jameshyela
JF-Expert Member
- Oct 13, 2022
- 2,043
- 15,861
NakaziaGermany Sasa wataona umuhimu wa Russia mda unafika Russia Ni dubwana kubwa Sana na huu Ni mwanzo tuView attachment 2634241
Usharukwa na akiliEXPLAINED: Ukrainian Intelligence Says It’s Getting ‘Closer and Closer’ to Eliminating Putin
The deputy head of Ukraine's Main Intelligence Directorate also claimed the only reason the Crimean Bridge is still standing is to give Russians living on the occupied territory a chance to escape.
Read more on our website.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Idadi inapungua mwisho itafikia zero
Uwe unatumia teknolojia ya Wamarekani kama Drive au hata Google Photos. Tatizo akili zinafanya kazi kama wauza mbolea na wachuuza gesi ungekuwa unatumia akili za mabingwa wa teknolojia ungeweka cloud server.Simu yangu ilikua rahisi sababu nilipiga screen shot kwakua nilijua ipo siku itahitajika kama ushahidi leo inakua ngumu kuipata sababu mpaka niisarch nasiikumbuki maneno well
BAKHMUT ishaenda hakuna kaunta offensive itakayofanywa hapo wangeifanya kwanza kwa MAURIOPOL na SOLEDAR hio BAKHMUT bye bye [emoji112]
Kuhusiana na kupungua kwa idadi ya watu kwasasa ni changamoto ya DUNIA nzima Maana inazikumba nchi nyingi wala sio RUSSIA [emoji635] pekee hata hivyo Russia [emoji635] ishavuna watu wengi pale Ukraine [emoji1255] watawafaa
Mkuu, Kwani objective ya Ukraine si kukomboa maeneo? Haya malengo ya kumueliminate Putin yamewekwa lini?EXPLAINED: Ukrainian Intelligence Says It’s Getting ‘Closer and Closer’ to Eliminating Putin
The deputy head of Ukraine's Main Intelligence Directorate also claimed the only reason the Crimean Bridge is still standing is to give Russians living on the occupied territory a chance to escape.
Read more on our website.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Miezi 10 superpower uchwara anapigania eneo hata halistahili kuitwa wilaya kama lingekuwa Tanzania. Eti hilo ndilo jeshi la kupigana na Finland au Poland, alafu bila aibu eti mnapigana na NATO. Shukuru Mmarekani alitoa pesa yake na vifaa la sivyo Hitler angewachukua mkawaoshee vyombo Wajerumani maana alikuwa anataka kuifanya Urusi shamba kubwaSi wanasema hawapewi zakutosha vipi BAKHMUT kunaendeleaje ama ya SOLEDAR na MAURIOPOL yameikumba na BAKHMUT
haya ndani ya miezi 10 hiyo wa ukraine kwa msaada wa wamerakani walikua wanamzuia mrusi asichukue ilo eneo amefikia wapi sasa?Miezi 10 superpower uchwara anapigania eneo hata halistahili kuitwa wilaya kama lingekuwa Tanzania. Eti hilo ndilo jeshi la kupigana na Finland au Poland, alafu bila aibu eti mnapigana na NATO. Shukuru Mmarekani alitoa pesa yake na vifaa la sivyo Hitler angewachukua mkawaoshee vyombo Wajerumani maana alikuwa anataka kuifanya Urusi shamba kubwa
"Ikiwa tungeacha kusambaza silaha kwa Ukraine leo, mwisho wa Ukraine ungefika kesho. Unataka kukubali, lakini hatutaki kufanya hivyo,” Boris Pistorius, Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani.Miezi 10 superpower uchwara anapigania eneo hata halistahili kuitwa wilaya kama lingekuwa Tanzania. Eti hilo ndilo jeshi la kupigana na Finland au Poland, alafu bila aibu eti mnapigana na NATO. Shukuru Mmarekani alitoa pesa yake na vifaa la sivyo Hitler angewachukua mkawaoshee vyombo Wajerumani maana alikuwa anataka kuifanya Urusi shamba kubwa
Inaenda na mma.naona technology ya f 16 inaenda na maji wanataka kuipeleka huko ukraine
Sasa ww usiye kuwa hata na akili ya kumtongoza mwanamke kumshawishi akukubali mpaka ukalazimika kuwa mpiga nyeto uta mshauri nn the big brain Bwana utam?Uwe unatumia teknolojia ya Wamarekani kama Drive au hata Google Photos. Tatizo akili zinafanya kazi kama wauza mbolea na wachuuza gesi ungekuwa unatumia akili za mabingwa wa teknolojia ungeweka cloud server.
