WatampakataZelenksyy kaona akimbilie kwa waarabu kutafuta peace hali ni ngumu[emoji23][emoji23]
Hivi unaijua NWO wewe.Ni mbumbu tu wanaotaka NWO.Utamtakaje Shetani,because the NWO will be a Satanic authoritarian government.NMO ni matokeo tu ya maendeleo hamna kikundi chochote kinachopanga. In fact kila mwanadamu anataka NWO
Pitia comment yake aliyonijibu ya microbiology huenda ananilisha matango pori sijui kitu kuhusu hayo mamboHapana huyu Bwana Mathanzua hajasoma kitu. Yeye ni hodari kunakili tovuti za Marekani, mwelekeo wa Trump au vobaya zaidi, na kuleta habari hizo hapa JF.
Wewe mwenzetu umesomea Nini?! Wewe Pro-West umesomea Nini?! Tueleze hapa...Hapana huyu Bwana Mathanzua hajasoma kitu. Yeye ni hodari kunakili tovuti za Marekani, mwelekeo wa Trump au vobaya zaidi, na kuleta habari hizo hapa JF.
Hiyo ramani hata wewe na pia ki-rat mnaweza kutengeneza ....Ni Nani asiyefanya propaganda?! Yaani West eti hawafanyi propaganda?! Duh...Kuhusu wingu la mnururisho linalodaiwa na propaganda ya kirusi.
Hapa ramani ya mamlaka ya Ulaya
A) Bila vipimo View attachment 2627828
B) hapa vipimo vya gamma radioactivity (in nano-Sievert)
View attachment 2627839
Wapi wingu lenu????
West na NATO yao wameshikwa pabaya kwa kweli....wanafanya Kila kitu lakini dubu yupo tu.....Zele Ana ziara zisizo na kikomo nje ya Ukraine kufanya ushawishi...usishangae akaja hata Afrika....
Data za kipropaganda....wewe unadhani West watakubali kuwa Kuna radiation?!?! Wewe mwenyewe uliyejaa propaganda za wauaji was West unapinga...ki-rat Kila siku huja hapa na data za kinachodaiwa eti idadi ya warusi 'waliochinjwa'...lakini vifo vya Ukraine hajawahi kuleta hapa na ambapo tunaamini ni zaidi ya laki nne..Habari hii ni ya uwongo. Tumeipata tayari. Haina msingi wowote.
Ona ramani rasmi ya mnururisho nchini Poland, data za leo (ramani hii ni tovuti ya serikali inayoonyesha data za siku ileile)
View attachment 2627812
Data za 19- 05. 2023
Wapi wingu lako?? Vipimo vyote vya kawaida.