Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Iran claims responsibility for missile attack – reports​

Iran’s Islamic Revolutionary Guards Corps (IRGC) said on Sunday, cited by Iranian media, that it had launched a volley of precision missile strikes at “the Zionists’ strategic center of plotting and evil” in the northern Iraqi city of Erbil the night before.
 
Kumbe maturity?? Kwa sababu hakatai kuuza? Alaaaa.
Kaka hana hela, anategemea Waulaya kumtuma kila siku milioni kadhaa kwa gesi. Ilhali sehemu kubwa ya akiba yake iliyokuwa Dolar imekamatwa na kuzuiliwa, na uchumi wake unaporomoka kwa mbio, anahitaji kila senti. Kwa hiyo atauza soksi na chupi zake , hata bila kuvua kwanza.
 
Umewaza nje ya box mpk raha [emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666] yote yanaezekana mjomba na kauli yangu naendelea kuirudia... Dunia ya sasa ina illusions nyingi mno. Kile ukizaniacho ndio ukute sio na kile usichokizania kumbe ndicho [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Sasa apo wale wenye mahaba unabaki unawashangaa tu [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] hasa mwingine anuna mpk anakutukana....

Kingine niongeze kahawa apo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]vipi kama hizi zote zinazoendelea ni michezo ya wafanya biashara ili wazivune pesa vizuri...

Wa kuuza silaha wanauza kwa wingi... Mafuta bei kupanda watu wanapiga pesa tu. Kwasababu na hakika ata kama bei zikija kushuka hazitashuka kiasi cha kurudi ilipokuwa mwanzo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna namna flan hv ila hii ni movie kuna jamaa alikuwa anatengeneza Economic Crisis kwe taifa kisha kupitia hlo pigo la kiuchumi wanavuna pesa....

Mfano wanaeza lipua eneo kubwa la makazi au la biashara kisha ile taharuki ya kutaka ku'recover uchumi wao wanaingia kwe mikopo ya kusorodonyoana... Au mikataba kwenye rasilimali n wanazivuna hasa...
 
Civilian Vs Citizen. Kwenye Kiswahili tuna neno moja tu, Raia. Hujitosheleza kimaana Katika kila muktadha Wa matumizi.
 
Huyu jamaa ni mjinga. Baada ya kugundua west wametosa angerudi mezani aongee na putin akubali yaishe. Siku zote kama huna nguvu ukubaliane tu.

Kabla ya hapo angesoma alama za nyakati akuzungumze na Putin wayamalize. Ona sasa nchi ishageuzwa majivu.

Kingine bado wanamvimbisha kichwa et warusi hawana nguvu yyte apigane nao. Sijui watu wanataka Putin atumie full military mighty kuwa prove wrong ili aue watu wengi wamseme zaidi.
 
I couldn't have said it better myself
 
Right on the money
 
Ndivyo watoto wa uswahilini mlivyokariri utumbo huo!
 


Vijana wa Putin hili ni daraja linaunganisha Hostmil na Kiev Ukraine imelivunja kabisa Sasa waliovuka upande wa pili Mimi nitakuwa naonesha mizoga tu... Yaaani Hadi wakifika Wasyria Russia itakuwa imetumia wanajeshi 200K
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…