Russia inakumbwa na kupungua kwa watu tangu karne ya 21 haijafika. Ni tatizo sugu, na hizo nchi nyingine hazipungui watu bali growth ni ndogo au stagnant. Sasa Russia ina miaka watu wanashuka, na hilo suala la Russia kuvuna watu unaonyesha jinsi akili zenu zimekaa kujilipua, bahati nzuri hata teknolojia hamna mnalazimika kujilipua kienyeji
Ukraine wananikumbusha mikwara ya Comical Ally wa Iraq wakati wa vita ya pili ya gulf.Kila aliemsikiliza aliamini jamaa wanatoa kipigo kikali kwa US na washirika wake,tena wakiwachinja kwa mamia kila siku kama update za mjomba kirat zinavotuambia.EXPLAINED: Ukrainian Intelligence Says It’s Getting ‘Closer and Closer’ to Eliminating Putin
The deputy head of Ukraine's Main Intelligence Directorate also claimed the only reason the Crimean Bridge is still standing is to give Russians living on the occupied territory a chance to escape.
Read more on our website.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Aliye sema Urusi inapigana na Nato sio sisi bali ni viongozi wa NATO wenyewe .Miezi 10 superpower uchwara anapigania eneo hata halistahili kuitwa wilaya kama lingekuwa Tanzania. Eti hilo ndilo jeshi la kupigana na Finland au Poland, alafu bila aibu eti mnapigana na NATO. Shukuru Mmarekani alitoa pesa yake na vifaa la sivyo Hitler angewachukua mkawaoshee vyombo Wajerumani maana alikuwa anataka kuifanya Urusi shamba kubwa
muoneshe hii....[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]Aliye sema Urusi inapigana na Nato sio sisi bali ni viongozi wa NATO wenyewe .
Sasa sijui tumsikilize nani kati yako domo zege na katibu wa Nato aliye sema kuwa Urusi ikishinda ni sawa imeshindwa NATO nzima.
Au tumuamini nani kati yako na hao viongozi wa NATO ambao kila mwezi wanakaa vikao kujadili ni namna gani ya kuisaidia Ukraine silaha na mafunzo.
Mbona huongelei brigedia zaidi ya 17 za Ukraine zilizo teketea na mamruki kibao kutoka nchi za Magharibi wakijaribu kuzuia mji usichuliwe na bado ukachukuliwa ?
Au mbona hauongelei Super power wako wa ukweli aliye pigana miaka zaidi ya 8 nchini Vietnam akiwa na wanajeshi zaidi ya 1,000,000 akapoteza maelfu ya ndege na bado akashindwa kuteka hata kijjiji?
[emoji849][emoji849]View attachment 2634403Miezi 10 superpower uchwara anapigania eneo hata halistahili kuitwa wilaya kama lingekuwa Tanzania. Eti hilo ndilo jeshi la kupigana na Finland au Poland, alafu bila aibu eti mnapigana na NATO. Shukuru Mmarekani alitoa pesa yake na vifaa la sivyo Hitler angewachukua mkawaoshee vyombo Wajerumani maana alikuwa anataka kuifanya Urusi shamba kubwa