Mnaambiwa Muwe Mnasoma sasa Nchi Kama Moldova inalingana na Mbezi Msakuzi nayo ni Nchi hiyo??
Naona unazunguka tu. Nimekueleza huyo mtawala unayemtaja wakati wa karne hiyo ni tawala ndogo ndogo tu mzee kama akina mtemi Mirambo na wengine.Hapana sikuleta viongozi wa kikabila. Nimekutajia jina la Mieszko I aliyeanza kama mtawala wa kieneo akaendelea kuunganisha makabila mbalimbali akaunda ufalme wa Poland ulioendelea kwa karne nyingi.
Tena nilitaja kuimarishwa kwa dola la Poland chini yake na chini ya wafuasi wake.
Hayo yote wakati Moscow na Urusi havikuwepo.
Sasa umejisomea kidogo haraka-haraka unaleta majina ya miji na maeneo yenye historia ndefu ambako yalihamishwa kati ya Poland na madola ya Kijerumani, tangu 1918 au 1945 yako maeneo ya Poland.
HAyo yote haibadilishi ukweli wa kimsingi kwamba Poland ni taifa la zaidi ya miaka 1000.
Haibadilishi ukweli kwamba Poland iligawiwa 1776-1796 baina Urusi na Prussia na maeneo yake kuwa koloni za nchi hizo. Taifa la Poland liliendelea kwa karne moja bila dola hadi kurudishwa kwa Dola la Poland tangu 1918.
Haibadilishi ukweli kwamba Putin anajaribu kukamata tena maeneo yaliyokuwa makoloni ya Urusi zamani. Anaanza Ukraine na hapo sababu Poland inasimama imara sana upande wa ukraine kwa sababu wanaamini akifaulu pale, wenyewe watafuata.
Sasa ulilenga nini kwa maswali yako kuhusu Poland??
Hivi hakuna namna ya kublock asikuone kabisa? Moderators inabidi waboreshe hili.Wewe ni LGBTQ
Na mara nyingi sana nimeshakukataa ku comment kwenye post zangu.
In short i don't like LGBTQ kwenye post zangu.
Kuna makala zinaendelea kujadili suala hilo, unaweza kucheki kwenye link hapa kupata machacheWachambuzi, tuzijadili siraha mpya kwenye uwanja wa SMO-F 16 planes, je zitakua na impact gani?
Russia watakua damaged how far na meassures za kuzidhibiti ni zipi?
Halafu hebu pitia hii hapa kuhusu Urusi kidogoHapana sikuleta viongozi wa kikabila. Nimekutajia jina la Mieszko I aliyeanza kama mtawala wa kieneo akaendelea kuunganisha makabila mbalimbali akaunda ufalme wa Poland ulioendelea kwa karne nyingi.
Tena nilitaja kuimarishwa kwa dola la Poland chini yake na chini ya wafuasi wake.
Hayo yote wakati Moscow na Urusi havikuwepo.
Sasa umejisomea kidogo haraka-haraka unaleta majina ya miji na maeneo yenye historia ndefu ambako yalihamishwa kati ya Poland na madola ya Kijerumani, tangu 1918 au 1945 yako maeneo ya Poland.
HAyo yote haibadilishi ukweli wa kimsingi kwamba Poland ni taifa la zaidi ya miaka 1000.
Haibadilishi ukweli kwamba Poland iligawiwa 1776-1796 baina Urusi na Prussia na maeneo yake kuwa koloni za nchi hizo. Taifa la Poland liliendelea kwa karne moja bila dola hadi kurudishwa kwa Dola la Poland tangu 1918.
Haibadilishi ukweli kwamba Putin anajaribu kukamata tena maeneo yaliyokuwa makoloni ya Urusi zamani. Anaanza Ukraine na hapo sababu Poland inasimama imara sana upande wa ukraine kwa sababu wanaamini akifaulu pale, wenyewe watafuata.
Sasa ulilenga nini kwa maswali yako kuhusu Poland??
Mkuu unaonyesha tu kwamba ujuzi wake wa historia ni finyu. Hapana Mieszko I hakuwa mtawala mdogo kama Mirambo. Mirambo alianzisha milki iliyoporomoka mara moja baada ya kifo chake. Hakuelewa misingi ya kujenga dola. Wakoloni hawakupaswa kupambana na milki ya Mirambo maana ilikuwa iliporomoka kabla Wajerumani hawakufika Tabora.Naona unazunguka tu. Nimekueleza huyo mtawala unayemtaja wakati wa karne hiyo ni tawala ndogo ndogo tu mzee kama akina mtemi Mirambo na wengine.
Nimekwambia unieleze Hiyo poland mipaka wake uliishia wapi? Na hii poland ya sasa inaishia wapi?
Tunaongelea Poland kama taifa mdogo wangu.
Unaona sasa unakoelekea tena. Unashindwa kutoa maelezo yaliyonyooka. Umesema Rus haikuwepo karne ya 1.Mkuu unaonyesha tu kwamba ujuzi wake wa historia ni finyu. Hapana Mieszko I hakuwa mtawala mdogo kama Mirambo. Mirambo alianzisha milki iliyoporomoka mara moja baada ya kifo chake. Hakuelewa misingi ya kujenga dola. Wakoloni hawakupaswa kupambana na milki ya Mirambo maana ilikuwa iliporomoka kabla Wajerumani hawakufika Tabora.
