mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] izo picha tu mdogo wangu.kwanza ushangai hii habari hata tovuti ya serikali ya Ukraine awajaipost.ebu jiongeze wewe habari hazipatikani Yahoo[emoji23][emoji23][emoji23]Unazidi kudhihirisha jinsi gani upo nyuma ya wakati. Hiyo Boat imetolewa lini? Tumia kichwa chako vizuri mkuu usiipe mzigo shingo.
Unajua hii account ni ya nani huko twitter?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] izo picha tu mdogo wangu.kwanza ushangai hii habari hata tovuti ya serikali ya Ukraine awajaipost.ebu jiongeze wewe habari hazipatikani Yahoo[emoji23][emoji23][emoji23]
We waache walete vi F-16, F-22 na hyped F-35 copied by Americans from Russian supersonic fighter flown for the fitst time in 1986. it was a VTOL Navy type Yak-149 if 'am not mistaken -lakini Dunia nzima inaelezwa kwamba the brains behind F-35 ni American wakati hiyo si kweli hata kidogo eanatumia intellectual properties za Urusi kujinufaisha na kuzuga Dunia kwa kujifanya sijui wali retrofit with new avionics and engines lakini principle za kuifanya ipae bado zilibaki ni ubunifu wa Warusi sio Waamerika.Achaneni na Russia, sio rahisi kihivyo kama wengi mnavyoandika
Binafsi nikisikia HIMARS zimepukutiswa na ADS roho yangu ufurahi sana - walikuwa wamezidi kwa kutamba na roketi hizo, lakini wana sayansi wa Urusi walipo zifanyia mahesabu na kurejebisha tracking systems za computers zao siku hizi HIMARS zinasikika kwa nadra sana ni as if hazipo kabisa!!Ndio mwisho wa storm labda mlete mzigo mpya.
Russian air defenses intercept two Storm Shadow cruise missiles
Russian air defense forces intercepted a Grom-2 ballistic missile, two Storm Shadow cruise missiles and shot down 20 Ukrainian unmanned aerial vehicles over the past day, Konashenkov reported.
"Air defense capabilities intercepted a Grom-2 operational/tactical missile, ten rockets of the HIMARS multiple launch rocket system and two Storm Shadow long-range cruise missiles," the spokesman said.
Moldova ni kakijiji masikini sana kanalingana na chalinze wengi hamjawahi kujua haya mambo yaani Ukisikia hivi vinchi sijui kanaitwa Moldova unajiuza Hii Moldova au Estonia inaichimbia mkwara Urusi???? Hivyo unakazunguka kwa kukimbia kote unamaliza just one hour...[emoji298][emoji298]Moldova has severed its dependence on Russian gas, Moldovan Prime Minister Dorin Recean reported at a security forum in Bucharest on May 18.
"If at the start of the (full-scale) war 100% of energy consumed in Moldova originated in Russia, today Moldova can exist with absolutely no natural gas or electricity from Russia," Recean said, as quoted by Reuters.
Learn more: PM: Moldova no longer reliant on Russian gas
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kulitokea ninAzovstal
Jeshi la Urusi limepeleka vikosi vya uokozi kutafuta walio hai
Yaani kwa akili za kawaida unafikiri Serikali au jeshi linaweza kweli kuweka picha zinazo onyesha jinsi Jeshi la Ukraine linavyo zidiwa nguvu na Russia - hakuna Serikali yoyote inayo penda kuwatia taaruki Raia wake kwamba jeshi lake lianaelekea kushindwa vita - hakuna.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] izo picha tu mdogo wangu.kwanza ushangai hii habari hata tovuti ya serikali ya Ukraine awajaipost.ebu jiongeze wewe habari hazipatikani Yahoo[emoji23][emoji23][emoji23]
Usiku wakuamkia Leo Kyive Imepokea Makombora Yakutosha
Mkuu unafurahisha sana. Unaleta ramani (ambayo ni bandia) pamoja na matini inayoonyesha kwamba unashindwa kusoma amani!!Ukraine was nothing till Lenin. And will return to nothing after Putin. They can keep Kiev. Everything East and South is [emoji635]Russian.
We don't need Brits telling us our history [emoji106]. Happy misinforming your citizens, was wondering why most are horrible at geography.View attachment 2636109
Kipanya44 sikuhizi nasikia Bakhmut imepewa jina la asili inaitwaje vile?Tutazidi kuwachinja warusi Kwa wingi kadri iwezekanavyo [emoji56][emoji56][emoji56]
[emoji298][emoji298]Ukraine’s Defense Forces have eliminated another 480 Russian occupiers over the past day. According to the latest update from the General Staff of the Armed Forces of Ukraine, Russia’s total combat losses reached about 206,200 troops.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ninachojua Mimi ni Belgorod ndio imepewa jina la asili baada ya kuingia katika mikono salama ya vijana wakakamavu wa rais zelensikyKipanya44 sikuhizi nasikia Bakhmut imepewa jina la asili inaitwaje vile?
Hahahahahahah wale marehemu wametoa jina jipya alafu naona Bakhmut kwa sasa magleda yashaanza kusafisha safisha utolewe mji kama mauripoulNinachojua Mimi ni Belgorod ndio imepewa jina la asili baada ya kuingia katika mikono salama ya vijana wakakamavu wa rais zelensiky
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sawa, naona wahandisi wameshaanza kazi ya kujenga ofis mpya za kiukrein hapo Belgorod.., baada ya hapo kituo kinachofuata ni Moscow [emoji16]Hahahahahahah wale marehemu wametoa jina jipya alafu naona Bakhmut kwa sasa magleda yashaanza kusafisha safisha utolewe mji kama mauripoul