Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mie nikajua huduma za satellite anapewa na kampuni ya Elon Musk, au satellite la Musk ndio limetunguliwa?

Hii habari ilinipita.
 
. “For today, Bakhmut is only in our hearts.”

target more than 90 companies that help Moscow evade sanctions, European Commission President Ursula von der Leyen said in a May 20 interview with German publication ZDF.
 
Tumedanganywa for too long mkuu.America iliamisha Ulimwengu kwa kutumia soft power kwamba ndiyo mwamba Ulimwenguni in everything,kumbe si chochote si lolote, debe shinda,mwamba mwenyewe yupo kanyamaza.Hii vita imetufundisha mengi sana.
Kweli kabisa Mkuu.
Na bado watu wengi sana hadi Sasa hivi bado wanaamini kua USA ndo Kila kitu.
 
Mbona naitafuta siioni naomba link mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…