Mkuu nikiangalia habari za Mali naona makampuni yaliyopewa laiseni huko kuchimba dhahabu ni hasa za Afrika Kusini. Sijaona Ufaransa katika bishara hiyo ya Mali. (Labda kuna hisa mkononi mwa Wafaransa, sikuona bado).Umejibu hoja moja kati ya mbili za muuliza-swali. Vipi kwa upande wa nchi ya Mali yenyewe? Kwa nini ina a lot of mines lakini haina hizo reserves?
Sikushangai sana kwa sababu hata majambazi na waporaji huwa wana mawakili wa kuwatetea mahakamani. Go! Go! Go!
Mkuu unasema kweli kuna changamoto tunayoita ukoloni mamboleo. Ila hii ni tofauti na ukoloni halisi na ubeberu wa zamani.Kama unadhani ukoloni na ubeberu umeshaisha duniani, tafakari tena mara mbili mbili, mkuu. Colonialism is alive and well.
Just because colonial powers don't actually occupy sovereign states, doesn't mean it's dead. Jiulize nani mwenye sauti Afrika kati ya viongozi wake na mataifa ya Ulaya na Marekani?
Hapa ni wazi hujui maana ya ubeberu. Actually, Marekani ndiye beberu dhidi ya Ukraine kwa sababu bila yeye kujipenyeza na kuivuruga Ukraine, amani ingekuwa inatawala hadi sasa.
Mkuu, 1) asiye na hoja anatukana 2) hapana, wewe umeleta habari, kwa hio ni kazi yako ya kuonyesha uthibitisha na vyanzo.Leta hapa ukweli unaoujua wewe na wapumbavu wengine wa Pro-West
Hivi 'mpumbavu' ni tusi????!!!! Maana hata wewe umewahi kutumia neno hili kwenye uzi huu...ina maana na wewe ulikuwa huna hoja??!!?!Mkuu, 1) asiye na hoja anatukana 2) hapana, wewe umeleta habari, kwa hio ni kazi yako ya kuonyesha uthibitisha na vyanzo.
[emoji298][emoji298]Russia To Be Hit With Tougher Sanctions at G7 Summit in Japan, Zelensky Expected to Attend
World’s biggest economies to consider stronger package at Japan summit that Ukraine’s President will address, but doubts remain about sanctions’ effectiveness with Russian/Chinese trade boom.
Read more on our website.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wewe unayepatikana huko namtumbo unawaona viongozi wa mataifa yote 7 kwamba ni insane,! Hauna budi kutafakari upya huo mtazamo wako,Doubts za nini tena?
Albert Einstein alishawai kusema kwamba: Insanity is doing the same thing over and over and expecting different results
G7 wanachoenda kufanya ni Insanity....
Wewe unayepatikana huko namtumbo unawaona viongozi wa mataifa yote 7 kwamba ni insane,! Hauna budi kutafakari upya huo mtazamo wako,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app