Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Naomba ashambulie nione watakufa magaidi wangapiKuna kila dalili kuwa Putin anatafuta njia ya kuhalalisha matumizi ya Silaha za Nyukilia kwa Ukraine. Marafiki wa Ukraine wanajua kuwa Ukraine haiwezi kujilinda dhidi ya mashambulizi ya Urusi wakitumia silaha za Nyukilia hivyo wanatumia kila njia kuukwepa mtego wa Urusi isije ikaishambulia Ukraine.
Mkuu nikitazama mabondia wakipigana, wanarudia kufanya kilekile: kumpiga bondia mwingine ikiwezekana kichwani. Mara nyingi nimeona baada ya kurudia mara kadhaa, mmoja alianguka akashindwa.
Unaona ni kichaa?
Hili tatizo lakufa wengi kuliko wanao zaliwa sio la RUSSIA [emoji635] tu mataifa yote ama mengi duniani yanakumbwa na hii changamoto ikiwemo CHINA [emoji630]Modern Russia unajulikana vizuri. Kwanza tangu wajitenge USSR population yao haijawahi kufika ya mwaka ule hadi leo. Ni miaka mingi tu inakuwa Russia kwa mwaka wanakufa wengi kuliko wanaozaliwa
Kaunta offensive haijaanza tuuuMimi nataka ukipinga useme hii haiko hivi bali iko hivi, badala yake mtu anaandika "hujui" na hasemi wapi sijui na wapi nimekosea, na hasemi anachojua yeye.
Pro Russians wenye facts walishaondoka humu baada ya kugundua jeshi lao haliko vile wanavyolipigania. Wewe kila siku unapigania jeshi kusema ni superpower alafu tangu Oktoba 2022 hadi leo Bakhmut wanasumbuana. Sasa subiri counteroffensive ianze
Duuh simu yangu Ile yenye ushahidi iliharibika ulisema RUSSIA [emoji635] wanatumia chip za washing mashine Leo unakanaInabidi uelewe context ya maandishi ya mtu. Hatuandiki kama bots humu, mimi niki-accuse mtu namletea ni wapi aliandika hivyo ili tuendelee, sipendi kuandikia mate na wino upo. Na kuna nyakati watu wanaandika kwa mocking, mbona pro Russians waliosema Finland itaganda wapo humu humu.
Sasa watu humu wanakuja na zile "nyinyi mlisema" na nawauliza tulisema sisi akina nani, na kama nilikuwa mmojawapo.
Nikiandika silazimishi mtu aamini, ingawa siandiki kupotosha. Asiyetaka atafute atakapoamini mwenyewe ila mwisho wa siku facts zinajitenga na hisia. Naomba mnionyeshe wapi nilisema Russia wanatumia chips za washing machines, sikumbuki nilisema wapi. Ujue mtandaoni kuna NAFO na Vatniks na hizo chips za washing machines ilikuwa ni mock moja common sana pale kifaru cha Russia kilivyokutwa na chips za Western wakati kampuni hizo zishafungiwa kuuza parts Russia kwenye sanctions. Nimekumbuka nitaandika kuhusu hivyo vifaru
They always remember his advice when it's too late.Uhakika vikta anajitambua sanaaaaa
Siyo maeneo yaliyopokwa, mkuu Bwana Utam . Haya ni maeneo waliyoyaweka huru kutoka kwa Wanazi wanywa-damu.maeneo yao yaliopokwa
Mkiambiwa ukweli mnaona mnachukiwa poleni sanaHayo yote umeandika sababu unamuonea tu wivu kisa hakubaliani na mtizamo wako.
Ungeweza kumlisha hata sumu kama ungemfahamu.....acha wivu na chuki za kijinga.
Ahsante MKUUSiyo maeneo yaliyopokwa, mkuu Bwana Utam . Haya ni maeneo waliyoyaweka huru kutoka kwa Wanazi wanywa-damu.
Sijui silaha walizipata wapi hizi T14 ArmataBaada ya PMC kusema hawana silaha,mda mchache kilichofuata.
BAKHMUT NEWS UPDATE EVENING MAY 5
Despite the alleged artillery shortage Wagner forces continue their advance. Today up to 170 meters and taking 59 000m2, around 2 percent of ukrainian territory. Much of this by clearing remaining area (red shaded 1) north of Vuzvolyteliv Donbasu Street (red circle). Offensive operations continue southwest towards Larysy Shepitho Street (purple circle) and towards Olympic school and Post office (blue circle). The frontline is dynamic and changes often but slowly the secured russian territory moves forward and Wagner forces are closing in to the last ukrainian defenceline in the west (blue line). Areas around Peremogi Street (red shaded 2) are still the tip of russian advance
Naomba unitajie magari ya kichina yaliyopo hapa bongo!China kampiku Japan kwenye export ya magari!
Eti G7 wanakaa kujadili namna ya kuudhibiti uchumi wa china!
Nakazia [emoji116]Updates ya kikao cha G7
1. Zelensky kuhudhuria kikao cha G7 siku ya jumamosi na hivi sasa yupo nchini Saudi Arabia kuhudhuria kikao cha OPEC kinofanyika mchana huu.
2. Baada ya hapo Zelenksy ataelekea Japan kuhudhuria kikao cha G7 na taarifa za kijasusi zadai kuwa atatumia ndege ya serikali ya Ufaransa inomsubiri mjini Jedah kwa ajili ya usalama wake. Haya ni mabadiliko kutoka kwenye ingizo langu namba 120326.
3. Wiki ijayo waziri mkuu wa Russia Mikhail Mishustin ataelekea China kwa ziara ya siku mbili tarehe 23 na 24 na kisha kurejea Moscow.