Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji298][emoji298]The United Kingdom unveiled a fresh package of sanctions against Russia on May 19, targeting its energy, metal, transport, and military technology industries.

The measures also aim at companies involved in the theft of Ukraine’s grain.

In total, London’s sanctions target 86 individuals and entities.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298][emoji298]Sources familiar with the matter told CNN that the Biden administration has conveyed to European allies its willingness to permit them to export F-16 fighter jets to Ukraine. The move comes in response to mounting pressure from Congress members and allies urging the White House to assist Ukraine in acquiring the aircraft as Russian aerial attacks intensify.

Learn more: CNN: US signals to allies that it won’t block them from exporting F-16 jets to Ukraine

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Tamko hili lina maana gani tuanzie hapo.Na unadhani Russia wanaweza kulikubali bila wao kwanza,the West, kutekeleza security demands za Russia?Yaani tamko hili linaonyesha wazi kwamba viongozi wa the G7 na nchi za maghsribi kwa ujumla ni stupid na vilaza sana.
 
Halafu baada ya hapo kitaendelea nn?
 
Wameazimia Mara ngapi?
 
Hili azimio linaweza kuonekana kama mzaha au ujinga, lakini Lina maana kubwa sana
Nani kaliona ^azimio^ lenu ^kama mzaha,^ mkuu kp kipanya44 ? Au ndiyo kwamba mmeanza kujishtukia?

Tunachojua kwa hakika ni haya:

1. NATO chini ya ukiranja na ulaghai wa Marekani, wasipokubali kukaa meza moja na Russia ili wayamalize, mwisho wa SMO hauwezi kuwa mzuri kwa Ukraine.

2. NATO na US wakizidi kujiingiza kwenye mgogoro huu, kama ambavyo sasa tunaona Marekani, UK, Ujerumani, Poland, nk., WW3 is inevitable.

3. WW3 may actually mean all of us -- humanity -- is totally doomed.

4. Mionzi ya juzi iliyotokana na kuteketezwa kwa silaha zenye depleted Uranium ambazo Uingereza alizipeleka Ukraine kwa lengo la kumshambulia Mrusi, ni mfano halisi ambao ungepaswa kuwaamsha viongozi wa pande zote mbili wakae kwenye meza moja ya mazungumzo na kuimaliza vita haraka iwezekanavyo.

5. Pengine kweli NATO, Marekani na viongozi wote wa G7 hawana mzaha. Lakini kumbukeni pia kwamba Russia hana mzaha. Kauli zake amekuwa akizirudia tena na tena kama msisitizo kwa wale wenzenu na ninyi wenye masikio mazito kuelewa.

NB: We're just a few ^minutes^ away from unprecedented World Nuclear Showdown!
 
Mabongenyanya tu hayo kwa Urusi,yatafanyaje kazi bila GPS,ambayo Urusi wana uwezo wa kui-jam,wayapumzishe tu.

Nikukumbushe Kipanya kama unajifanya hukumbuki,ile US Satellite ilivyokuwa ina provide GPS services kwa Ukraine Millitary Equipment provided by the West Urusi waliidondosha,sasa hizo F-15 zitafanyaje kazi? Kazi hakuna!
 
Mkuuu kp kipanya44,

Heshima mbele. Jana naona walichinjwa wachache.
Mkuu, idadi ya warusi wanaolambishwa mchanga Iko chini kidogo katika siku za hivi karibuni kulinganisha na idadi ya wale waliolambishwa mchanga siku za nyuma,na hii ni kutokana na ukweli kwamba Ukraine Kwa Sasa Yuko katika defensive japo anadefense kwa ustadi wa Hali ya juu..,tutegemee vilio,misiba,maombolezo,dhiki,majonzi,kusaga meno,na tabu hambazo hazijawahi kushuhudiwa zikiwapata warusi pale Ukrainian counteroffensive itakapoanza

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kumbuka Hilo azimio kuonekana kama mzaha au ujinga ni maneno binafsi ya kp kipanya44 .usiyaunganishe na habari kamili tafadhari!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Alafu mnaposema vita ya tatu ya dunia,kuweni specific ni Nan atapigana hiyo vita
Je ni huyuuyu urusi ambaye anaendelea kuhenyeshwa na ukraine dhidi ya Yale mnayodai ni mataifa zaidi ya 30 ya muungano wa NATO na yasiyo ya NATO??

Na watakaoungana na urusi ni akina nani?


Je ni hawahawa wanaoogopa kumsaidia lafiki Yao urusi, huku ikitokea wakamsaidia ni nyuma ya pazia na sio waziwazi wakiogopa kifinyo Cha wakubwa??

Kishindo Cha urusi kimeshazimwa,Wala Hana Madhara Tena,kinachofanyika Kwa Sasa ni kumtaftia angle nzuri Ili abinywe,na hili kulifanikisha Hilo inaitaji akili maana ni sawa na kudeal na mbwa kichaa

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ni pigooooooo

The Unipolar world is broken. The Middle East and Africa are becoming independent. Unique in history, President Assad of Syria visits Saudi Arabia. 10 years ago, KSA sponsored ISIS (DAESH) at the request of the West, the US and the EU. Now they are taking Assad back into the Arab League and condemning the West for their actions. Since the beginning of their so-called War in Terror, an ordinary war of the West, 4.6 million people – in Afghanistan, Pakistan, Iraq, Syria, Libya, Somalia and Yemen – may have died !
 
Bado jamaa wanavaa mabarakoa!!Haya majamaa mazombie kweli kweli,kama mang'ombe yanayozuiwa kula pumba,yaani mazombie proper.Corona yenyewe ni kitu fake kabisa,halafu barakoa ni hatari kiafya.Siwaelewi ujue,vichwani mwao sijui kumeja makamasi!
Corona ni fake?
 
hv unajua alichokifanya huyo Japan kule Manchuria, je unajua pia alichokifanya pearl harbor?

Bila zile two sweet bombs kutua pale Hiroshima na Nagasaki huyu Japan wa Leo unae muona mpole angekuwa zaidi ya North Korea.
 
Mkuu unaishi dunia gani?
West ilimwamuru Sadam kuvamia Kuwait? na kutumia mabomu ya sumu dhidi ya Wakurdi?? Halafu kushambulia Iran ???
West iliagiza Saudia kumfunza Osama bin Laden na kumpa pesa hadi ashambulie USA? Na Kenya na Tanzania? West ilimwambia Gaddafi kuwatupia raia wa Lybia mabomu? West ilimwambia dikteta wa Somalia kushambulia Ethiopia? West ilimpa amri ya kuvurugu nchi yake hadi makabila waliasi na kuanzisha vita ya wenyewe kwa wenyewe inayoendelea??

Marekani ilifanya makosa mazito na kutekeleza jinai za kivita, bila shaka.

Ila kufunga macho mbele ya dunia halisi haisaidii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…