Mieszko aliunganisha makabila mbalimbali na kuanzisha taifa. Nasaba yake (=familia ya kifalme) iliendelea kwa karne 3 hivi. Ufalme wa Poland ulikuwa milki iliyoheshimiwa sana wakati ule. Kama ungeelewa kitu ningedokeza mawasiliano na Kaizari wa Dola Takatifu la Kiroma na Papa wa Roma, wafalme wa Hungaria na watemi wa Kyiv.
Dah!Watu kama hawaView attachment 2630327
Pro natoHivi kwenye hili mbungi Askarimaji yuko upande gani?
Kweli kabisa mkuu.Zile movie zao za kivita zilichangia sana kuamini usa ni super power na compurer tech za kutosha kumbe zero kabisa mbwa wale
App haioneshi picha siku hiziHivi ni mimi tu nisiyeona picha humu? Naishi kwa shida sana hapa ndani. Natumia App[emoji24][emoji24]
Habari zimekuwa nyingi.
Hata anga za juu USA anamutegemea sana Russia, basi ni ujinga wa USA kujiona yuko juu lakini wapi, baada ya miaka 10-20 Russia na China watakuwa juu sana. Na scientist wengi wa USA Ni foreigners toka Russia, China, India na Africa kidogo, lakini USA anabeba credit zote.Yaani hawa jamaaa ukiwaskiliza utadhani wao ndo miungu hapa wakiona umegundua kitu wanakuponda na kukutoa dhamani ila wakiunda wao kelele mpka maiti anaskia. Ila nnacho amini ni kwamba madhali mpka leo marekani anategema sana engines ya rockets za Urus basi Urusi Anauwezo mkubwa sana maana ni nchi chache sana zenye huo uwezo.
Kwa nini nisimjue mtemi Vladimir I wa Kyiv? Jinsi ulivyokopi, Vladimir alikuwa mtemi wa Rus ya Kyiv. Labda jisomee kidogo hapa: Rus - Wikipedia, kamusi elezo huruHalafu hebu pitia hii hapa kuhusu Urusi kidogo
Unamjua mwamba huyu
Vladimir the Great
Uhusiano kati ya Byzantium na Urusi uliimarishwa sana kupitia uenezi wa Ukristo. Katika karne ya 10, Kievan Rus, ambayo ilijumuisha eneo la sasa la Urusi, Ukraine, na Belarus, ilikuwa na uhusiano wa karibu na Byzantium. Prince Vladimir wa Kiev aliamua kuachana na dini za jadi za Kipagani na kubatizwa kwenye Ukristo wa Kiorthodoksi wa Byzantine mwaka 988. Hii ilisababisha kuenea kwa Ukristo miongoni mwa watu wa Kievan Rus na kuimarisha uhusiano wa kidini kati ya nchi hizo mbili.
Jaribu kusoma yale yaliyoandikwa. Sikujadili "karne ya 1". Rus ilianzishwa mwisho wa karne ya 10. Lakini Rus si Urusi.Unaona sasa unakoelekea tena. Unashindwa kutoa maelezo yaliyonyooka. Umesema Rus haikuwepo karne ya 1.
Sasa nimekwambia unamjua Vladimir the Great?
Mkuu ukitabiri wako China itakuwa juu ya Marekani, uwezekano huu upo. Ila kwa hakika si Urusi.Hata anga za juu USA anamutegemea sana Russia, basi ni ujinga wa USA kujiona yuko juu lakini wapi, baada ya miaka 10-20 Russia na China watakuwa juu sana. Na scientist wengi wa USA Ni foreigners toka Russia, China, India na Africa kidogo, lakini USA anabeba credit zote.
Kituo kinacho fata OdessaThe U.S. Department of Defense on May 21 announced a new military aid package for Ukraine worth $375 million, aimed to help Ukrainian forces "push back against Russia's unprovoked war of aggression."
The latest package includes additional ammunition for U.S.-provided HIMARS rocket launchers and artillery rounds, as well as Javelin anti-tank missiles and AT-4 anti-armor systems.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Inaonyesh patriots zao zilipanic na kupokea erro of signal (signal jam)[emoji16][emoji16]Kabla ya Patriot kuangamizwa ilikuwa inarusha mabomu hovyo hovyo.
Ilirusha mabomu kama 20 hivi. Hapo hapo Kinzhal missile ika penetrate na kuiangamiza Patriot.
Kuna swali wachambuzi wanauliza je Russia Aerospace Forces wali hack systems za Patriot mpaka ikawa inarusha mabomo hovyo hovyo bila mpangilio?
Una mkataaa kwa nguvu ZOTE [emoji635][emoji635][emoji635][emoji106][emoji106]Wewe ni LGBTQ
Na mara nyingi sana nimeshakukataa ku comment kwenye post zangu.
In short i don't like LGBTQ kwenye post zangu.
Hata mimi bado sion pchaHivi ni mimi tu nisiyeona picha humu? Naishi kwa shida sana hapa ndani. Natumia App[emoji24][emoji24]