ukraine Peace...?

Si tumeshakubaliana vilianzia Cremia na vitaishia Cremia, sasa hii peace summit ya nini tena?
Sema kimeumana... But I really support the move. These conflicts have caused so many deadly damages that should never have happened in the first place.
 
kp kipanya44 would rather have the entire human race sacrificed than listen to any truthful piece of advise however sensible it may seem to be.
 
We can't fight our enemy by suppressing and killing innocent people

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu tusivutane. Kimsingi maoni hapa JF si chanzo. Ila tutaona. Putin akirusha roketi kesho, tutasikia zitazuiwa kwa njia gani.
Si chanzo cha nini,taarifa?Umshana taarifa zinazoletwa hapa,hasa za Pro-Russia ni very authentic,kwa kuwa zinatoka kwenye vyombo credible.Tatizo ni taarifa zinazotoka kwenye vyombo vya habari vya Empire of Lies and Evil,hizo sio credible kabisa as the name implies.Waandishi wa vyombo hivyo are taught to lie as part of their work na wenyewe wanakiri.Ni ajabu kwamba hata Empire yenyewe inajidanganya kwamba inatengeneza silaha nzuri,kumbe ni mabongenyanya,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚...............
 
We can't fight our enemy by suppressing and killing innocent people

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Your enemy!!!???Which enemy are you talking about na wewe upo Kinyerezi Kipanya.Yaani unajifanya na wewe ni NWO Cabal member?Aisee,wamesema wazi mtawasaidia katika kufanya uovu wao,but you will never be one of them,wake up.
 
Frankly speaking, ni almost dunia nzima versus Russia. Huku Afrika nadhani Saudhafrika na You-gun-Dar ya M7 ndizo pekee zilizo upande wa Putin.

^Wengine yyyoooooooote ni punda^ ~ in Francis Atwoli's voice.
Mkuu, ukiona dunia nzima Iko against you,inabid ujitafakari kwanini dunian nzima ikuchukie,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Uko Sawa,lkn napenda nikuhakikishie, Moscow wanajua Kila Nia ovu juu Yao inayopangwa na west.
Kuna watu hawalali kazi zao ni kufatilia Kila mpango ovu unaopangwa na west.
Wanajua kuliko tunachojua sisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…